Hotuba: Awamu ya nne!

M

MegaPyne

Guest
Hotuba by Wagosi wakaya

[mp3]http://www.jambovideos.com/bongos/HOTUBA-WAGOSI-WA-KAYA.mp3[/mp3]
 
Mmmmhhhh!!!! Asante mkuu, hawa viongozi wetu wangelikuwa wanaelewa? Maana siku hizi wanapewa somo kutoka kila sehemu!
 
asante kwa burudani hii kaliya mwisho wasanii wengine waendelee kuimba ujumbe ufike waitaje JF pia
 
..hii imetulia sana kiasi kwamba inabidi lyrics zake ziwe posted!

..halafu tuzijadili!

..marhabaa!
 
Wagosi waKaya, lyrically & story telling wako mbali sana, na comedians wakubwa wakiwa na ujumbe mtamu sana. Hapa wamefunika vizuri sana.

'Hotuba itaendelea, next meeting......' wamem-feature nanihii nini? Mbona sauti inafanana na.............
 
mimi nadhani wanasiasa watumiwe kwenye Ringtones zao bila kujijua..hivi na hii technolojia haiwezekani? teh teh...hawa ndugu zangu wana akili sana, ingekuwa kwa wenzetu wangekuwa mamilionea kama sio matrilionea, bongo wanasota tu na ndugu zake Rostam Aziz wanawaibia tu kwa kuwapupanza na mabaloon ya mikopo....Inatia hasira...
 
Imetulia..!!!??Nyingine Zinakuaje..Zime Chachamaa....
Ok! Hazija Tulia....
 
Back
Top Bottom