Jamani Sasa Tupeleke Macho Na Masiki Ngorongoro

Democrasia

Member
Feb 1, 2008
79
3
Jamani kwenye ufisadi si BOT tuu bali hata mamlaka ya hifadhi ya ngoro ngoro. Faida inayopatika kwa mwezi ni zaidi ya shilingi 1billion out of which 6% wanagawana Mhifadhi mkuu na timu yake ya watu 11 sasa huu si ufisadi?
 
Ili tujadili hili unapaswa kutupa data zaidi maana yaonekana wewe uko .Weka data watu tuzame huko .Karibu sasa
 
Hili tatizo lilianza mwaka 1995 baada ya mkaguzi wa ndani kupinga yote hayo, na kugundua kuwa kulikuwa na fake permit za bilioni 15 ambazo zililiwa na uongozi ukiongozwa na profesa Hirji
Huyu profesa Hirji ameowa nyumba moja na Mr Clean. Baada ya hapo Profesa akiwa na mhifadhi mkuu kipindi hicho Mr Emanueli Chausi ambaye alifariki mwaka jana wakamfukuza kazi Mkaguzi huyo wa ndani
Mama Meghji by then alikuwa waziri wa Utalii,Tatizo lilipofika mezani kwake baada ya kulalamikiwa sana na mkaguzi huyo wa ndani akaamriwa na bwana clean avunje bodi hiyo iliyokuwa chini ya Profesa Hirji.
Sasa tunaposema kuwa kuna Ubadhirifu ndio hapo.
Yaani badala ya kumpongeza Mkaguzi huyo wa ndani badala yake wakamfukuza kazi. Jamani tutafika?????

Naomba tulifuatilie hili swala tujue hatma yake na mkaguzi huyo aweze kupewa haki zake
 
Tunahitaji data za kina, hili tuweze kuzama kwenye hili suala,hatupendi kujadili mambo ya kuzania, lete fact,hebu check ile ya ATCL,kumekuwa na uchambuzi wa kina sana. Lete data Democrasia
 
Hna mimi naweza kuuliza maswali kidogo,
1.je?mama Swai bado ni mkurugenzi huko ama kashatimuliwa?
2.je?mzee machenje ambaye ni jirani yake mr.clean kule ntwara bado yupo ama kashatoka huko?

Democrasia kama upo jikoni ukijibu ntaweza kujua jinsi ya kupata data kwani hawa wana mgomvi wao hapo mamlaka na huwa hawaivi tangia zamani ...
 
Infact Ufisadi haupo tu katika Ngorongoro hata katika shirika la hifadhi a Taifa, TANAPA. Na huu umekuwepo muda mrefu sana. Kwanza kulikuwa hakuna sababu ya msingi ya kuitenga Ngorongoro kutoka TANAPA na kutengeneza shirika lingine. Hapo awali ngorongoro ilikuwa inahifadhiwa na TANAPA na ilikuwa sehemu ya mbuga ya Serengeti.

Watanzania kila siku wanajivunia kuwa tuna maliasili za wanyamapori, ohh utalii lakini kimsingi hizi zinawanufaisha watu wachache sana. Mashirika yote haya mawili hayachangii chochote katika hazina ya Taifa zaidi ya kodi. Hata hivyo kuna mikakati inafanywa ili wasilipe kodi, eti kwa sababu wanamajukumu mazito.

Wakati idadi ya wanyam inaendelea kupungua siku hadi siku, mwaka jana members wa board ya TANAPA waligawana kifuta jasho cha shilingi Million 20 kila mmoja eti kwa sababu wamevuka lengo. Imagine ma-rangers ambao ndo wanakaa kila siku huko porini na kulinda wanyama, hawakuambulia bonus yoyote. Hizi tasisi mbili pamoja na board zake ni hatari sanaaaaaa.
 
Mpiganaji, hapo juu kama kumbukumbu zangu ziko sahihi waligawana milioni 28 kila mmoja na sio 20 tu......
 
Hii tunaongelea Tanzania iliyo jamaa umasikini na masikini ? Wanyama wengi sasa wako Ulaya na uarabuni . Karibia utasikia watalii wanatoka Africa kwenda kuwaona wanyama wetu Ugenini .
 
Pale Getini KINAPA Marangu ndo huongoza kwa ukusanyaji mapato Watalii (about 25-30% ya Utalii wote Tz). Asilimia kubwa ya hii pesa huibiwa pale pale!

