Jinsi Wananchi Wanavyoweza Maliza Mafisadi Na Ufisadi Ni Hiviii

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,220
Mie naona kwa jinsi hali ilivyo na ambavyo watawala wetu wanavyolindana.

Hakika kwa njia ya Ballot mafisadi wa tz kamwe hawataondoka badala yake watarithishana uongozi leo baba,kesho mwana keshokutwa mjomba na mjukuu.

Kutokana na watz tulivyo masikini ,mafisadi wanashinda uongozi kwa kununua wapiga kura,wananchi wameelemewa na umasikini wakipigwa mzinga mmoja wa wagongo kwisha kazi fisadi anapita kama kumsukuma mlevi kwenye mteremko.
Inaama familia za mafisadi ndizo zitaendelea kwa kila kitu kututawala na kupata elimu bora maana wao wanatuimbia hata kidogo tulichonacho kuendeleza jamii yao.

Na hali hii tukiacha siku za usoni itatupeleka kubaya sana maana mafisadi wataanza kutumia ngao fulani ili kupata kujilinda ,mfano fisadi anaweza tumia dini yake na akawafumba macho wana dini wake akiwapa misaada midogomidogo na siku akiandamwa kwa ufisadi yeye ataibandirisha sura na kusema wananiandama kwa sababu za udini.Ama anaweza tumia ngao fulani eiza ukabila ama vikundi wa walivyo navyo na wasio navyo.

Hivyo basi ili kukomesha mianya ya namna hii isipate kujipenyeza inabidi tuanze kuidhibiti kwa kuiumiza jamii ndogo inayopindisha uhuru na haki za kibinadamu na kuzidi kututokomeza ktk lindi la umasikini.
Hivyo wananchi inatakiwa tuji organise tupate sie wenyewe kuwahukumu wanao hatarisha uhuru na uchumi wetu kwa kuwaangamiza ama kuwapokonya kila walicho nacho.

Inapotokea ushaidi wa kutosha kabisa kama ufisadi wa BOT ama uuaji wa Ditopile sie wananchi tutangeze kumvua madaraka na tusisubiri rais kumvua ,pia ikienda sambamba na kumtanganzia hali ya hatari kwamba atakapopatikana na wananchi hukumu yake ni kifo kwa kupigwa mawe hadi kufa hii bado ikienda sambamba na kuvamia mali yake yote na kuifanyia watakavyo wananchi.

Hapa nafikiri tukitekeleza haya tutapunguza kwa kiwango kikubwa ufisadi na ku create jamii yenyenavyo inayonyonya wasionacho.
Hii hatua mimi naona ni muafaka kwani vyomba tulivyovipa mamlaka vinawatendea isivyo wasio nacho na walionacho kuwahararishia kufanya maovu.

mfano masikini akishukiwa kaiba kilo moja ya unga ambayo alitaka impitishe siku moja huyu mtu anatiwa nguvuni anagongwa vurungu na polisi anatiwa kolokoloni uchunguzi unafanywa wakati mtu huyu yupo rokapu.
Lakini fisadi akiiba mabilioni ya wananchi fisadi huyu anaundiwa tume tume inachunguza tume na jamaa anapeta kwanini huyu mshukiwa mwizi wa mabilioni asitiwe kolokoloni na uchunguzi ukiendelea kama ilivyo kwa masikini??.

Mtu anayechomoa bunduki anafyatua ana ua mtu kwa sababu tu ya kigari kuguswa na kigari chenyewe ni ufisadi walioibia wananchi lakini mwananchi bado anauliwa na jamaa anaachiwa huru.

HII ni kuonyesha jinsi vyombo vyetu tulivyovipa mamlaka vimeshindwa na wananchi inabidi tuchukue mamalaka yetu na sie wenyewe tuhukumu kwa ajili ya vizazi vyetu na siku mustakbali wetu utakapoonyoka tutavirudishia tena vyombo hivi mamalaka.

