Rais ajaye akitokea Bara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais ajaye akitokea Bara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaniki1974, May 6, 2009.

 1. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wandugu vipi mawazo yenu, kwamba labda rais ajaye wa Tanzania akitokea bara (nje na mikoa yote iliyo pwani mwa bahari ya hindi), nchi yetu inaweza kuendeshwa vyema zaidi kupelekea maendeleo na ustawi wa jamii yetu.

  Kumekuwa na kauli kuwa watu wa pwani ya bahari ya Hindi hapa Tanzania ni wavivu na blah blah nyingi. They are generalist and simplistic. Huridhika kwa vitu vidogovidogo tu. Kwa mfano wengi wao wako nyuma kimaendeleo na tumeona marais wote waliotoka pwani hiyo; Mwinyi, Mkapa na Kikwete performance yao kiuongozi mgogoro mtupu! Wakati mbara tena wa Musoma Nyerere alifanya mambo makubwa.

  Mawazo yenu please objectively and for the better future of our country ,lovely Tanzania.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Lowassa was a progressive and highly ambitious person na alitoka bara: ila hakuwa mwadilifu!
   
  Last edited: May 7, 2009
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  mawazo yako vile vile simplistic unatokea wapi?
  Kumjudge mtu kwa sehemu anayo toka is basically wrong, kumbuka African Association haikutoka Bukoba wala Mwanza au Musoma.
   
 4. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Welcome to thread premise side.... u region upo ktk damu yako
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  I am actually amazed , sir , you must be from outer space.
  Vitu vinavyoongelewa hapa havitakiwi kupewa even some breathing space to thrive.
  Ile kujiona mimi nibora kwa vile natoka sehemu fulani is to be the least Un Tanzanian like
   
 6. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kweli JF inazidi kudidimia kutokana na mawazo uvundo kama haya lakini kama ilivyo ada, nitaheshimu mchango wako hata kama ni pumba tupu. Ulichoandika hapa inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikiri na umeonyesha ugoigoi wa hali ya juu katika kuchanganua mambo, wakati mwingine, mawazo goigoi mgando ndio hazina pekee iliyobaki vichwani mwa baadhi ya watu na nina uhakika wewe ni mmoja wao.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wakitokea bara itakuwa hatari sana nakumbuka mbara huyo Nyerere au baba wa taifa kama mnavyopenda kumwita aliwapeleka watu kwenda kuliwa na simba ,si unajua wabara kwa kulima ,kuna hatari tukarudishwa kwenye vijiji vya ujamaa.

  Bila ya kusitasita ,Nyerere alikuwa Mkristo alifanikiwa kuiweka nchi kwenye mstari heshima kwa watu wa dini zote zilikuwepo japo kulikuwa na manunguniko ya hapa na pale.

  Akaingia Mwinyi ,yeye ni Muislamu halikadhalika Nchi ilikuwa imetulia hakuna mvutano ,na wengi waliweza kuona uongozaji wake ulikuwa ule wa fanya na nenda uwezako lakini usivunje sheria ,ilitokea watu wakamsifu kuwa mifuko ya wananchi ilikuwa inajaa vijisenti ,japo senenesenene hazikukosa.

  Akaingia Mkapa yeye ni Mkristo .uongozaji wake ulikumbwa na ubabe na walevi wengi walikuwa wakipatiliza na ndipo matabaka yalipoanza kujitokeza na nchi kuuzwa kwa bei poa na kusababisha hata uhuru wa dini kuvurugika na kila mmoja kuona anagandamizwa.

