Yoon Suk Yeol: Taarifa za uongo zinaathiri wananchi kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi

JamiiCheck

Member
Nov 3, 2023
54
41
1711385764579.png
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu

Yoon ameeleza Taarifa zisizo za kweli wakati wa Uchaguzi huweza kuathiri mchakato mzima wa Demokrasia kwa kuwafanya Wananchi wafanye maamuzi yasiyo sahihi yanayotokana na taarifa zisizo na ukweli

Korea Kusini inatarajiwa kuwa na Uchaguzi hivi karibuni huku ikidaiwa Nchi hiyo imekumbwa na tabia ya kusambaa kwa taarifa nyingi potofu kupitia Mitandao ya Kijamii.

Zaidi, tembelea Jukwaa la JamiiCheck kwa kubofya HAPA
 
Back
Top Bottom