Ni kweli? Kabwe afurahia sitofahamu CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli? Kabwe afurahia sitofahamu CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Selous, Nov 13, 2008.

 1. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Zitto,

  Nakubaliana na wewe kuwa hata CCM wanapenda JF wakiwalaumu CHADEMA? Kimsingi mtanzania yeyote mwana upinzani anasubiri chama hiki kife ili watu wangine wenye dira tofauti waingie.

  Mimi ni mshabiki wa CHADEMA, Operations Sangara inaendeleaje? i am serious sipo Tanzania.

  Naamini hivi CCM ina wasomi wengi na incident hii kama wanabusara wanaifanyia investigation to correct the direct cause and indirect causes. Sasa kauli hii kama umeitoa means umewasaidia. Hope mmejidhatiti badala ya kuonekana kama mnawasaidia kugrade tatizo from insignificant to significant.
   
Loading...