Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,754
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.

Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi hawamwelewi.Huko kwenye maandamano ameongea hadi amekaribia kupata shinikizo la damu lakini wapi.

Akaona achezee hela za chama wakaitana tena pale Mtwara wakatoka na azimio la maandamano katika miji mikuu ya mikoa na wilaya.Yaani mnasafiri kwenda mtwara mnaazimia kuandamana!

Sasa ameona njia pekee iliyobakia ni uzushi tu, akipanda stejini kulalamikia hali ngumu ya maisha, wabunge wamejiongezea mishahara, sijui Rais Samia kafanya hivi, yaani hana tena hoja.

Naona kuna siku atajichanganya atavunja sheria za nchi atarudi Ukonga kuendelea na maisha yale yale ya wakati ule.

Maana utaendelea kutoa taarifa za uongo hadi lini? Serikali ipi itakuangalia weeee uwe unapotosha na kuleta uchonganishi, hakyamungu Mbowe utayatimba tu.

Kumbuka mahabusu kuna joto sana, hakulaliki huko.Shauri yako.
 
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.

Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi hawamwelewi.Huko kwenye maandamano ameongea hadi amekaribia kupata shinikizo la damu lakini wapi.

Akaona achezee hela za chama wakaitana tena pale Mtwara wakatoka na azimio la maandamano katika miji mikuu ya mikoa na wilaya.Yaani mnasafiri kwenda mtwara mnaazimia kuandamana!

Sasa ameona njia pekee iliyobakia ni uzushi tu, akipanda stejini kulalamikia hali ngumu ya maisha, wabunge wamejiongezea mishahara, cjui Rais Samia kafanya hivi, yaani hana tena hoja.

Lisu alipgwa risasi na nani? Kwanini hatuwezi kuzalisha sukari ya kutosha, mafuta ya kutosha, mchele wa kutosha?
M Tanzania anaishi chini ya buku mbili kwa siku! Bajeti yetu tilioni 44! Tunachokusanya tilioni 29 tu! Zingine mpaka tukakope! Matumizi, ya, kawaida tilioni 24! Maendeleo tilioni 6!
Mbowe hahitaji kupotosha kitu! Maandiko yapo ukutani!
 
Mbowe anaringia misukule yake aliyoijaza mitandaoni. Ndiomaana anaweza kukurupuka kuongea lolote, akiamini misukule yake itapushi ajenda yake mbele iaminiwe na wagonjwa wa akili.
 
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.

Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi hawamwelewi.Huko kwenye maandamano ameongea hadi amekaribia kupata shinikizo la damu lakini wapi.

Akaona achezee hela za chama wakaitana tena pale Mtwara wakatoka na azimio la maandamano katika miji mikuu ya mikoa na wilaya.Yaani mnasafiri kwenda mtwara mnaazimia kuandamana!

Sasa ameona njia pekee iliyobakia ni uzushi tu, akipanda stejini kulalamikia hali ngumu ya maisha, wabunge wamejiongezea mishahara, cjui Rais Samia kafanya hivi, yaani hana tena hoja.

Naona kuna siku atajichanganya atavunja sheria za nchi atarudi Ukonga kuendelea na maisha yale yale ya wakati ule.

Maana utaendelea kutoa taarifa za uongo hadi lini? Serikali ipi itakuangalia weeee uwe unapotosha na kuleta uchonganishi, hakyamungu Mbowe utayatimba tu.

Kumbuka mahabusu kuna joto sana, hakulaliki huko.Shauri yako.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Hoja hujibiwa kwa hoja.yy kasema mnalipwa MILIONI 18 kwa SASA.tuambieni nyie mnaliwa sh NGAPI au NI IPI kauli rasmi kuhusu Hilo la mbowe?kama kadanganya c achukuliwe hatua madhubuti?
 
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.

Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi hawamwelewi.Huko kwenye maandamano ameongea hadi amekaribia kupata shinikizo la damu lakini wapi.

Akaona achezee hela za chama wakaitana tena pale Mtwara wakatoka na azimio la maandamano katika miji mikuu ya mikoa na wilaya.Yaani mnasafiri kwenda mtwara mnaazimia kuandamana!

Sasa ameona njia pekee iliyobakia ni uzushi tu, akipanda stejini kulalamikia hali ngumu ya maisha, wabunge wamejiongezea mishahara, cjui Rais Samia kafanya hivi, yaani hana tena hoja.

Naona kuna siku atajichanganya atavunja sheria za nchi atarudi Ukonga kuendelea na maisha yale yale ya wakati ule.

Maana utaendelea kutoa taarifa za uongo hadi lini? Serikali ipi itakuangalia weeee uwe unapotosha na kuleta uchonganishi, hakyamungu Mbowe utayatimba tu.

Kumbuka mahabusu kuna joto sana, hakulaliki huko.Shauri yako.
Mkuu kwenye andiko lako kuna kila dalili zenye kuashiria kuwa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani unakuhusu. Yaani kiongozi kutoka chama cha upinzani aache kuonyesha madudu yanayofanywa na bunge pamoja na serikali ya chama tawala kisa eti atashughulikiwa! Shubamit
 
Lisu alipgwa risasi na nani? Kwanini hatuwezi kuzalisha sukari ya kutosha, mafuta ya kutosha, mchele wa kutosha?
M Tanzania anaishi chini ya buku mbili kwa siku! Bajeti yetu tilioni 44! Tunachokusanya tilioni 29 tu! Zingine mpaka tukakope! Matumizi, ya, kawaida tilioni 24! Maendeleo tilioni 6!
Mbowe hahitaji kupotosha kitu! Maandiko yapo ukutani!
Akikujib nitag
 
Mbona mnalalama? Alichosema Mbowe kina ukweli. Mjomba wangu ni mbunge, mwezi uliopita amelipwa milioni 18. Kwani uwongo?
Nani kasema hawajajiongeza mshahara? Mbowe ni kama huyo mjomba wako mbunge, anazitamani hizo 18m.
 
Back
Top Bottom