Nikimwangalia Trump anavyopambana nalazimika kuamini CHADEMA siyo chama cha Kibepari, wako kinyonge sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Vyama vya Kibepari popote duniani huwa na watu wenye ukwasi wa fedha na nguvu ya ushawishi.

CHADEMA wanajinasibu kama chama cha Kibepari lakini ukiwaangalia unakataa kabisa.

Viongozi na wanachama wake wako kinyonge mno.

Angalia bepari Trump alivyowekewa figisu za kimahakama Ili asigombee lakini kazivuka zote na sasa anamsubiri Biden kwenye sanduku la kura.

CHADEMA badilikeni Unyonge wenu ndio umewafikisha kwenye Mbunge mmoja wa kuchaguliwa na 19 wa kupewa.

Ramadan Mubarak. 😄
 
Kwenye taifa la Trump katiba inaruhusu kila mtu apambane kwa uwezo wake na akishinda anatangazwa. Mgombea akifanyiwa figisu ashide halafu asitangazwe mahakama inampa haki yake.

Hapa kwetu ni full mauzauza. Katiba mbovu imempa umungu mtu rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala, hivyo anapambana mgombea wake ashinde, ama unakuta yeye mwenyewe (Mungu mtu ) anagombea).

Tume ya uchaguzi nayo ni "Tume mtu", yaani inafuata maagizo ya Mungu mtu. Mgombea wa upinzani akifanyiwa figisu hana pa kwenda, maana mahakama zinapokea maagizo toka kwa Mungu mtu.
 
hiyo inaitwa..

uoga wako ndio maskini wako 🐒
 
hiyo umegundua lini kijana 🐒
 
Subirini mletewe mezani hayo mazuri ya kwa Trump
 
Vyama vya Kibepari popote duniani huwa na watu wenye ukwasi wa fedha na nguvu ya ushawishi.

CHADEMA wanajinasibu kama chama cha Kibepari lakini ukiwaangalia unakataa kabisa.

Viongozi na wanachama wake wako kinyonge mno.

Angalia bepari Trump alivyowekewa figisu za kimahakama Ili asigombee lakini kazivuka zote na sasa anamsubiri Biden kwenye sanduku la kura.

CHADEMA badilikeni Unyonge wenu ndio umewafikisha kwenye Mbunge mmoja wa kuchaguliwa na 19 wa kupewa.

Ramadan Mubarak. 😄
Kwa iyo Tz igeuke iwe USA, amevuka vihunzi kwa kua USA ni taifa ambalo mihimili ya nchi inafanya kazi ,badika ndungu
 
Tatizo la Chadema ukimkamata mwenyekiti wao masikio tu basi, unakuwa umekiwini chama kizima.

Yeye ndio alfa na omega, aamualo hakuna mpingaji. Hata huyo mbwatukaji wa ubelgiji akifika mbele ya mwenyekiti anatepeta ndembe ndembe kama chapati ya maji iliyokosa mafuta.
 
Mada yako haina ukweli wowote..Trump angekuwa Tanzania asingeweza kuruka kuviunzi...angeishiwa kufilisiwaa au kuuwawa kabisa. Wenzetu kule wanafuata sheria za mahakama...lakini sio kwetu Tanzania, kwetu maigizo toka juu ndio kila kitu.

Maada yako haina ukweli wowote ule
 
Vyama vya Kibepari popote duniani huwa na watu wenye ukwasi wa fedha na nguvu ya ushawishi.

CHADEMA wanajinasibu kama chama cha Kibepari lakini ukiwaangalia unakataa kabisa.

Viongozi na wanachama wake wako kinyonge mno.

Angalia bepari Trump alivyowekewa figisu za kimahakama Ili asigombee lakini kazivuka zote na sasa anamsubiri Biden kwenye sanduku la kura.

CHADEMA badilikeni Unyonge wenu ndio umewafikisha kwenye Mbunge mmoja wa kuchaguliwa na 19 wa kupewa.

Ramadan Mubarak.
Kuna mawili ama umekosa cha kuandika au kichwani ni mweupe hujui uandike nini. Tuambie chama cha kijamaa Tanzania ni kipi? Na pili utuambie ni lini Chadema ishautangazia umma kwamba wao ni chama cha kibepari.

Umeongea vikwazo kwa Trump, ni vikwazo vingapi viongozi wa Chadema wamevipitia hadi kufika hapo walipo? Ni mahakama ipi ambayo hawajakanyaga?. Ni mahabusu zipi wasizozijuwa viongozi wa Chadema?
 
Vyama vya Kibepari popote duniani huwa na watu wenye ukwasi wa fedha na nguvu ya ushawishi.

CHADEMA wanajinasibu kama chama cha Kibepari lakini ukiwaangalia unakataa kabisa.

Viongozi na wanachama wake wako kinyonge mno.

Angalia bepari Trump alivyowekewa figisu za kimahakama Ili asigombee lakini kazivuka zote na sasa anamsubiri Biden kwenye sanduku la kura.

CHADEMA badilikeni Unyonge wenu ndio umewafikisha kwenye Mbunge mmoja wa kuchaguliwa na 19 wa kupewa.

Ramadan Mubarak. 😄
Mahakama za kule zipo huru, huku hatuna mahakama tuna mashina ya CCM
 
Subirini mletewe mezani hayo mazuri ya kwa Trump
Ndugu yangu kumbuka misemo ifuatayo:-
1. Ubaya hauna kwao.
2. Shetani hana rafiki.

Ubovu wa katiba una athari kwa kila mtanzania. Usidhani katiba bora atanufaika nayo Mbowe peke yake au ubaya wa katiba iliyopo inawaathiri chadema peke yao.

Kawaulize akina mzee Makamba, prof. Assad, Sumaye, Lowasa (rip), Kikwete, Kinana, Nape, n.k jinsi walivyobagazwa awamu ya 5. Hii ni kwasabb jiwe aliitumia vema katiba hii mbovu.

Huyu wa awamu ya 5 naye kamuondoa kwenye kiti chake spika kisa tu ametoa maoni yake kama mtanzania.

Ndiyo maana wanyamwezi husema "injustice somewhere is injustice everywhere".

Mapoyoyo machache hushangilia ujinga huu yakidhani yako salama.
 
Vyama vya Kibepari popote duniani huwa na watu wenye ukwasi wa fedha na nguvu ya ushawishi.

CHADEMA wanajinasibu kama chama cha Kibepari lakini ukiwaangalia unakataa kabisa.

Viongozi na wanachama wake wako kinyonge mno.

Angalia bepari Trump alivyowekewa figisu za kimahakama Ili asigombee lakini kazivuka zote na sasa anamsubiri Biden kwenye sanduku la kura.

CHADEMA badilikeni Unyonge wenu ndio umewafikisha kwenye Mbunge mmoja wa kuchaguliwa na 19 wa kupewa.

Ramadan Mubarak.
Wewe umesikia wapi kuwa Chadema ni chama cha kibepari ?
 
Unalinganishaje harakati za wale nyumbu na za Trump mzee wa MAGA?
 
Back
Top Bottom