Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete.

Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo ilimuweka kwanza kwenye shirika la mke wa kikwete wakati anasubiri mkeka wa u-DAS. Bw. Jacob alikuwa akitamba Bar na kwa marafiki wake kwamba muda wowote atakuwa ni katibu tawala wilaya yoyote hapa nchini. Bw. Jacob Rombo hakufanyiwa vetting yoyote isipokuwa alichomekwa tu na familia hiyo ya JK .

Inadaiwa baada ya sauti yake akiiba mafuta ya serikali kuvuja aliwasiliana na member wa familia hiyo kumjulisha kama anaweza kunusurika kuliwa kichwa. Member wa familia hiyo alimuhakikishia kwamba asiwe na wasiwasi kwani hawezi kuadhibiwa kwa kuiba mafuta ya laki 2 kila siku wakati kuna watumishi wanaiba mabilioni.

Naendelea kufiatilia jambo hili kwa ukaribu na kila nitakachopa nita-share na nyie hapa.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Kusikilikiza sauti ya DAS huyo akiiba mafuta unaweza kufuata link hii hapa chino 👇

20240323_072426.jpg
 
Nasikia huyu mstaafu ana watu wengi sana walioteuliwa katika nyadhifa mbalimbali serikalini kwa kutuma tu memo yake.

Na wengi hawana uwezo wa kazi kutokana na kwamba ni watu waliofeli kabisa. Lakin ndio viongozi.

Aidha, taarifa hiyo imesema vijana hao wa huyo mstaafu wa Msoga, wengi ni wabadhirifu hatari. Wapo wakuu wa wilaya, Mikoa, wakurugenz, ma RAS, DAS na hata makatibu wakuu wa mawizara.
 
View attachment 2942271
Mdude, kwakuwa Kashfa hii imemhusu MCHAGGA kwa kifupi Mtu wa Kaskazini tegemea kejeli, utetezi na matusi hata kwenye Chama chako unaweza kukemewa kuna kitu Nchi wengi hatujaking'amua. Endelea kujifunza ndugu yangu elimu haina mwisho.
 
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete.

Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo ilimuweka kwanza kwenye shirika la mke wa kikwete wakati anasubiri mkeka wa u-DAS. Bw. Jacob alikuwa akitamba Bar na kwa marafiki wake kwamba muda wowote atakuwa ni katibu tawala wilaya yoyote hapa nchini. Bw. Jacob Rombo hakufanyiwa vetting yoyote isipokuwa alichomekwa tu na familia hiyo ya JK .

Inadaiwa baada ya sauti yake akiiba mafuta ya serikali kuvuja aliwasiliana na member wa familia hiyo kumjulisha kama anaweza kunusurika kuliwa kichwa. Member wa familia hiyo alimuhakikishia kwamba asiwe na wasiwasi kwani hawezi kuadhibiwa kwa kuiba mafuta ya laki 2 kila siku wakati kuna watumishi wanaiba mabilioni.

Naendelea kufiatilia jambo hili kwa ukaribu na kila nitakachopa nita-share na nyie hapa.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Kusikilikiza sauti ya DAS huyo akiiba mafuta unaweza kufuata link hii hapa chino

View attachment 2942271
Kikwete kumbuka yuko kwenye kamati ya Wazee wa CCM wa kusafisha wenye tuhuma za reoort ya CAG, kikwete na Pinda ndio viongozi wa kamati hio ya kuwaombea watuhumiwa msamaha kwa Raisi.
 
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete.

Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo ilimuweka kwanza kwenye shirika la mke wa kikwete wakati anasubiri mkeka wa u-DAS. Bw. Jacob alikuwa akitamba Bar na kwa marafiki wake kwamba muda wowote atakuwa ni katibu tawala wilaya yoyote hapa nchini. Bw. Jacob Rombo hakufanyiwa vetting yoyote isipokuwa alichomekwa tu na familia hiyo ya JK .

Inadaiwa baada ya sauti yake akiiba mafuta ya serikali kuvuja aliwasiliana na member wa familia hiyo kumjulisha kama anaweza kunusurika kuliwa kichwa. Member wa familia hiyo alimuhakikishia kwamba asiwe na wasiwasi kwani hawezi kuadhibiwa kwa kuiba mafuta ya laki 2 kila siku wakati kuna watumishi wanaiba mabilioni.

