Wakati waziri Ndumbaro anapiga mkwara kuvaa jezi za Ubuntu Botho au Etisalat alianza na neno wao kama Serikali hawatanii na alienda mbali kusema nguvu ya vyombo vya dola itatumika kwa yeyote...
Siku moja baada ya kuchaguliwa uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera, bosi wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba amesema ataanza na mambo sita ikiwamo kuamsha ari ya wanachama...
Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa...
Sisi tunayemfahamu mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe tokea kitambo tunamuona ni mtu mwenye Mafanikio Katika nyanja karibia zote
Kudumu Kwenye Siasa za Upinzani kwa Zaidi ya miaka 30 hapa...
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo...
Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna...
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya...
UTARATIBU WA KIKATIBA RAIS ANAPOUGUA KIMWILI AU AKILI
Wakili Mwita ameandika maoni yake juu ya Kifo cha Hayati John Magufuli baada ya kauli ya CDF Mstaafu Mabeyo siku ya kuadhimisha miaka mitatu...
Hakika nimeukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2019 na 2020 jinsi Rais magyfuli, CCM tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo uvuruga uchaguzi ule mpaka...
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti...
Waziri wa Katiba na Sheria Dr Ndumbaro amewataka Watanzania kutumia vizuri mitandao ya Kijamii badala ya kutoa Kauli za Kejeli, Kumtukana na Uhaini
Ndumbaro amesema kuna tofauti Kati ya kuikosoa...
Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya.
Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia...
DK. NCHIMBI ASISITIZA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA NI MAISHA YA WATU
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa...
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.
Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani...
Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni..
Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa...
Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye...
Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024)
Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua:
From the...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania(ATCL) Eng. Mafundi anatolea ufafanuzi juu ya tuhuma zilizoletwa na Kiongozi Mkuu wa ATC Wazalendo, Zitto Kabwe kuwa ndege 6 za ATCL ni mbovu na...
Wapinzani waliposema kuwa Mwendazake alinunua terrible teens walibezwa na kuitwa wapinga maendeleo ooh mawakala wa mabeberu leo hii mandege ya ATCL ni mabovu kila uchwao yapo matengenezo
Huyu...
KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA
Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro
MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.