No more power rationing - TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No more power rationing - TANESCO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Nov 21, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,533
  Likes Received: 81,947
  Trophy Points: 280
  No more power rationing - TANESCO

  By ThisDay Reporter
  21st November 2009


  TANZANIA Electric Supply Company, TANESCO, has declared that there will be no more power rationing following injection of power into the national grid by the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and an increase of power production at Kidatu and Hale plants.
  Earlier, TANESCO declared a nation-wide power rationing after the decline of electricity production at Ubungo plant by 100 megawatts and technical problems at Kihansi power plant.
  Currently, TANESCO gets more than 40 megawatts from IPTL to add onto the national grid.
  In an exclusive interview with this paper, TANESCO Public Relations Manager Badru Masoud, said the company will not be rationing power any more.
  Explaining why some areas face power blackouts occasionally, she said it is due to some technical problems leading to switching off of power for maintenance.
  "Electricity depends so much on some technical aspects that if not functioning, technicians have to intervene for maintenance; for instance on November 15, there were power blackouts due to some machines experiencing technical problems," she explained.

  She noted that a government power plant at Tegeta with capacity to produce 45 megawatts currently produces 26 megawatts which have not been added to the national grid because it is on trials before handing it over to the government officially.

  Recently, the government demanded a feed back from TANESCO on the impact of additional megawatts produced by IPTL onto the national grid on the reduction of power rationing after the power utility had remained mum.
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wangeweza kufanya hivi tangu kitambo tu, mpaka watu wafe kwanza, uchumi uanguke, Kikwete atukanwe, nchi iabike kwa muda mrefu ndio hawa slopokes wanajua kwamba ku turn on IPTL power kutaondoa tatizo lote.

  Wapuuzi wakubwa hawa, hata tungewaweka watoto wa darasa la nne labda wangeweza kuendesha nchi vizuri zaidi.
   
 3. 911

  911 Platinum Member

  #3
  Nov 21, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Mkuu kuna document ilishawahi kutundikwa hapa ikionyesha kuwa by December this year hii mitambo itakuwa imebadilishwa ili ianze kutumia gas asilia.Sasa maadam ilikuwa imezimwa kwa muda kitambo isingekuwa rahisi kwa serikali kusema kuwa wanataka kuibadilisha.4 wat??Ndipo ikaja idea ya kutengeneza udharura!Wakaleta mgawo,next step ikawa ni kuiwasha iptl...Bwana Zitto akaipata hii,akawatangulia ili awe kama amewaonyesha njia(kilongola?) the rest is history.Mkuu bila huu mgao watu wangekuwa wakali sana kuhusu kuibadilisha mitambo hii,ila sasa aah kiulaiiini....
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Rais mzima katika nchi primitive kama Tanzania (in the sense that the president is a demigod) anahitaji mgao ili kuwasha mitambo?

  Nyerere alikuwa chauvinist katika mambo mengi lakini chauvinism yake ingesaidia mambo kama haya.

  Kikwete anaogopa hata kivuli chake mwenyewe.
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona unaongea kama huna info, Kwani mitambo ishabadilishwa?
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hujamwelewa yeye anmaanisha sasa kelele za kuibadilisha hazipo tena
   
 7. s

  shabanimzungu Senior Member

  #7
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lies and deception taht is waht tz beuracrats are all about..tanwsco is just fooling the public after such a devastating black out for as menay years have they not learn any lessons?????????foolish they are.........holding the public at ransom.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Watanzania bwana, watu wa ajabu sana... mtu keshatengeneza pesa za uchaguzi, halafu rinakuja r-tanesco kusema eti no more mgao!!!

  BTW, who is the choreographer wa hizi jaivin bongo??? Mbona anatutesa hivi na step one-tow??

  Procurement ya mafuta worth millions of dollars, distirbution clearance nk inachukua siku 6!!!!, halafu eti tunakubali... Sijui PPA/PPRA wako study tour Nicaragua?

  gademu!!
   
 9. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Vongozi wasio na huruma kwa wananchi wao wanatisha tena huonekana kama mashetani. Inakuwaje leo mara imewezekana kuondoa hilo balaa! Kwanini lisingezuiwa kabisaa lisitokee? Yaani swala la mgawo? Kwanini Raisi aliyepewa madaraka yote asimfukuze mtu kazi? Hivi ni nani alimwambia Kikweete kuwa mtu aliyeshindwa kutekeleza wajibu wake kufukuzwa kazi ni dhambi?? Mhona sijawahi kumsikia amemsimamisha mtu kazi? Au wote aliowachagua ni malaika? Kwake yeye hawajakosea hata mmoja? Nataka nisikie Raisi ametengua uteuzi wa Ngedere na nguchiro! Lakini nimesikilizia weeee! Masikio yanauma sasa! Hivi ni kwamba tunatakiwa kumpa mazoezi gani? Hivi ni nani alimtishia namna hii Raisi wetu? Aliyechaguliwa eti kwa asilimia nane na sifuri? Hivi nini maana ya huu ulegevu? Angelikuwa anauchapa ugimbi ningekubali nikakiri "that he is having fun" Sasa najiuliza nisemeje, niite nini hii? Kwanini Mheshimiwa zaidi hata hutoki basi ukatuambia ukweli kuwa shida ni nini? Aaggggrrr!!
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Nov 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
 11. T

  Tom JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mgao utakuwepo tena na tena.....labda kama hatuongelea Tanzania.
   
 12. m

  mpuguso Member

  #12
  Nov 23, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Idriss Rashid alishasema mpaka nchi iwe giza, watoto washindwe kusoma, hospital zishindwe kutoa huduma, viwanda vishindwe kuzalisha n.k ndio tuchukue maamuzi!

  Labda argument zake ni valid
   
Loading...