Salma Kikwete: Take a note mama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma Kikwete: Take a note mama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Feb 13, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Huyu mwanamama anaiturn one with her intelligence,sense of perspective, real genuine lady there. Can you imagine akigombana na mumwewe basi inaelekea zitakuwa the most intellectual "throw downs" mama Salam mtazame mwenzio huyu.

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=pyBc33UjvDU&eurl=[/media]
   
 2. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2008
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ooh, yeah, she (Michelle) is intelligent, articulate and gracious too!

  Our Salma is not bad at that level. She is not 'fisadi' I hope. That is good enough.
   
 3. T

  The Truth JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am surprised to see that Obama's wife is black. Usually many blacks who achieve a certain level of success chase after non-black women usually overweight white women. I wonder if Obama has a white woman on the side and the Mrs. is only for publicity? Only time will tell...
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Feb 13, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  So what do you have to say about his success in the race so far?
   
 5. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Stop generalising mambo
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Huyu mwanamke ni smart pia!

  Hii ni uzoefu au ni uwezo?
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  As usual

  always talking shit
  [​IMG]
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Haha hujui ukweli wewe, sijui unaishi dunia gani kama uko kapalamsenga labda, lakini kama umekanyaga viwanja vya watu na ukangalia mambo yalivyo, you would have an intelligent comment!
   
 9. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Niliona hivi karibuni picha ya mama Kikwete akiwa Seoul na Reverend Moon. Hivi na yeye amekuwa moonie? Hawa ndugu sifa zao si nzuri na inabidi kuwa waangalifu tunaposhirikiana nao haswa katika level yake.
   
 10. K

  Koba JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Michelle Obama Born January 17, 1964 (1964-01-17) (age 44)
  Chicago, Illinois

  Residence Chicago, Illinois, United States

  Education A.B. in sociology (Princeton University) cum laude
  JD (Harvard Law School)


  Occupation Vice President for Community and External Affairs at University of Chicago Hospitals

  Religious beliefs United Church of Christ

  Spouse Barack Obama (1992–present)

  Children Malia and Sasha

  Parents Frasier Robinson and Marian Robinson
   
 11. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #11
  Feb 13, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  This lady is very intelligent and ambitious; I always admire ambitious people. I think she'll make a perfect first lady in the perfect white house. Sasa huyu kumlinganisha na Salma wetu unamwonea Salma mzee, wewe tuachie tu huyu wa kwetu tutakwenda naye tu hivyo hivyo. Yeye anachojua ni kusema tu kidumu chama cha mapinduzi, sasa mzee hapo ahaa.. basi tena!
   
 12. B

  Bobby JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mrs.Obama is great kwa kweli, more importantly she is honest anasemaga ukweli hata kama huo ukweli unaturnish image yake.

  Huyu wetu frankly I doubt kwa kweli.At times huwa napata tabu ninapokumbuka maneno ya JK kwamba alijiandaa zaidi ya miaka kumi kuwa rais. I'm sure kama hayo anayosema ni kweli basi kuna eneo hakulindaa nalo ni la first lady, kama alimwandaa basi kimavazi na si vinginevyo. Huyu mama several times nimezisikia speech zake, mbali ya kwamba huwa zinakuwa zimeandaliwa bado zinamsumbua hata kuzisoma jamani, hizi ni zile za kiswahili za kiingereza nisiseme mengi kwa kweli.Huyu mama pia nina wasiwasi na upstairs, hapa hamna chumvi. Najuwa yy ni mwalimu wa primary lakini wapo walimu kama yeye akisimama mbele kuongea unamwelewa huyu wetu mhhh anyways. Nakumbuka merehemu mmoja mbunge alishawahi kuponda mwaliko wa salma kwa sababu kila akiwaita hajui anawaitia nini maana haeleweki. JK yuko responsible kwa hili kwani katika miaka kumi angeweza kupata japo ka diploma ka kuchovya.
   
 13. T

  The Truth JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  He is doing better than I expected but it is too early to predict that he will win the nomination. If he happens to win the nomination there is no way he will win the southern states which will make it almost impossible for him to win the general election.
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Haya jamani mnatuvunja mbavu hapa kwa hii cv ya lady wetu.
  Nalitumaini angepata data za mama maria nyerere angeweza kuendana na mandhari ya Ikulu. Sijui kwanini akima mama hawa tangu enzi za mwinyi wanaitumia Ikulu kuanzisha NGO zao kisha haoooo wanayeya nazo huku wakijua kuwa huo si utumishi waumma au ndo kichaka cha kufichia mali za ma-first man wao???
  Wajirekebishe au la basi Bunge lipitishe azimio (sheria) kuhusu wake/ waume za marais na wajibu wao ktk kipindi cha uongozi wa wenza wao....
  lakini bado navunjika mbavu hapa hoooooi
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Feb 13, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Well, what if he wins Virginia? All signs point to Virginia leaning more Democratic in recent elections. They have had Democratic governors back to back and one of its senators is a Democrat. If he wins VA then the GOP are in trouble
   
 16. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2008
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  First ladies wengi hawajui umuhimu wao katika maendeleo ya jamii za nchi zao. wana nguvu kubwa sana lakini ni wachache sana wanajua kuzitumia hizo nguvu kuwapersuade hata waume zao watende yale anayowanufaisha watanzania.

  Mafirst ladies wakichukua nafasi zao kikamilifu hata vita visingepiganwa katika dunia hii.
   
 17. Yunic

  Yunic Senior Member

  #17
  Feb 13, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  -----------------------------------------------------------------

  I don't understand your point.

  Even if what you are saying is true to some degree, please remember that Obama is Kenyan-American...he is not the same as hawa wanugu tunaowajua. Si umeona hata approach yake kwenye campaign right from day 1? He has strived to reach our to ALL Americans...Blacks, Whites and whatever color there is in-between the two. He trully represents the CHANGE that's needed in America!

  Wagombea weusi walopita (Akina Al Sharpton, etc) hawakufanikiwa kwa sababu wao weliji-identify saaaana na weusi, na kupelekea kubagua watu weupe.

  Kuhusu kama ana mwanamke mweupe somewhere, hawa wenzetu bwana sio kama mambo yetu ya Bongo na viongozi wetu. Skendo za kuhusu wanawake zinawaharibia sana kazi....So, I hardly think that's possible...especially kama anauwania Urais wa Marekani. Don't you know? ONCE YOU GO TASTE CHOCOLATE.....c'est la vie!
   
 18. Yunic

  Yunic Senior Member

  #18
  Feb 13, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  -----------------------------------------------------------------

  Ha ha ha! Loh jamani jamani, mwoneeni huruma mama JK. maana ukiangalia CV ya mama Obama, na ukiangalia wa kwetu mie huku mbavu sina....ha ha! mahoka hayo!
   
 19. T

  The Truth JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well let him win. He will just be a puppet president most likely. Even a bigger puppet than Bush is today. His role will mostly be ceremonial not real presidency. The man has no substance. All he talks about in his speeches is change, change, change, change,...more change, ad infinitum.
   
 20. T

  The Truth JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2008
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  His biological father was Kenyan but that's about it. His biological father was a deadbeat who abandoned him early on to have any real Kenyan influence on him. So I don't consider him Kenyan-American at all. I don't think most Americans see him as Kenyan-American only Africans view him as Kenyan-American.

  Trust me, wonder boy Obama has some skeletons in his closet. He just has not been in the public eye long enough. They will come out soon or later.
   
Loading...