Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Jul 24, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Katika harakati zake za kujinasua katikaa kufukuzwa uanachama wa CCM na vikao vya chama, EL ana watu ambao wapo tayari kufa nae.

  Hawa ni:

  Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba,
  Januari Makamba,
  Karamagi Nazir,
  Sofia Simba,
  Kusila (m/kiti wa CCM Dom),
  John Guninita (m/kiti Dar)

  Ongeza orodha, wewe unamjua nani???

  Nawasilisha
   
 2. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  threads za vihiyo zinaonekana tu. unaaga mke unaenda kuandika jf pumba kama hizi. kweli jf siku hizi imekuwa ya great sinkers.
   
 3. k

  kipuyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 1,145
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Wengine ni hawa hapa
  mwanyekiti wa ALART Taifa na mbunge wa Afrika mashariki kutoka Dar-Didas Masaburi
  Mh Mbunge wa Segerea-Milton Mahanga
  Mh Mbunge wa Kilindi-Bitte Shelukindo
  Makamba mdogo
  Zitto Zuberi
   
 4. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  No wewe ndio kihiyo kwa kuwa ujui lolote,manake greathinker,wanafikilia mbele sana kama huyu jamaa alivyofikilia, na yeye upeo wake dhidi yako na wewe ni mkubwa sana, yeye ni Mlima Kilimanjaro wewe ni Kichuguu.

  Waache wenye kuelewa lugha yake wafanye kazi step aside acha movement ifanye kazi yake

  HEYYYYYY B ... H GET OUT OF THE WAY...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wengine ni
  rost azizi
  endrew chenge
  wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya
  wakurugenzi mbali mbali wa halmashauri
  wajumbe wa kamati kuu CCM
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ooh! nimemsahau rose chitanda katibu wa CCM arusha. pia msimsahau aliyekuwa mgombea ubunge arusha,
   
 7. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wengine ni
  - Hamisi Mgeja (mwenyekiti CCM mkoa SHY)
  - Millya (Chairperson UVCCM AR)
  - Benno Malisa (Kaimu Mwenyekiti Taifa UVCCM)
  - Dr. W. Slaa (Katibu Mkuu Magwanda)
  - Askofu Laiser
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  - David Kafulila
  - Sokoine (mbunge viti maalum)
  - Pindi Chana - (viti maalum)
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anne Makinda,Ridhwan Kikwete,Mrs Kikwete,na Jakaya Kikwete Mwenyewe
   
 10. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hapa penye nyekundu umetuchakachua QR
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mpaka hapa hawa waliotajwa tu ni dalili tosha kuwa lowasa atakuwa mgombea kupitia magamba, na km hakutakuwa na tume huru ya uchaguzi basi ndo raisi wa awamu ya 5 TZ.
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dr Nchimbi,Sophia Simba,na Nape Nnauye
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  baaasi, tz kwishney.
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Msisahau TBC1 na STAFF NZIMA YA WAFANYAKAZI,PIA WAFANYAKAz WA 5 Fm Arusha,new habari ya Sinza kijiweni,clouds Fm na clouds tv
   
 15. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba,
  Januari Makamba,
  Karamagi Nazir,
  Sofia Simba,
  Kusila (m/kiti wa CCM Dom),
  John Guninita (m/kiti Dar)
  mwanyekiti wa ALART Taifa na mbunge wa Afrika mashariki kutoka Dar-Didas Masaburi
  Mh Mbunge wa Segerea-Milton Mahanga
  Mh Mbunge wa Kilindi-Bitte Shelukindo
  Makamba mdogo
  Zitto Zuberi
  rost azizi
  endrew chenge
  wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya
  wakurugenzi mbali mbali wa halmashauri
  wajumbe wa kamati kuu CCM
  - Hamisi Mgeja (mwenyekiti CCM mkoa SHY)
  - Millya (Chairperson UVCCM AR)
  - Benno Malisa (Kaimu Mwenyekiti Taifa UVCCM)
  - Dr. W. Slaa (Katibu Mkuu Magwanda) Mdau katuchakachua kwa jina hili.
  - Askofu Laiser
  David Kafulila
  - Sokoine (mbunge viti maalum)
  - Pindi Chana - (viti maalum)

  Na kuendelea !!!!!!!!!!!!!

  Ina maana hawa ndio tuseme wana mtandao mpya?
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Msisahau TBC1 na STAFF NZIMA YA WAFANYAKAZI,PIA WAFANYAKAz WA 5 Fm Arusha,newhabari ya Sinza kijiweni,clouds Fm na clouds tv
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Hussein BasheJames Ole MillyaDC wa BundaMwenyekiti wa wazazi Nyamaganahawa nimekutana nao leo Dodoma Hotel nikiwa kwenye uchaguzi wa Jumuia ya wafanyakazi. Inasemekana wana mtu wao wanataka kumchomeka
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kumchomeka wapi???fafanua plz
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwanini????rais ajaye anamjua KIKWETE kwa mujibu wa tume ya sasa na katiba ya sasa
   
 20. M

  Mzee Wa Maono Member

  #20
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...