Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi...
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Leo tarehe 22 octaba 2016 nimepita pale Ofisi ya CHADEMA makao makuu iliyopo mtaa wa Ufipa nimekuta ukarabati wa kuridhisha kiasi flani kwa ofisi hiyo. Nitoe rai ukarabati ufanyike pia katika...
5 Reactions
117 Replies
57K Views
KWA NINI CCM WANAENDELEA KUTAWALA WAKATI MADHAMBI YAO YANAJULIKANA? Chama Cha Mapinduzi CCM kinaonekana kama kitaendelea kushika dola kwa miaka mingine mitano ili hali kikionekana kimeshapoteza...
9 Reactions
71 Replies
7K Views
Katika harakati zake za kujinasua katikaa kufukuzwa uanachama wa CCM na vikao vya chama, EL ana watu ambao wapo tayari kufa nae. Hawa ni: Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba, Januari...
3 Reactions
505 Replies
41K Views
Kuna tetesi zimeenea hapa Arusha kuwa yule anayeitwa kama 'tajiri mzalendo' ni mmoja wa wafanyabiashara na matajiri wanaomfadhili ndugu Lowassa. Mengi kumfadhili Lowassa sio kosa bali ni vizuri...
7 Reactions
114 Replies
16K Views
MFANYABIASHARA maarufu, Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa dola za Marekani bilioni 5 (Sh trilioni 10) kwa ajili ya kuwekeza mkoani Dodoma, ikiwa ni njia ya kumuunga mkono Rais John Magufuli...
21 Reactions
519 Replies
65K Views
Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao. Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za...
1 Reactions
6 Replies
639 Views
Naomba tu kuelimishwa kwa sababu Katiba ya JMT ni tofauti na ile ya nchi au Taifa la Zanzibar Haya mambo ni Vizuri tukaelimishana Mapema kwa sababu siyo kila atakayekuwepo atakuwa na roho ya...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara...
17 Reactions
104 Replies
8K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno! Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa...
19 Reactions
51 Replies
4K Views
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imebainisha leo Jumanne Mei 16, 2023, kwamba kuna mgongano na mwingiliano wa majukumu katika uendeshaji wa elimu na uendeshaji wa shule kwa ngazi ya...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima, ninapenda kuwajibu ndugu hawa (katika taaluma) kama ifuatavyo; Nitapenda kuanza na aliyeanza; Manyerere Jackton: Ndugu huyu amejenga hoja zake kadha wa kadha katika...
85 Reactions
417 Replies
42K Views
Mfanya biashara maarufu nchini Mustafa Sabodo leo hii ametoa Sh 100 milioni kwa Chadema kukipongeza chama hicho kwa ushindi wa Nassari huko Arumeru. Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Sabodo na...
30 Reactions
129 Replies
12K Views
Uchaguzi halijawahi kuwa jambo dogo Kwa wanaoshindwa duniani kote ,hata aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump aliwahi kulalamika kuchezewa faulo iliyopelekea kushindwa na Joe Biden Rais wa Sasa...
1 Reactions
11 Replies
643 Views
Kwanza Kabisa natoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Hassan Suluhu Kufanya ReShuffling ya Mawaziri mbalimbali amefanya kitu ambacho Tanzania wengi walikuwa wanahitaji. Moja ya Watu walioguswa na hii...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa ufupi Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma...
7 Reactions
72 Replies
14K Views
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na...
4 Reactions
110 Replies
8K Views
Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa. Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea. Hivyo Asali imeshafika kwa...
7 Reactions
16 Replies
748 Views
Assimilation policy ni policy ilio sana tumiwa na Wareno na Wafaransa kwenye makoloni yao na wajuvi wa Historia wanasema ilifanikiwa sana. Sasa Bongo kila uchaguzu ukikaribia ni lazima wanasiasa...
1 Reactions
3 Replies
717 Views
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha. https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ Kauli yake si tu...
5 Reactions
88 Replies
5K Views
Back
Top Bottom