Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,750
218,339
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu

Nyalandu.png

Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani , ilikuwa hatari sana kwake , maana angeweza hata kuuliwa kwa kitendo hicho .

Haijawahi kuwa utamaduni wa wanaccm kujivua vyeo kwa sababu ya Uchafu wa kiongozi mkuu , huyu rekodi yake haiwezi kufanana hata na Mrema ambaye alisubiri kwanza apokonywe Cheo ndio atoke , tena baada ya kuahidiwa vyeo vikubwa huko alikoenda .

Mamluki wa Jiwe akiwemo Hamis Kigwangwala alitangaza bungeni kwamba atamshitaki Nyalandu Mahakamani kama sehemu ya vitisho vya kumshughulikia , Lakini hadi Kigwangwala anazeeka hakuwahi kwenda hata kwa mjumbe wa nyumba 10 kumshitaki Nyalandu

Pamoja na kwamba Nyalandu amerejea CCM kwa sababu za kimaisha lakini atabakia kuwa miongoni mwa wanaccm waliomdhalilisha Jiwe hadharani , huyu alipinga ROHO MBAYA YA KINYAMA YA JIWE KUZUIA WANACCM KWENDA KUMUONA LISSU HOSPITALI BAADA YA KUJERUHIWA NA MAMLUKI WALIOTUMWA NA SERIKALI YA JIWE (HII NI KWA MUJIBU WA TUNDU LISSU MWENYEWE) , hata hivyo Mzee Mwinyi (RIP) alikataa unafiki huo na kuamua kwenda Nairobi kumuona Lissu bila kujali lolote (hii ilichagizwa na ucha Mungu wake) , Wanaccm wengine wote waliufyata kwa hofu ya kutekwa na kuuawa .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
 
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu

View attachment 2933903

Hakupinga udikiteta, aliogopa kubanwa kuhusu twiga waliosafirishwa wakati akiwa Waziri wa Maliasili akakimbilia kwenye kinga ya upinzani.
 
Mo dewji na Rostam walijivua vyeo vyote walivyokuwanavyo walimpinga nani?unachukuwa maneno ya lisu unayaamini wakati Lazaro yupo,unashindwa nini kumuuliza na anafikika bila shida yoyote ,njoo dm nikupe namba yake atakupa sababu .
 
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu

View attachment 2933903

Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani , ilikuwa hatari sana kwake , maana angeweza hata kuuliwa kwa kitendo hicho .

Haijawahi kuwa utamaduni wa wanaccm kujivua vyeo kwa sababu ya Uchafu wa kiongozi mkuu , huyu rekodi yake haiwezi kufanana hata na Mrema ambaye alisubiri kwanza apokonywe Cheo ndio atoke , tena baada ya kuahidiwa vyeo vikubwa huko alikoenda .

Mamluki wa Jiwe akiwemo Hamis Kigwangwala alitangaza bungeni kwamba atamshitaki Nyalandu Mahakamani kama sehemu ya vitisho vya kumshughulikia , Lakini hadi Kigwangwala anazeeka hakuwahi kwenda hata kwa mjumbe wa nyumba 10 kumshitaki Nyalandu

Pamoja na kwamba Nyalandu amerejea CCM kwa sababu za kimaisha lakini atabakia kuwa miongoni mwa wanaccm waliomdhalilisha Jiwe hadharani , huyu alipinga ROHO MBAYA YA KINYAMA YA JIWE KUZUIA WANACCM KWENDA KUMUONA LISSU HOSPITALI BAADA YA KUJERUHIWA NA MAMLUKI WALIOTUMWA NA SERIKALI YA JIWE (HII NI KWA MUJIBU WA TUNDU LISSU MWENYEWE) , hata hivyo Mzee Mwinyi (RIP) alikataa unafiki huo na kuamua kwenda Nairobi kumuona Lissu bila kujali lolote (hii ilichagizwa na ucha Mungu wake) , Wanaccm wengine wote waliufyata kwa hofu ya kutekwa na kuuawa .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Naona mzimu wa Jiwe umekufumua 0713 Leo usiku ukaamua kufunguka upupu hapa
 
