Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemuomba aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kurejea tena na chama hicho ili washirikiane kudai haki. Akizungumza jana jijini Dar es...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA (T) Mhe. Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania, mwelekeo wa 2021.
9 Reactions
74 Replies
11K Views
Yetu macho ==== Alichokiandika Mbowe Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia...
24 Reactions
268 Replies
22K Views
Kuna mambo makubwa matatu, Kwanza, matajiri wengi wa Africa wamejipatia utajiri kutokana biashara za uchuuzi tu bila kuhusika katika kufanya mabadiliko ya makubwa ya teknolojia. Hii ni tofauti...
1 Reactions
5 Replies
478 Views
Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii...
29 Reactions
130 Replies
13K Views
Wengi wamekuwa wakihoji kwamba je, nina nia ya kugombea? Na hata hapa kuna baadhi yenu mmeniuliza, ngoja niondoe sintofahamu, ni kweli nia yangu ya kugombea ubunge ipo lakini bado sijajua...
0 Reactions
95 Replies
8K Views
Siku chache zilizopita, Rais wetu kipenzi alifika Sengerema kwa ziara iliyoambatana na uzinduzi wa mradi maji. Katika hotuba na tambo za sherehe ya uzinduzi, Rais aliambiwa mradi umekamilika kwa...
25 Reactions
140 Replies
19K Views
CCM ilianza mapema kutafuta kura, ilianza na mbinu ya kuzuia vyama vingine na wagombea wao kujitangaza akabaki Magufuli peke yake, ikaja na mbinu ya kununua wapinzani waliyoshauriwa na Polepole na...
54 Reactions
102 Replies
12K Views
Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia,Mamlaka ya Anga imeanza Kuzalisha ndege zake za abiria yaani chartere plane Kwa kushirikiana na kampuni ya Schech ya Airplane Africa Limited ambapo Hadi Sasa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sehemu mojawapo ambayo vyama vya upinzani huwa vinakuwa na malalamiko makubwa wakati wa uchaguzi ni figusu katika uapishwaji wa mawakala wa kusimamia kura za wagombea katika uchaguzi. Nilitegemea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba majibu yawe mafupi mafupi sana Ni wanaweza au hawawezi kwa mujibu wa Katiba basi, usilete Siasa za roporopo Ramadan Kareem 😂
1 Reactions
27 Replies
2K Views
MBUNGE NDAISABA AVUNJA NGOME ZA CHADEMA NGARA, WAPIGWA MLALO WA MENDE Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro katika ziara yake ya kikazi Jimboni wakati akizungumza...
0 Reactions
4 Replies
779 Views
Baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kuonesha mwanga katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, kuna waliodai kuwa anafanya kazi ambayo ingefanywa na mahakama yenye jukumu la...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Takwimu ziongee, Kila Mtaa, Kijiji, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa, Kanda na hatimaye Tanzania nzima imefikiwa. 1. Zimejenga nankuendelezwa Hospital Mpya za Halmashauri 127 2. Yamejengwa majengo 83...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
73 Reactions
990 Replies
74K Views
Salaam, Shalom. Ili kudhibiti matumizi mabaya ya pesa kwenye uchaguzi, pia Ili kuhakikisha vyama vinagharimia ipasavyo wagombea wao, na Ili kuondoa ubaguzi Kwa wagombea wasio njema kiuchumi...
0 Reactions
5 Replies
488 Views
Ni miaka 3 sasa bila yule anayeonekana ni kikwazo cha CHADEMA Shujaa Magufuli kuwepo duniani lakini CHADEMA iko vile vile kama 2021. Nini kinawakwamisha CHADEMA kujitwalia viti vyao halali 19...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Je unadhani hii itakuwa ni mwarobaini wa kero za usafiri wa Mwendokasi? My Take Naunga mkono hoja ila Mwekezaji awe mwenye uwezo isije kuwa kama zile treni za Wahindi za TRC ===== Waziri wa Nchi...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ole Sendeka Mbunge machachari wa Simanjiro na ambae husema kweli Daima bila unafiki amemtaja Rais Samia kama Kiongozi wa mfano ambae ameleta maendeleo makubwa kwenye sekta zote za Uchumi licha ya...
1 Reactions
91 Replies
4K Views
Pamoja na malalamiko makubwa sana kuhusu mfumo mpya wa maisha ulioshika kasi siku za hivi karibuni ni vyema kufahamu pia chanzo kikubwa cha mambo haya. Ukweli ni kwamba katika nchi yetu maslahi...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Back
Top Bottom