  Hapa tulipo tunae Kikwete yeye ni Muislamu ,uongozi wake unaonekana kuwa dhaifu na unaolegalega ,baada ya nchi kuchafuliwa na Mkapa ,Kikwete anaonekana kushindwa kuiridisha kwenye mstari ,malalamiko yameongezeka kila sehemu mauaji ya ovyoovyo yamezagaa ,kusema kweli anatia aibu Uislamu na kuonekana kuna udhaifu katika taaluma ya uongozi ,jambo ambalo sio kweli ni tabia na hulka zake mwenyewewe na zaidi kuonekana kutojiamini au kutojali dhamana ya uongozi aliyopewa na kuiona kama anawakilisha Uislamu hivyo kujitahidi kujenga sura nzuri ,lakini sivyo inaonekana anajenga sura ya ugoi goi ,kama anngechanganya tabia ya Nyerere na Mwinyi angeweza kabisa kuivukisha Tanzania lakini anaonekana amekwama kwenye matope aliyoyawacha Mkapa na hawezi kujikwamua naona kuna haja ya Raisi kutoka Pemba lakini sio Shein.
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  STUPIDITY AT ITS HIGHEST LEVEL. Ndiyo wote hawa wanao fanya wengine wajione ni bora simply because wametoka sehemu fulani au wana dini gani. Leadership is an individual trait & it is not determine by ones geographic birth place, religion or race. THIS IS SIMPLY STUPID.
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Wewe hapo umesema ni hulka na utashi wake mwenyewe nikakuona wa maana mwisho ukaingiza ubara na pemba. Kwanini kila kito kwako wewe lazima Iwe Utanganyika na Uzanzibari? Sasa umehama huku siyo zanzibar tena ni unguja na pemba. Cha muhimu kwako ni kupata kiongozi anaye faa au kiongozi anaye toka sehemu fulani? This is stupidity. Kama unaona kuna kiongozi kutoka Pemba anayefaa uraisi bora utuambie vigezo na sifa zake tumtambue ila siyo kusema simply raisi atoke sehemu fulani. Siyo kwamba nina neno raisi kutoka pemba its all well & good lakini kwa unavyo ongea wewe ni unataka raisi bora atoke Pemba which is UPUMBAVU. If there is a capable leader from Pemba name him, his character & accomplishments.
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nani ndugu yako? Ni pamoja na hao unaowakashifu ki jumla jumla bila simile, tarakimu, takwimu, jedwali wala harufu ya uadilifu wa kisomi au ni wale wa bara tu?

  Unafikiri maendeleo ya Tanzania yanaletwa na mtu mmoja? Hata kama rais, kumlundikia na kumsingizia mtu mmoja kama sababu ya maendeleo au kutokuendelea kwetu ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Kama kuna watu wanajua siri ya maendeleo Tanzania na wanakaa kimya sasa hawana sifa ya kupewa urais. Huyo mtu wa bara aliyekuwa rais kwa miaka zaidi ya ishirini katufanyia nini zaidi ya kutuacha masikini tu? Nyerere na usmart wake wote mbona kaishia kuiacha nchi na madeni na umasikini lukuki? Acha mambo hayo.Nyerere mchovu, Mwinyi mchovu,Mkapa Mchovu, Kikwete mchovu, hamna hata wa kumcheka mwingine hapa.


  Watanzania wote wako katika kundi moja na hawachekani, tofauti ya pwani na bara ni nini?

  Objectivity inabidi ungeanza nayo mwenyewe kabla ya kuja na maneno ya kichokozi.

  Umejuaje kwamba Watanzania wa Pwani ni wavivu? Wavivu kwa kiwango gani? Je Watanzania wa bara wana uvivu mdogo kuliko wa pwani au si wavivu kabisa? Unaongelea watu hawa kama kundi zima au sehemu kubwa? kama sehemu kubwa ni sehemu gani na ina uvivu kiwango gani? kama ni watu wote inawezekanaje kundi zima la watu likawa na uvivu.

  Mtanzania wa pwani ni nani na wa bara ni nani? Mtu aliyezaliwa na wazazi mchanganyiko (bara/ pwani) akakulia sehemu tofauti (bara/ pwani) ni mtu wa bara au pwani?

  Wewe mwenyewe ni mtu wa bara au pwani? Na uhusiano wako huu unaharibu vipi objectivity yako?
   
 11. Z

  Zahir Salim Member

  #11
  May 7, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RAIS akitokea Bara kwa Uchaguzi wa mwaka 2010 ni Mwiko, Lazima RAIS atoke ZANZIBAR kama haitokuwa hivyo basi siku hiyo hiyo ndio itakuwa MWISHO WA MUUNGANO UTAVUNJIKA VIPANDE VIPANDE.
   
 12. H

  Hondo Member

  #12
  May 7, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi niko tofauti kidogo RAISI anaweza kutoka sehemu yeyoyote ile ila anatakiwa awe shujaa.Pia awe ni mtu wa malengo mazuri ya kuendeleza inchi yetu ya Tanzania .Awe na sifa za uzalendo tena ambaye hapendi kusifiwa bali mwenye kupenda kilichotakiwa kifanywe na kinywa mwenye kupenda kuona matokeo yakitokea sio mwenye kupenda kutembeza bakuli la GT.
   
 13. tHe NapSTer of Tz

  tHe NapSTer of Tz Member

  #13
  May 7, 2009
  Joined: Mar 30, 2007
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  saying that to people who once their country was called " tHe cUba of aFrica".........
   
 14. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha !!!!tell it to the birds!! ha ha! halafu asiwe na ndevu nyingi! ha ha!
   
 15. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2009
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  It is totally unfair to conclude that nothing has been done within the last three presidents' tenure. First of all in the 1985 and backwards, travelling from one region to another it was headache due to rough roads. Today you can take hardly one hour from Arusha - Moshi (instead of three hours), You can take eight hours Dar Moshi (instead of sixteen hours - 8pm to next day 7pm) because of improved road infrastructure.

  Today atleast if you need to travel from one place to another there are many players in the sector unlike those days where you will need to queue at TRC and ended by being told that the train has been postponed.

  Today with one month salary, you can buy a radio unlike those days whereby you have to save for not less than six months to afford buying a radio or a bicycle

  Today you can go to showroom and buy a car unlike those days whereby you have to form cooperative society to get permit for buying a car.

  Today there are so many secondary schools (government and private) unlike those days if you were not selected to join Form I, the best alternative was to repeat primary school. There are so many improvements which if the author would have considered them, he would not have posted this article.

  My suggestion is that we should not judge the present situation if we dont know how things were in the past.
   
 16. N

  Ndivyo Ilivyo JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe unamfahamu Nyerere lakini. Si ametoa matongo yake pale Dar. Na watu kama kina mama Bibi Titi walichangia kutoa tongo hizo. Lete mada ya maana Bwana, siyo porojo hizi. Mkapa amefanya kazi nzuri tu. hata Mwinyi amefanya vizuri tu. Na Jakaya atafanya vizuri kwa kadri ya wakati unavyoamuru. Time factor.
   
 17. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Who ever started this thread shows clear signs of lower intellect. Tanzania needs vision, something that has until now eluded us. We dont need religion, we dont need coastal, midlands or highlands, norths, south of East, Lake or anyother zone... We need a leadear who thinks about Tanzania today, next year and in 50 to 100 years.. Vision.. Only lower forms of intelligent life are concerned with trivial issues such as tribes and things like tht. They mean nothing and are simply going to be relics of previous centuries, along with religion, and even nationalism in the end. Think of the world 100 years from this date... The culture and the form of governments... How can we hope to be FREE in such a society with our current levels of education, health, industry..etc.. WE need Vision..." Stop thinking like an Insect" : Howard Hughes..
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  We can as well buy a president from... eeer lets say, Europe... kama tunadhani hakuna Mbara au Mpwani anayefaa kuwa rais.
   
 19. m

  mkombosi Senior Member

  #19
  May 7, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwiba wewe ni kilaza wa mawzo,ubaguzi wa hiyo dini yenu ndio unakusumbua.

  Kadibiwe miremebe.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nakusifu sana wewe Mwiba kwa uchambuzi wako.

  Mbona wadau wengine mnakuwa waoga? Kutoongelea jambo kutalifanya lijisolve?

  Kwanini mnashindwa kujibu hoja ya msingi ya mtoa mada, mnaanza kumlaumu unnecessarily? Elezeni mnachoficha na si kukimbia NA KULAUMU..

  Kwani hamuwajui wapenda kucheza Ngoma wanatoka maeneo gani, na kwani hamtazami runinga mkamwona ZUMA na ngoma? Mnataka kusema hamjui kuwa MWIBA NI mtu wa wapi , wakati anaongelea SENENE? Nani hajui kwamba tabia za watu zinaathiriwa au kuwa framed na mazingira? Ni nani aliyelikana ziwa la mamaye? Na tangu lini mwenda kwao akawa mtoro? Au nianze tena somo la Saikolojia?

  Management ni fani inayojitegemea, na ni matter ya personality, lakini tusisahau kwamba kuna styles za management ambapo ndipo hapo watu huingizia u`majimbo wao. Si dhambi kuongelea jambo hilo wadau, mnakumbuka kuwa hata kwenye kampeni za ubunge kulikuwa na tabia wa kuongea kilugha, hadi tume ya uchaguzi ilipostukia?

  Mimi ninasema kwamba kuna direct relationship kati ya mtu na kule atokako. These two have always been a clone of one-another.
   
Loading...