TGIF: Uongozi na Maendeleo - Sauti kutoka Ahera! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TGIF: Uongozi na Maendeleo - Sauti kutoka Ahera!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, May 8, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Ningeweza kukuambia alichosema na kukuandikia alichotaka kusema but then sitakutendea haki; bora usikilize mwenyewe.
  CLICK HERE TO LISTEN
   
  Last edited by a moderator: May 8, 2009
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  That was a good speech
   
 3. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji
  Mimi sikuelewi labda mimi sielewi,mimi kwa ufahamu wangu mwalimu alikuwa WATCH DOG,yani wakati huo alikuwa anawafundisha wananchi nini cha faa na nini kisichofaa maana enzi hizo waelewa walikuwa wachache na wenda viongozi walichokifanya enzi hizo hawakufahamu konsikwensi za baadae.

  Lakini leo unapowaelimisha watu wenyewe waameamuwa kuwa hivyo na wakielewa konsikwensi za badae .
  Si kuelewi kabisa.
  Kitu ambacho naona huwa tunapoteza mda ni kujaribu kuwaelimisha viongozi wetu namna ya kufanya ili tupate maendeleo ama jinsi ya kukomesha ufisadi huu ni upotevu wa mda.

  Hawa watu wanafahamu vizuri sana mbinu za kuleta maendeleo na wanafahamu vizuri sana mbinu za kukomesha ufisadi ila tatizo ni moja kwao MAENDELEO na KUTOKUWEPO UFISADI ni hatuwa mbaya sana kwao na vizazi vyao.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mwanakijiji HALLA!

  hizi VOCAL umezifanya mwenyewe?

  tatizo la uongozi LIPO
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ............ni kweli kabisa!

  HALI YA KUSITA SITA!kupanda ndege mara denmark,mara wapi ukirudi MATATIZO YAPO PALEPALE.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ni kweli ni lazima uwe na sehemu ya kusimamia!UWE NA UPANDE
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahahahah!sasa nani ANAJIUMA UMA MENO JUU YA UFISAD?
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  viongozi hawako neutral juu ya wizi huu mkubwa!ila nahisi wao ndio MAINJINIA WA HII PROJECT
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  si kweli kwamba ccm imeumbwa kuitawala tanzania milele!?sasa watu walioko vijijini wanaamini hivyo.mwanakijiji UTAWAFIKISHIAJE UJUMBE HUU?au tuchome cd tupeleke kule mpanda,mbinga,kangaga,pawaga,nk
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  eti ccm SIYO MAMA YENU!

  kwi kwi kwi kwi kwi kwi!

  HAPO CHAWA
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mkuu GEOF unaflood jukwaa ila umeongea points tupu.
  Mimi mtazamo wangu ni kwamba inapaswa kuihurumia ccm kwa kuinyima kura kwani imeshindwa kukidhi mahitaji ya wakati na imeelemewa sana.
  huu ndio wakati wa vyama makini kama Chadema, CUF, NCCRS, TLP(hehe!) n.k kujichimbia na kutuletea sera endelevu zitakazotutekenya nyoyo zetu wakati wa kura ukifika.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  May 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nataka hii itengenezwe CD iende kule Busanda.. na kuchezwa kwenye magari na vituo vya burudani..
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  ..... Mkjj umedata wewe, he he he, Steve Nyerere could give u a few tips to improve on!
   
Loading...