Katiba ya Zanzibar inasemaje ikitokea Rais aliye madarakani akafariki dunia, Makamu wa kwanza wa Rais ndio anaapishwa kuwa Rais wa Zanzibar?

Kwa mujibu wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Zanzibar Ibara ndodo ya .(1) inasema hivi

Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kwa:
(a) kufariki; au
(b) kujiuzulu; au
(c) maradhi ya kimwili au kiakili; au
(d) sababu nyengine yoyote itakayomfanya Rais
kushindwa kutekeleza kazi za Rais,
watu wafuatao, kwa mujibu wa mpangilio, watashika nafasi hiyo:
(i) Makamo wa Pili wa Rais, au ikiwa hayupo;
(ii) Spika wa Baraza la Wawakilishi ambaye
anatoka katika chama anachotoka Rais na yeye
ikiwa hayupo;
(iii) Jaji Mkuu wa Zanzibar.

We jamaa siku zote umekuwa kama mwanaharakati humu kama hujui mambo madogo hivi mbona ni shida, nyie ndo CDF alikuwa akiwazungumzia juzi.

UCHAMBUZI WA HIYO IBARA YA 33(1)
Serikali ya ZNZ wanajua fika kuwa makamu wa kwanza ni lazima atoke upinzani ndio maana Katiba inasema apewe makamu wa pili, na ikitokea Raisi na Makamu wa pili wamefariki kwa pamoja bado hakuna sehemu inayosema Makamu wa kwanza atashika madaraka, hiyo ndio maana imeitwa SUK serikali ya umoja wa kitaifa ni kama kuwapoza wapinzani tuu.
 
Tujifunze katiba zetu
33.(1) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kwa:
(a) kufariki; au
(b) kujiuzulu; au
(c) maradhi ya kimwili au kiakili; au
(d) sababu nyengine yoyote itakayomfanya Rais
kushindwa kutekeleza kazi za Rais,
watu wafuatao, kwa mujibu wa mpangilio, watashika nafasi hiyo:
(i) Makamo wa Pili wa Rais, au ikiwa hayupo;
(ii) Spika wa Baraza la Wawakilishi ambaye
anatoka katika chama anachotoka Rais na yeye
ikiwa hayupo;
(iii) Jaji Mkuu wa Zanzibar.
 
33.(1) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kwa:
(a) kufariki; au
(b) kujiuzulu; au
(c) maradhi ya kimwili au kiakili; au
(d) sababu nyengine yoyote itakayomfanya Rais
kushindwa kutekeleza kazi za Rais,
watu wafuatao, kwa mujibu wa mpangilio, watashika nafasi hiyo:
(i) Makamo wa Pili wa Rais, au ikiwa hayupo;
(ii) Spika wa Baraza la Wawakilishi ambaye
anatoka katika chama anachotoka Rais na yeye
ikiwa hayupo;
(iii) Jaji Mkuu wa Zanzibar.
Bara mpangilio upoje
 
ILe nafasi ilikuwa na haja gani ya kuiita makamu wa kwanza wa Rais , ni heri ingeitwa wa pili au title nyingine. CUF walipigwa pale🙌
 
Attachments

  • wizara_elimutanzania-20231222-0001_1.jpg
    wizara_elimutanzania-20231222-0001_1.jpg
    217.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom