Tanzania bila vyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania bila vyama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, May 8, 2009.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Tanzania kwa upande wangu ingefanya vizuri zaidi kama tusingekuwa na vyama. Hii model ya vyama tunaiga kutoka kwa Europe lakini kwa upande wangu Tanzania ingekuwa mbali kama ingekuwa na wagombea huru na serikaliwizara ya sherika iweke utaratibu wa kupiga kura na michango. Nchi yetu kwasasa watu wanazungumzia siasa sana lakini kuna vikwazo vingi vya maendeleo ambavyo tungeweza kutatua bila siasa. Elimu, Afya, michezo si tatizo la serikali pekee bali watanzania wa kawaida hatujakaa chini na kuangalia kwa undani ni jinsi gani tutatatua haya matatizo. Siasa inaushabiki na ni vizuri kuijadili lakini si tatizo pekee na hii ni kwasababu ya mfumo wa siasa tulionao.
   
 2. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Hata kutumia magari tumeiga. Kuiga sio kitu kibaya iwapo tu maigizo yenyewe yanakusaidia.
   
Loading...