Maandamano ya Kisiasa ni yale yasiyokuwa na Kikomo Haya ya Chadema ni Matembezi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Nyakati Hizi za Mfungo ni za kuelezana Ukweli Kwamba Chadema wanafanya Matembezi ya kutoa Ujumbe kwa Serikali lakini siyo Maandamano

Maandamano huwa hayana kikomo hadi pale kile kinachopambaniwa kipatiwe majibu

Chadema huwa Wanatembea Pamoja kuelekea Uwanja wa mkutano halafu wanahutubiana Wao kwa Wao

Ramadan Mubarak ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ”ฅ
 
Duh ๐Ÿ™„ !
 
maandamano yasiyo na agenda wala muelekeo zote hayana tija waka faida kwa yeyote zaid ya usumbufu tu kwa wenye shughuli zao...

utadhani masalia bana..
 
Back
Top Bottom