Na kupokonya mali pia kuwaangamiza mafisadi kutawatia ktk wakati mgumu na watajiudhuru wenyewe na kukimbia na hapo ndipo tutakapopata viongozi wenye uchungu na nchi pia wenye nia njema ya kuwakomboa watanzania.
 
kwa maana nyingine ni kua uongozi wetu ni wa kidikiteta hata wananchi waturn kwa asilimia zote kukataa mafisadi bado watafanya mambo ya kibaki na kuendelea kuhenzi kiti eti wakiita kupokezana vijiti kwani hatujawasikia wakisema ni mwendo wa kupokezana vijiti?

Zanzibar wamekataliwa mara zote lakini hawajaondoka ndivyo itakavyokua kizazi hadi kizazi tusipochukua njia mhimu na zamakusudi kuukomesha ufisadi huu.
sijui hatima yake itakuwaje.
 
Mie naona kwa jinsi hali ilivyo na ambavyo watawala wetu wanavyolindana.

Hakika kwa njia ya Ballot mafisadi wa tz kamwe hawataondoka badala yake watarithishana uongozi leo baba,kesho mwana keshokutwa mjomba na mjukuu.

Kutokana na watz tulivyo masikini ,mafisadi wanashinda uongozi kwa kununua wapiga kura,wananchi wameelemewa na umasikini wakipigwa mzinga mmoja wa wagongo kwisha kazi fisadi anapita kama kumsukuma mlevi kwenye mteremko.
Inaama familia za mafisadi ndizo zitaendelea kwa kila kitu kututawala na kupata elimu bora maana wao wanatuimbia hata kidogo tulichonacho kuendeleza jamii yao.

Na hali hii tukiacha siku za usoni itatupeleka kubaya sana maana mafisadi wataanza kutumia ngao fulani ili kupata kujilinda ,mfano fisadi anaweza tumia dini yake na akawafumba macho wana dini wake akiwapa misaada midogomidogo na siku akiandamwa kwa ufisadi yeye ataibandirisha sura na kusema wananiandama kwa sababu za udini.Ama anaweza tumia ngao fulani eiza ukabila ama vikundi wa walivyo navyo na wasio navyo.

Hivyo basi ili kukomesha mianya ya namna hii isipate kujipenyeza inabidi tuanze kuidhibiti kwa kuiumiza jamii ndogo inayopindisha uhuru na haki za kibinadamu na kuzidi kututokomeza ktk lindi la umasikini.
Hivyo wananchi inatakiwa tuji organise tupate sie wenyewe kuwahukumu wanao hatarisha uhuru na uchumi wetu kwa kuwaangamiza ama kuwapokonya kila walicho nacho.

Inapotokea ushaidi wa kutosha kabisa kama ufisadi wa BOT ama uuaji wa Ditopile sie wananchi tutangeze kumvua madaraka na tusisubiri rais kumvua ,pia ikienda sambamba na kumtanganzia hali ya hatari kwamba atakapopatikana na wananchi hukumu yake ni kifo kwa kupigwa mawe hadi kufa hii bado ikienda sambamba na kuvamia mali yake yote na kuifanyia watakavyo wananchi.

Hapa nafikiri tukitekeleza haya tutapunguza kwa kiwango kikubwa ufisadi na ku create jamii yenyenavyo inayonyonya wasionacho.
Hii hatua mimi naona ni muafaka kwani vyomba tulivyovipa mamlaka vinawatendea isivyo wasio nacho na walionacho kuwahararishia kufanya maovu.

mfano masikini akishukiwa kaiba kilo moja ya unga ambayo alitaka impitishe siku moja huyu mtu anatiwa nguvuni anagongwa vurungu na polisi anatiwa kolokoloni uchunguzi unafanywa wakati mtu huyu yupo rokapu.
Lakini fisadi akiiba mabilioni ya wananchi fisadi huyu anaundiwa tume tume inachunguza tume na jamaa anapeta kwanini huyu mshukiwa mwizi wa mabilioni asitiwe kolokoloni na uchunguzi ukiendelea kama ilivyo kwa masikini??.

