Baada ya siku za Bush tunaomba kujua gharama yote kwa ugeni huu ndugu JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya siku za Bush tunaomba kujua gharama yote kwa ugeni huu ndugu JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mitomingi, Feb 16, 2008.

 1. M

  Mitomingi Senior Member

  #1
  Feb 16, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimelazimika kuandika kidogo hapa kusikia wenzangu mnajua nini juu ya aina hizi ya Ziara za Marais kamam Bush kwenye Nchi masikini .Hii Ziara mimi imeniacha gizani kwa kuambiwa ina faida kubwa sana kwa ujio wake .

  Mimi ningalipenda kama faida itazidi gharama ambazo Tanzania itakuwa imeingia kwa kumpokeana kukaa naye siku kadhaa nyumbani .Walio wengi hata wazungu wenye mapesa huko Ulaya ziara za Bush Nchini mwao huwa wanazikwepa sana maana ni gharama na mzigo kwa Nchi zao muda wowote awapo kwao .Sisi rais wetu kasema ni faida kubwa kuja kwake na hata watu wameanza kuimbishwa faida hizo .Je mnaweza kunisaidia katika hili ?

  Mwisho naomba Ikulu ama mambo ya nje tafadhali sana mtupatie matumizi ama jumla ya gharama baada ya safari ya G.W.Bush
   
 2. M

  Mitomingi Senior Member

  #2
  Feb 16, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hakuna mtu hata mmoja toka serikalini aweze kunisaidia ?
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 4. M

  Mitomingi Senior Member

  #4
  Feb 16, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Braza get serious please .
   
 5. P

  Pedro Senior Member

  #5
  Feb 16, 2008
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 114
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe Mitomingi mimi simfagilii Bushi, ila watu wameweka historia kwa kutoa dollar karibu Million mia saba ($ 700,000,000) kusaidia kuupiga vita umasikini na maradhi kama ukimwi kwa Tanzania halafu hata kuja kututembelea wewe unaona uchungu kuwa atachemshiwa chai? jamani jamani wa-Tanzania tumefika huku tayari? jamani sisi si wakarimu? mtu anayekusaidia ni lazima umpe kubwa?
   
 6. M

  Mitomingi Senior Member

  #6
  Feb 16, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Pedro
  Ukisoma tenabandiko langu utajua kwamba mimi nataka kujua kama pesa walizo zitoa na gharama za kumweka Tanzania kama si sawa hii ni kutokana na historia ya marais wa Marekani kuwa ghali wakiwa nje za wenzao .Ndiyo maana nikahoji kwamba ni kweli itakuwa faida kama tunavyo ambiwa it is out of curiosity .
   
Loading...