JK Awa Rais wa AU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Awa Rais wa AU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Jan 31, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hapa ambazo zimenifikai hapa Dodoma humu ndani , zinasema JK sasa aukwaa Urais wa AU. Mwenye habari zaidi atutapatie .
   
 2. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2008
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hongera zake kwa kuchukua kimeo. Nasikia Omar Konare hataki hata kusikia habari za AU. Viongozi wa AU walipomshawishi aongeze muda, aliwajibu kuwa hawako serious na yeye binafsi hana muda mwingine wa kupoteza Addis Ababa. Sasa wakati wenzetu wanaona kuwa AU si kitu cha kujivunia, inawezekana kabisa sisi tukaufanya kama mtaji wa kukwepea kashfa za BOT na Richmond.
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa Tanzania hi itakuwa sera ya CCM kwamba wanakubalika na kazi ya awamu ya 4.Hope CCM hawataitisha maandamano kumpongeza .
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2008
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Wamtafute mbongo yeyete CCM atachukua hiyo post. Then atawaliza kama mama Mongella!!! Watanzania pekee ndiyo wanamuda wa kupoteza hata kama kazi haina kichwa wala miguu provided kuna pesa na wana nafasi ya kufanya ufisadi wao!!!
   
 5. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mi naona ni mambo ya ujiko usio msingi zaidi kuliko pesa.mambo ya kujenga resume.
  Kuongoza AU ni lazima uwe head of state.
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hata Idi Amin 1976 Aliwahi kuwa Chair OAU
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mafanikio awamu ya nne

  asha rose un
  lipumba un
  mongella au

  kikwete au

  mnalo
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2008
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Kazi nyumbani zinawashinda wanatafuta ujiko nje. JK tatizo hajaua kuwa jamaa washa mshtukia kuwa ni kilaza!!!
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo hili nalo ni kutokana na sera nzuri za CCM...ha haha haha hahaha!
   
 10. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2008
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mbona kiongozi wa CCM akikamatwa kwenye ufisadi wanamruka na kusema sio CCM ni mtu binafsi? lakini jambo lolote zuri hata kama haliwahusu, utasikia ni sera ma malezi mazuri ya CCM
   
 11. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hata dini ziko hivyo mabaya yanatokana na shetani na mazuri yanatokana na shetani.

  hivi lunyungu mpasuko wa habari au habaipasukayo?

  maana mpasuko wa habari ina maana hii habari imepasuka na kusambaratika au kunaonaje mwamme?

  usinuneeeeeeeee just ni muono tu
   
 12. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtu wa Pwani,

  haya sio mafanikio ya awamu ya nne ni mafanikio ya Tanzania tu!
   
 13. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mtu wa Pwani ...
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wasi wasi wangu ni kwamba sasa jamaa anaweza kuhamishia Ikulu yaliko Makao makuu . Umemsikia anaanza kusema Kichaka anakuja na Neema . Yaani anaona misaada yenye riba tena kubwa ni jambo la maana sana .Safari ndiyo sasa zimepata msafiri .
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Katika urais wake AU cha kujiuliza; atatetea vipi scandal inayomkabili Mama Mongella...


  SteveD.
   
 16. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  JK ni mnafiki anaweza kujaribu jaramba lakini ajue kuna ma west afrika kule yatamtoa mkuku atashangaa maana hawana ubia na mtu .
   
 17. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ninachukua nafasi hii kukupongeza wewe Mh. Jakaya Mrisho Kikwete (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) na watanzania wote kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa African Union.
  Kuchaguliwa kwako kwa kauli moja kuwa Rais wa AU ni ishara dhahiri ya imani waliyokuwanayo viongozi wenzako na waafrika kwa ujumla juu ya utendaji wako.
  Ninakutakia afya na mafanikio mema katika kipindi chako cha uongozi.
  Mwenyezi Mungu akuongoze.
   
 18. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Je wamempa hiyo nafasi kwa mtego?

  aanze na issue ya Kenya maana mpaka leo amekaa kimya.
   
 19. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  nnaaamini mh kikwete atafanya mengi mazuri, nnaamini kwa dhati kikwete ni mtu mzuri na amekuja wakati unaofaa.

  ni chaguo jema la afrika na nnaamini atajituma kuhakikisha afrika inasonga mbele na kupitia huko atajifunza kuinua na kuboresha tanzania
   
 20. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Jamani wacheni kuvamia ,maana huyu mtu hotuba yake ya mwanzo pale Bungeni alisema atahakikisha anaumaliza mgogoro wa kisiasa Zanzibar na kujenga matumaini kwa raia wa Zenji kuwa muungwana atafanya kweli ,mpa leo ni matumaini tu,na huko AU ameondokea dau hilo hilo la kurudisha amani ,sasa hayo ya Kenya ambayo ndio kwanza mabichi,ya darfour ambayo UN wameshindwa ,eti si angeonesha angalau amefanikisha hapa Tanzanz ,alafu ndio tukaona atafanya kweli ,huyo atawapiga domokaya na kuwajengea matumaini kibao ,yaani wa AU watajiona ni wakuu wa UN au wa Pentagon kwa matumaini watakayojengewa alafu si wabongo tunajuana kwa kuzuga zuga ,apo Muungwana ameshawateka mawazo akijua wazi mwaka utamaliza akuna cha Kenya wa Darfur bado wakenya wataendelea kuchinjana, ila maesabu ya Muungwana yapo katika makongamano ambayo hana wasi wasi akimaliza Mwaka anaondoka na kitita,ameanza kuwapigia kiluga jamaa wameona huyu ndio kiongozi mzalendo kumbe maesabu mengi tu.
  Muungwana hao jamaa wachune ile mbaya.yaani unamaliza mwaka hazina yote imeyeyuka kimaajabu ajabu ,unaweka Historia ya Tz.
   
Loading...