what a quote:** "Anyone who does not Obey you PM let me know...**

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
1,225
Jana Muungwana alitoa Maneno haya wakati anawaapisha timu mpya ya Mtandao na usajili mpya wa wachezaji wa akiba "Anyone who does not Obey You (PM) let me know immediately and i will act immediately without hestitation",

Naomba tuwe makini na tuyachukue kwa sasa coz baadaye yanaweza yakawa point ya kuanzia kumhukumu Muungwana,na inawezekana alimwambia hivi hivi Lowassa.Hii itasaidia kumhukumu Muungwana Na PM kama PM akifanya Madudu kama YA RDC,Sitaki kusikia mambo ya Ubangusilo maaana Kilongola kashachaguliwa,

Nawashauri waheshimiwa Mawaziri kuwa na Kumbukumbuku zozote ambazo watakuwa wanapewa na Waziri Mkuu,na naomba kopi zote zitumwe hapa Jamboforums katika karabrasha letu kwa Ushahidi.

Nakaribisha Mjadala Mzito kujadili suala hili..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom