Ni zaidi ya Miezi 10 sasa hakuna kinachofanyika katika kiwanda cha Nyama tangu apatikane mwekezaji, kupitia ubia wa mwekezaji huyo na Mbunge wa Meatu, Salum Khamis, maarufu kama Salum Mbuzi...
Kuna tetesi kwamba EABL (Kenya) wanatamani sana kuinunua Serengeti, ambayo imneweza kutoa ushindani mzuri sana kwa TBL pamoja na kwamba ina brand moja tu ambayo ni popular.
Kuna tetesi pia...
Na Hemed Kivuyo, Arusha
MUASISI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Edwin Mtei amesema kuwa endapo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hatagombea urais mwaka 2010 basi chama...
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais Amani Abeid Karume leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano mkubwa ulionadaliwa na chama hicho kwa lengo kuelezea mazungumzo ya...
Hivi karibuni kumetokea mtafaruku mkubwa kati ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi na spika Sitta na uendeshaji wake wa Bunge. Lakini pia tumemsikia Kafulila akitupa dongo kwa CHADEMA kwa kuikosoa...
No more power rationing - TANESCO
By ThisDay Reporter
21st November 2009
TANZANIA Electric Supply Company, TANESCO, has declared that there will be no more power rationing following...
Na Aristariko Konga
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Idrissa Rashid ametumia Sh. 49,122,800 kununulia maua, samani, sanamu na mapambo mengine ya nyumba...
RAIS Jakaya Kikwete amepongeza hatua iliyochukuliwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Amani Abeid Karume, na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad, kukutana na...
Nimeona TBC News usiku huu, kumetokea ajali nyingine ya basi la abiria katika kijiji cha Pandambili, Dodoma, ni basi la Taqwa lililokuwa likielekea Bujumbura, limepinduka na limeteketea kwa moto...
Date::11/3/2009Rais Mstaafu Benjamin Mkapa atajwa katika kesi ya kina Mramba
Rais Mstaafu awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, jina lake limetajwa katika kesi ya akina Mramba.
Na Tausi Ally...
19th November 2009
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Sophia Simba.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi...
kuna msululu wa wa wafanyakazi ambao wameacha kazi katika idara hiyo nyeti nchini, wafanyakazi hao ni kutoka katika kada mbalimbali, wengi wameshaondoka na wengine wengi wanahangaika kutafuta...
SAKATA la posho mbili kwa wabunge linatishia kumlipua hata Rais Jakaya Kikwete na viongozi kadhaa ndani ya Chama Cha Mapinduzi na serikali.
Iwapo hilo litatokea, juhudi za Katiku Mkuu Ikulu...
Nimekuwa najiuliza mara nyingi sababu za kuwa na viongozi wabovu wanaokiuka maadili ya uongozi hapanchini ila sjapata jibu.
Nikafikiri labda ni kwa sababu kilichokuwa kuwa chuo cha uongozi...
Kama kuna watanzania wanaostahili tuzo kwa mchango wao katika taifa hili baada ya kifo cha baba wa taifa basi ni Dr. Slaa, Tindu Lisu, Kubenea na Mengi. Hawa wamediliki kupambana na rushwa ya...
CCM yateua 'mafisadi' kufadhili Kikwete 2010
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI
WATUHUMIWA wa ufisadi wameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuunda kamati ya kukusanya fedha za uchaguzi mkuu ujao...
Memorable Speech of Idi Amin Dada
After a luncheon hosted by the Queen in London in his honour, the former Ugandan leader Idi Amin Dada had this to say for his vote of thanks.
"My majesty Mr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.