Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SERIKALI IMEJIPANGA KUFUNGUA MKOA WA LINDI KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt...
0 Reactions
5 Replies
757 Views
ASANTE DKT.JPM ,PONGEZI DKT.SAMIA Na.Amon Nguma. Tarehe 17 Machi mwaka huu wa 2024 tumetimiza miaka mitatu tangu kufariki Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge. Rais Samia Suluhu...
34 Reactions
255 Replies
56K Views
Wabongo ni pasua kichwa sana Bashe anasema mchele uko kibao hakuna sababu ya kuchukua wa Msaada, anashambuliwa kila kona Dkt. Mwigulu alisema nchi inakopa kwa sababu ina uwezo wa kulipa...
0 Reactions
6 Replies
434 Views
Sijajua kama mafao ni Madogo au tatizo ni nini Kwa mfano Mzee Sumaye baada ya kustaafu Uwaziri Mkuu akaenda CHADEMA kuwa mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mbowe akawa Boss wake Nadhani kwenye...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Angalau unafiki wa CCM kuliko unafiki wa hawa wapinzani... Hawajui wasimame wapi, wapo kwaajili ya kupinga na kukosoa tu, hata kama jambo ni la kheri, sijawahi ona wakihoji zaidi ya kupinga hoja...
1 Reactions
118 Replies
5K Views
Kumekuwepo na tuhuma nyingi sana mitandaoni, na sehemu mbalimbali toka kwa baadhi ya watanzania wenzetu , yakwamba enzi ya utawala wa Magufuli wafanyabiashara wengi na makampuni yaliacha kufanya...
10 Reactions
104 Replies
10K Views
Hakuna namna Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini anaweza kumshinda Mbunge wa sasa ambaye pia ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge yote Duniani. Kama Taifa hatuwezi kukubali kupoteza nafasi ya...
1 Reactions
11 Replies
624 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nawaambieni ukweli kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku alimarufu Dk Musukuma amesema alisikia kuwa Tundu Lissu anataka kwenda kwenye kaburi la Hayati Magufuli kumwombea na kumwambia namna ufisadi unaoendelea...
9 Reactions
75 Replies
7K Views
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na...
16 Reactions
94 Replies
7K Views
Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku...
14 Reactions
55 Replies
4K Views
Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi...
0 Reactions
4 Replies
457 Views
19 March 2024 Dar es Salaam, Tanzania A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES...
3 Reactions
13 Replies
725 Views
Pale Hanang kuna maafa na ni kama imetokea landslide kutokea Mlima Hanang, nimeona maaskari wa FFU wakiwa wamevalia buti zao kana kwamba wanaenda kukamata waandamanaji eti ndio kikosi cha uokoaji...
7 Reactions
64 Replies
10K Views
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni? Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
3 Reactions
90 Replies
5K Views
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then...
26 Reactions
90 Replies
4K Views
Back
Top Bottom