Sisi Team Samia wenye akili tunaonekana hatufai

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.

nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
WhatsApp Image 2024-03-25 at 11.08.39.jpeg
 
View attachment 2944199
Kwa sasa kazi ni moja tu: 'Kusifu na Kuabudu Awamu za utawala hapa nchini.'
 
Mkuu usichokijua ni kwamba sehemu kubwa ya tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni wajinga ila mfumo unawabeba...wale warevu wanawekwa pembeni!.
Labda kama mapinduzi yaje yatokee huko mbeleni...ila kwa katiba hii sahau, eti uchaguzi??!!.
 
Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.

nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
View attachment 2944199
MACHAWA MNATIA KINYAA
 
Lililo dhahiri ni kuwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa, ofisi za Serikali zinashikiliwa na watu ama wenye akili ndogo sana au wasio na akili kabisa. Wachache wenye akili ni wale ambao wameamua kuweka akili pembeni na kuutumikia unafiki.
 
Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.

nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
View attachment 2944199
Bado hamjasema Hadi useme 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C48MxFyMzHZ/?igsh=MWE0dnhpOXc4bzltbQ==
 
Mkuu usichokijua ni kwamba sehemu kubwa ya tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni wajinga ila mfumo unawabeba...wale warevu wanawekwa pembeni!.
Labda kama mapinduzi yaje yatokee huko mbeleni...ila kwa katiba hii sahau, eti uchaguzi??!!.
Basi walioko ndani wanawazidi akili.
 
Hata mm namshukuru sana rais Samia kwa UTI inayonisumbua. Nani kama Samia??
 
Wa design hii hashindwi hata kusifia ushuzi wa muheshimiwa kuwa ni bora kuliko hata wa muhindi alieshiba dengu.
 
Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.

nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
View attachment 2944199
Hadi nimepatwa na hasira ghafla! Ee Mungu nisamehe
 
Back
Top Bottom