Licha ya kwamba ni upotoshaji wa kiwango cha juu sana lakini hauna nguvu, umuhimu wala maana yoyote, na kwahivyo yafaa kupuzwa kama ambavyo inafaaa 🐒

Nyalandu hakuondoka CCM by mistake, ispokua kwasababu ya blunders zake nyingi mno alizozifanya mwenyewe kwa kujua ama kutokujua pale maliasili. Hakua na chaguo baada ya kubaini kwanza, hangekua na nafasi tena serikalini lakini pia alihisi ametengwa na angeshughulikiwa kwa mujibu wa sheria kwa makosa yake huko maliasili 🐒

Lakini pia,
kuhamia kwake chadema, alilenga kuiatract govt.kumuintimidate zaidi ili apate sababu ya kukimbilia exile ughaibuni kwasababu za eti kutishiwa maisha kama ambavyo kibaraka anavyofanya hivi sasa. Anakula maisha mwanawane 🐒

Licha ya kuwindwa sana hata pale chadema lakini pia kuwekwa kwenye rada na mipango ya kum-Chacha Wange, Nyalandu alikua mtulivu na imara zaidi kusoma michezo, kubaini na kukwepa mitego mingi sana aliowekewa na viongozi waandamizi wa chadema kutumia mgongo wa Redbriged.
Nyalandu alionekana kuweka kauzibe na kutatiza waandamizi wapigaji wasile vizuri cake ya chama 🐒

Mwisho,
baada ya nyalandu kupigwa baridi sana chadema pamoja na wenzake kama vile Hayati Lowasa, L.Masha, F.Sumayi wote waliamua kurejea CCM bila mbambamba yoyote, na sasa wanaendelea kuchapa kazi mbalimbali sawasawa na wanachama wengine na walipa kodi nchini 🐒
 
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu

View attachment 2933903

Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani , ilikuwa hatari sana kwake , maana angeweza hata kuuliwa kwa kitendo hicho .

Haijawahi kuwa utamaduni wa wanaccm kujivua vyeo kwa sababu ya Uchafu wa kiongozi mkuu , huyu rekodi yake haiwezi kufanana hata na Mrema ambaye alisubiri kwanza apokonywe Cheo ndio atoke , tena baada ya kuahidiwa vyeo vikubwa huko alikoenda .

Mamluki wa Jiwe akiwemo Hamis Kigwangwala alitangaza bungeni kwamba atamshitaki Nyalandu Mahakamani kama sehemu ya vitisho vya kumshughulikia , Lakini hadi Kigwangwala anazeeka hakuwahi kwenda hata kwa mjumbe wa nyumba 10 kumshitaki Nyalandu

Pamoja na kwamba Nyalandu amerejea CCM kwa sababu za kimaisha lakini atabakia kuwa miongoni mwa wanaccm waliomdhalilisha Jiwe hadharani , huyu alipinga ROHO MBAYA YA KINYAMA YA JIWE KUZUIA WANACCM KWENDA KUMUONA LISSU HOSPITALI BAADA YA KUJERUHIWA NA MAMLUKI WALIOTUMWA NA SERIKALI YA JIWE (HII NI KWA MUJIBU WA TUNDU LISSU MWENYEWE) , hata hivyo Mzee Mwinyi (RIP) alikataa unafiki huo na kuamua kwenda Nairobi kumuona Lissu bila kujali lolote (hii ilichagizwa na ucha Mungu wake) , Wanaccm wengine wote waliufyata kwa hofu ya kutekwa na kuuawa .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Anataka kurudi Chadema?
 