Naendelea kufiatilia jambo hili kwa ukaribu na kila nitakachopa nita-share na nyie hapa.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Kusikilikiza sauti ya DAS huyo akiiba mafuta unaweza kufuata link hii hapa chino 👇

View attachment 2942271
Kwani hii DUNIA Ni yetu? Muogope Mungu wee KIBELA

alisikika mchizi wa Arusha kwa jila la MAJANABA
 
Nasikia huyu mstaafu ana watu wengi sana walioteuliwa katika nyadhifa mbalimbali serikalini kwa kutuma tu memo yake.

Na wengi hawana uwezo wa kazi kutokana na kwamba ni watu waliofeli kabisa. Lakin ndio viongozi.

Aidha, taarifa hiyo imesema vijana hao wa huyo mstaafu wa Msoga, wengi ni wabadhirifu hatari. Wapo wakuu wa wilaya, Mikoa, wakurugenz, ma RAS, DAS na hata makatibu wakuu wa mawizara.
Mkuu habari za kusikia kila mtu anasikia. Tuwekee ushahidi namna walivyochomekwa serikalini, ni wa kina nani? ni wangapi? elimu zao, performance report zao, na mengine muhimu. Kama huwezi, majungu na chuki nyingine tuwe tunaacha!!
 
Mkuu habari za kusikia kila mtu anasikia. Tuwekee ushahidi namna walivyochomekwa serikalini, ni wangapi, elimu zao, performance report yao, na mengine muhimu. Kama huwezi, majungu na chuki nyingine tuwe tunaacha!!
Mkuu mdude, nakushauri kama una bifu na mtu, uungwana ni kumtafuta mkayamaliza!

Mbona unaonekana ni mwanaume halafu unaleta majungu ya kike humu, no wonder watu hawakuelewi!!

Wewe Mdude na Luka Mwashambwa, mnauangusha mkoa wa Mbeya na watu wake.

Wanaume wanaotoka Mbeya ni watu imara na wenye misimamo, nyie vipi???

Tunzeni heshima yenu binafsi, Tunzeni heshima ya kwenu, Tunzeni heshima ya watu wenu!

Kuvaa Sketi za kike hamuezi, waachieni wanawake wenyewe wavae!
 
Cyprian Musiba aliweza kuwafunda 'udukuzi' mahasimu wake, kwa namna moja au nyingine.

Taarifa za awali nilizozipata

jana niliweka sauti yake hapa

Inadaiwa baada ya sauti yake akiiba mafuta ya serikali kuvuja aliwasiliana na member wa familia hiyo kumjulisha kama anaweza kunusurika kuliwa kichwa. Member wa familia hiyo alimuhakikishia kwamba asiwe na wasiwasi kwani hawezi kuadhibiwa kwa kuiba mafuta ya laki 2 kila siku wakati kuna watumishi wanaiba mabilioni

Naendelea kufiatilia jambo hili kwa ukaribu na kila nitakachopa nita-share na nyie hapa.
Matamshi ya dizaini hizi, yaliweza kusikika kutoka kwa Cyprian Musiba.

Tofauti ni Vyama vyao tu

Tusonge.
 
Mkuu mdude, nakushauri kama una bifu na mtu, uungwana ni kumtafuta mkayamaliza!

Mbona unaonekana ni mwanaume halafu unaleta majungu ya kike humu, no wonder watu hawakuelewi!!

Wewe Mdude na Luka Mwashambwa, mnauangusha mkoa wa Mbeya na watu wake.

Wanaume wanaotoka Mbeya ni watu wa imara na wenye msimamo, nyie vipi???

Tunzeni heshima yenu binafsi, Tunzeni heshima ya kwenu, Tunzeni heshima ya watu wenu!

Kuvaa Sketi za kike hamziwezi, waachieni wanawake wenyewe wavae!
Vp mnataka mletewe tu humu habari za kina j.lokole au zari

Ova
 
Back
Top Bottom