Hawa macashier huwa na vitabu viwili- cha kwao na cha serikali. Hawa macashier na Management ya KINAPA huchukuwa kama 3-5 m Tshs kila siku -home na risiti hutoa- sema Mzungu hawezi jua kama uhalali wa risiti!

Kuna jamaaa - watu wadogo tu macashier wanafanya kazi pale- basi ni matajiri na mitaani hutesa -utadhani ni Mengi!

Hii nchi kuna watu wanakula tu- sasa hata faida ya Utalii Tz sijui ni nini?

Je MNRT je hili mnalijua? Au nanyi pia mnakatiwa kidogo?

Yaani Tz karibi kila Mtu anaiba- toka top Warizi hadi Cashier!

Je tutafika?
 
Huo ujinga wa marangu getini ndio unaofanywa pale Ngorongoro getini.
Haiwezekani mtu ana mshahara wa sh 750,000.00 lakini allawance nyingine which is not taxable ni zaidi ya 6,000,000.00
wapi na wapi?
 
Hayo ya hapo Marangu mbona madogo sana?
Nendeni ngorongoro getini ndio utaona mambo ya kushangaza.
Cashier ana taxable basic salary ya sh 700,000.00 na ana non taxable benefit ya 6,000,000.00 kwa mwezi. Je Tutafika
Kuna kajamaa kamoja Kanaitwa Mshana hana elimu lakini alikuwa Chief Accountant kwa muda wa mwaka mmoja tuu lakini alijenga Gorofa NNE pale njiro Arusha
Na sasa ndio human resourse
Kumbuka kwamba haka kajamaa kana Ordinary diploma in Cooperative Accounting
 
Ukipita Ngorongoro gate cashier tuu pale kwa mwezi ana alawance ya milioni sita (6,000,000)
Mhasibu pamoja na kadiploma kake ka Cooperative Accounting Ameact mwaka mmoja tuu akachomoka na gorofa 3 pale Njiro
Wala hatumfichi anaitwa Mshana, na gorofa zake ziko opposite na TEMDO
 
Je Tutafika

Kamanda vipi hapo juu... Naona kuna migongano katika kauli zako
 
Ili Tz tuondelee kwa sasa hatuhitaji misaada- we need kuhakikisha mapato yetu yanakusanywa vizuri na kuziba tu kapu linalovuja!

Sasa Marangu na Ngorongoro ndo hukusanya pesa za Utalii kwa wingi na ndo huibiwa kwa kiasi hicho- je kwingine kapu linapovuja je?
 
Ukipita Ngorongoro gate cashier tuu pale kwa mwezi ana alawance ya milioni sita (6,000,000)
Mhasibu pamoja na kadiploma kake ka Cooperative Accounting Ameact mwaka mmoja tuu akachomoka na gorofa 3 pale Njiro
Wala hatumfichi anaitwa Mshana, na gorofa zake ziko opposite na TEMDO

Nilipoona umemtaja mtu kwa jina kwa style hii nikajua majungu na chuki binafsi. Kwa kufuatilia nikakuta kumbe kweli bwana...tena habari zinasema ukiacha hiyo ipo nyingine ng'ambo ya mto na zote zimepanda ka uyoga!

Lakini shida kubwa haiko kwa Mshana peke yake, ni mfumo unaotawala huko Ngorongoro; kama mkubwa anakula hata wakusanyaji watakula. Leo ukimuuliza Mshana kapataje fedha ataweza kukuletea mahesabu yake ukaridhika maana posho zao nazo si mchezo.

Hii ni Tanzania ya wajanja!
 
Watu wanasema eti tunawaonea wivu!

Mimi naangalia Mwal. wa Primary kule Kongwa mshahara ni laki 1 kwa mwezi! Yet Accountant ana Allowance ya 6,000,000 kwa mwezi- licha ya mshahara!

Wote hawa wameajiriwa na serikali URT!

Halafu serikali inamwambia huyu mwalimu afanye kazi kwa bidii na uwezo wake wote!
 
Hivi TRA wanahabari na hizi non taxable benefit za hawa vigogo wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro?

Tuanaomba TRA pamoja na PCCB mtusaidie kuhusu hili kwa kuwa kwa mwaka mzima unakuta mtu ana non taxable income ya hadi Tshs 100 mill
TRA Pande hilo................ Kazi kwako mzee KITILYA
 
MAMA MANGUNGA TUNAOMBA UANZE NA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO, HUKU NDIKO KULIKOJAA UFISADI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom