Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

jee wapinzani wako tayari kwa mashirikiano haya? au wataona kuwa wanategwa maana wao kila kitu waoga wanaogopa kivuli chao source majira Kikwete: Huu ni mwaka wa kushirikiana na wapinzani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kwa sasa Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji. Alisema kutokana na hali hiyo, kosa linapotokea katika idara wanazoziongoza...
1 Reactions
88 Replies
11K Views
Uswidi yaridhishwa na siasa Zanzibar Na Ali Suleiman, Zanzibar SERIKALI ya Uswidi imesema imeridhishwa na hali ya kisiasa ya visiwa vya Unguja na Pemba ambapo amani na utulivu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Resign, Butiku tells tainted politicians THISDAY REPORTER Dar es Salaam MWALIMU Nyerere Foundation Executive Director Joseph Butiku has called for the resignation of cabinet ministers and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Takhriban miaka 14 iliyopita tulishikwa na butwaa tuliangalia jirani zetu wa Rwanda wakichinjana kwa mapanga. Tuliangalia tukikosa la kufanya hadi idadi ya waliopoteza maisha yao ilipofika karibu...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Maalim Seif amsifu Balozi Karume kuhusu hatima ya Zanzibar Na Mkinga Mkinga SIKU chache baada ya Balozi wa Tanzania nchini Italia, Ali Karume, kutangaza azma yake ya kutaka kugombea urais wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za kawaida Posted Date::2/2/2008 Shule zenye majina ya viongozi hoi mtihani kidato cha nne Na Joyce Mmasi SHULE za sekondari zenye majina ya viongozi, zimeonekana kufanya vibaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania... my beloved motherland.. How I long for you! I weep for you. To see your demise saddens me, enrages others and leads to many outcomes. Everytime I log onto JF the word I am most likely...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzimu wa ufisadi wawafuata makandarasi na Mwandishi Wetu Tanzania Daima SAKATA la ufisadi katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), linaonekana kuibua tuhuma nyingine kadhaa baada ya waliokuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mie naona kwa jinsi hali ilivyo na ambavyo watawala wetu wanavyolindana. Hakika kwa njia ya Ballot mafisadi wa tz kamwe hawataondoka badala yake watarithishana uongozi leo baba,kesho mwana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunasubiri kuona utekelezaji wa hiliJK: Fedha zote zilizoibwa BoT zitarejeshwa 2008-02-01 08:50:57 Na Joseph Mwendapole Rais Jakaya Kikwete, amewahakikishia Watanzania kuwa, fedha zote...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon amempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kuchaguliwa kuongoza Umoja wa Afrika (AU) katika kipindi cha mwaka mmoja. Pongezi hizo alizitoa juzi usiku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
EASY FRIDAY: No big fish wants Ballali back SIMONI MKINA DAR ES SALAAM THE Tanzanian skies are filled with cries. Adam’s sons and daughters are crying every minute because they are...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa napitia kwenye website ya UDSM na nimejikuta nakumbana na butwaa kubwa pale nilipokutana na tangazo la watawala kuwa wanafunzi wote wanapaswa kujilipia sh.laki moja kila mwaka kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ana nia kweli ya kulifanya hili au ni usanii mwingine? Karamagi, Mkono na mawaziri na wabunge wengine wengi wa CCM mpo? Posted Date::1/31/2008 Wabunge, mawaziri Tanzania kuchagua uongozi au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bi Anna Makinda yuko hwani anasoma kanuni mpya ya kumweka Waziri mkuu kitomoto lakini naona wanajenga hoja ya kumlinda ipasavyo. Wanasema maswali binafsi hayatakiwi ,maswali ya kusikia hayatakiwi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
WATATAJANA TU MSIMU HUU Mafisadi, sasa waanza kuumbuana SOURCE: ALASIRI 2008-01-31 15:37:37 Na Mwandishi Wetu, Jijini Kama Waswahili wasemavyo kwamba Waarabu wa Pemba hujuana kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
...Ama kweli ukistaajabu ya hayawani utaona ya taahira! sijui anataka kumdanganya nani huyu? bora apelekwe Mirembe Posted Date::1/30/2008 CCM yadai hoja ya ufisadi Benki Kuu Tanzania ni yao...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hapa ambazo zimenifikai hapa Dodoma humu ndani , zinasema JK sasa aukwaa Urais wa AU. Mwenye habari zaidi atutapatie .
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Posted Date::1/31/2008 Tanzania yapokea toka Ghana uenyekiti mpya Umoja wa Afrika Na Dennis Msacky, Addis Ababa, Ethiopia Mwananchi RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana jioni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom