Freeman Mbowe ni mwenyekiti pekee wa Upinzani mwenye Mafanikio ya Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Sisi tunayemfahamu mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe tokea kitambo tunamuona ni mtu mwenye Mafanikio Katika nyanja karibia zote

Kudumu Kwenye Siasa za Upinzani kwa Zaidi ya miaka 30 hapa Tanzania Bila kuyumba yumba ni jambo la kupongezwa Sana

Huwa najiuliza Mbowe aliwezaje kuwashawishi mzee Marando, mzee Sumaye, mzee Lowasa na Kingunge kujiunga CHADEMA!!

Mbowe apewe maua yake

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Sisi tunayemfahamu mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe tokea kitambo tunamuona ni mtu mwenye Mafanikio Katika nyanja karibia zote

Huwa najiuliza Mbowe aliwezaje kuwashawishi mzee Marando, mzee Sumaye, mzee Lowasa na Kingunge kujiunga Chadema!!

Mbowe apewe maua yake

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka

Mlale Unono
Mbowe ni jabari la siasa za nchi hii na Africa kwa ujumla, ameyapitia mengi mnoo na yote ameyavuka akiwa salama na chama chake...
 
Ni Mwenyekiti pekee aliyedhulumu waandishi wa habari
.
JamiiForums1381953234.jpg
 
Sisi tunayemfahamu mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe tokea kitambo tunamuona ni mtu mwenye Mafanikio Katika nyanja karibia zote

Kudumu Kwenye Siasa za Upinzani kwa Zaidi ya miaka 30 hapa Tanzania Bila kuyumba yumba ni jambo la kupongezwa Sana

Huwa najiuliza Mbowe aliwezaje kuwashawishi mzee Marando, mzee Sumaye, mzee Lowasa na Kingunge kujiunga Chadema!!

Mbowe apewe maua yake

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mzee Mbowe anastahili pongezi kwa kuweza kusimamia kampuni ya ukoo kwa mgongo wa chama cha siasa. Hakika anastahili kupewa maua yake
 
Mhe mbowe ni jabari la siasa za nchi hii na Africa kwa ujumla, ameyapitia mengi mnoo na yote ameyavuka akiwa salama na chama chake...
Ameyavuka vipi?? Chama miaka 30 kinazidi kupotea halafu wewe unasema kuna mafanikio? Mafanikio pekee ninayoyaona kwa Mbowe ni ujasiri wa kupora Ruzuku bila aibu na kujenga gorofa Machame
 
Sisi tunayemfahamu mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe tokea kitambo tunamuona ni mtu mwenye Mafanikio Katika nyanja karibia zote

Kudumu Kwenye Siasa za Upinzani kwa Zaidi ya miaka 30 hapa Tanzania Bila kuyumba yumba ni jambo la kupongezwa Sana

Huwa najiuliza Mbowe aliwezaje kuwashawishi mzee Marando, mzee Sumaye, mzee Lowasa na Kingunge kujiunga CHADEMA!!

Mbowe apewe maua yake

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kingine ni hiki , Mbowe siyo Mshamba kama hao viongozi wengine , Nadhani ushamba ichukuliwe kama kigezo cha kunyima watu uongozi .

Haiwezekani Mshamba akapewa Cheo au Madaraka , Wanaharibu sana mambo .
 
Sisi tunayemfahamu mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe tokea kitambo tunamuona ni mtu mwenye Mafanikio Katika nyanja karibia zote

Kudumu Kwenye Siasa za Upinzani kwa Zaidi ya miaka 30 hapa Tanzania Bila kuyumba yumba ni jambo la kupongezwa Sana

Huwa najiuliza Mbowe aliwezaje kuwashawishi mzee Marando, mzee Sumaye, mzee Lowasa na Kingunge kujiunga CHADEMA!!

Mbowe apewe maua yake

Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Acheni kumtia ujinga hadi sasa hamna mwanasiasa wa upinzani mwenye mafanikio ya kisiasa hadi huu upuuzi wa CCM utolewe madarakani.
 
Back
Top Bottom