Wote ni wale mafisadi tulioaminishwa na chadema kuwa anamaliza wanyama pori hai na kugawa vitalu kwa rushwa na kaoa miss tanzania kweli chadema wakikuambia usiku toka nje ukahakikishe shetani wanamuita mtakatifu!
 
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu

View attachment 2933903

Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani , ilikuwa hatari sana kwake , maana angeweza hata kuuliwa kwa kitendo hicho .

Haijawahi kuwa utamaduni wa wanaccm kujivua vyeo kwa sababu ya Uchafu wa kiongozi mkuu , huyu rekodi yake haiwezi kufanana hata na Mrema ambaye alisubiri kwanza apokonywe Cheo ndio atoke , tena baada ya kuahidiwa vyeo vikubwa huko alikoenda .

Mamluki wa Jiwe akiwemo Hamis Kigwangwala alitangaza bungeni kwamba atamshitaki Nyalandu Mahakamani kama sehemu ya vitisho vya kumshughulikia , Lakini hadi Kigwangwala anazeeka hakuwahi kwenda hata kwa mjumbe wa nyumba 10 kumshitaki Nyalandu

Pamoja na kwamba Nyalandu amerejea CCM kwa sababu za kimaisha lakini atabakia kuwa miongoni mwa wanaccm waliomdhalilisha Jiwe hadharani , huyu alipinga ROHO MBAYA YA KINYAMA YA JIWE KUZUIA WANACCM KWENDA KUMUONA LISSU HOSPITALI BAADA YA KUJERUHIWA NA MAMLUKI WALIOTUMWA NA SERIKALI YA JIWE (HII NI KWA MUJIBU WA TUNDU LISSU MWENYEWE) , hata hivyo Mzee Mwinyi (RIP) alikataa unafiki huo na kuamua kwenda Nairobi kumuona Lissu bila kujali lolote (hii ilichagizwa na ucha Mungu wake) , Wanaccm wengine wote waliufyata kwa hofu ya kutekwa na kuuawa .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Mkuu
Hizi zama za kuingia mitego ya kupambana na marehemu zinatoa mwanya kwa wahuni waliomzunguka marehemu kuendelea kuiumiza nchi. Sidhani kama Jiwe alikuwa anamfuata mtu live na kumshughulikia. Je walioshiriki ama kupanga hizo moves za kuwashughulikia wanaompinga Hayati nao walikufa naye? La hasha, bali tunaona wimbo wa kumlaani Jiwe unaanzia kuimbwa na walewale waliokuwa right hand wake kwenye ule unyama.
Mimi kwa mtazamo wangu ni kwamba, wale wote waliosimama na jiwe hadi dakika za mwisho nao ni mulemule. Hawana nafuu wala heri kwa Tanzania yetu. CCM imeshageuzwa kijiwe cha mipasho na minyukano bila kujali thamani ya Tanzania. Wakati Rais anahubiri na kusimamia 4R zake, juzi anakamatwa kijana wa BAVICHA na kupewa kipigo kikali akiwa selo za polisi. Unadhani ni rais alienda kumzabua kule? La hasha, bali wale wanaonufaika na tabia mbaya za viongozi wa nchi hii.

Naongea hapa kwa kutumia pen name lakini naelewa mengi sana yanayotisha ya hii CCM ambayo mimi ni member wake. Rais anatangaza uhuru wa wanaomkosoa wakati hajafuta sheria kandamizi za mitandao na ile inayolinda upuuzi wa viongozi kwa kuwawekea hadhi hata kama hawana hadhi hiyo.

Janga la Tanzania siyo jiwe pekee. Janga la Tanzania ni CCM. Msipoteze focus ya kuona ccm ni bora wakati wakuu wake ndo walewale kama Hayati. Tunaona namna ambavyo vyombo vya ulunzi na usalama vikigeuzwa immaginary Jumuiya za Chama.

Jiwe, haamki tena kuendelea zile zake, bali hawa tulio nao ni hatari zaidi ya aliyeenda
 
Back
Top Bottom