Mtu anayechomoa bunduki anafyatua ana ua mtu kwa sababu tu ya kigari kuguswa na kigari chenyewe ni ufisadi walioibia wananchi lakini mwananchi bado anauliwa na jamaa anaachiwa huru.

HII ni kuonyesha jinsi vyombo vyetu tulivyovipa mamlaka vimeshindwa na wananchi inabidi tuchukue mamalaka yetu na sie wenyewe tuhukumu kwa ajili ya vizazi vyetu na siku mustakbali wetu utakapoonyoka tutavirudishia tena vyombo hivi mamalaka.

Na kupokonya mali pia kuwaangamiza mafisadi kutawatia ktk wakati mgumu na watajiudhuru wenyewe na kukimbia na hapo ndipo tutakapopata viongozi wenye uchungu na nchi pia wenye nia njema ya kuwakomboa watanzania.
TRUE!EVERYTHING YOU SAID SHOULD BE DONE!
 
watanzania tunatakiwa tuwe na maarifa ya ku takle hawa mafisadi tukisubiri sijui eti ballot tumekwisha !!!!!!!!!jamaa hawa hawezi ondoka.

ufisadi unaotokea sasa hivi hakika CCM hawawezi kuachia kiti hicho badala yake watapokezana kijiti hicho mafisadi ili kulinda wapumzike mafisadi waliotangulia hii ni mpaka mwisho wa dunia ama.
 
Mpaka ifikie mahali ambapo wananchi walio wengi wawe hoi bin taabani yaani hawana cha kupoteza tena, hapo ndipo songombingo la kung'oa mafisadi litakapoanza kwa dhati, sasa hivi bado kuna kaji-ahueni fulani hivi kwa wachache tunabanana hivyohivyo, ngoja katoweke, watu wakate tamaa kabisa ya maisha, yaani ule msemo wetu uswahilini: "kila kukicha afadhali ya jana" utimie! Halafu fisadi ajipitishe na stori za "amani na utulivu"...
 
Naomba kutofautiana nanyi ndugu zangu kwani njia zinazopendekezwa kwa kiwango kikubwa sana zitaleta matokeo ya hatari na labda yenye madhara zaidi. Kwanini tusijaribu kujipanga na kuwaeleimisha wananchi wetu KUSUSIA AINA YOYOTE YA UCHAGUZI AMBAYO TUNA SHAKA NAYO KUWA ITAENDELEZA HUU MFUMO WA KIFISADI? Hii ni aina mojawapo ya civil disobedience. Naamini watawala watakapoitisha uchaguzi siku moja wakute turn out ni kati ya asilimia 5 hadi 10, watagundua kuwa wananchi hatuna tena imani na mfumo uliopo na wataelewa kuwa hata wakichaguliwa kwa kutegemea hiyo asilimia, hawatakuwa na raha ya kutawala, wakijua kuwa idadi kubwa ya wananchi wamewasusia.
Hili likifanywa kisayansi linawezekana,
 
Hii uliyopendekaza inafanya kazi tu kwa viongozi waliojitolea kuwaendeleza wana nchi wake na kiongozi wa namna hii akiona hana sapoti ya wale awaongozae huamua kujiudhuru.

Lakini kwa viongozi wa afrika are there to stay wether u like or not na ikienda sambamba ni masikini kumfanya masikini yaidi na sivyo tu bali na kumkandamiza hata ktk vyombo vya sheria.

we want real rebalation
Hapa ninachoongelea si uchaguzi wa rais ama wabunge tu bali the whole system ni ya kikoloni ,sie bado watwana ,sie bado hatuna uhuru.
Kama jamaa akiguswa gari lake anachomoa mtutu anaua na anaendelea kupeta mtaani kuna tofauti gani na wakati wa mkoloni.
ole wako masikini ujaribu kuchomoa kisu tu kumuonyesha moja ya wakoloni wetu hakika utahukumiwa kifo.

watu wanaiba mabilioni wanaundiwa kamati mbona
kasusula hakuundiwa kamati??
Ukoloni wa watu weusi ni mbaya kuliko .
 
Back
Top Bottom