Walimu watelekeza shule, watimkia mgodini
na Sitta Tumma, Mwanza
WALIMU wa Shule ya Msingi Nyakunguru B iliyopo katika Kijiji cha Nyakunguru, Kata ya Kibasuka, Wilaya ya Tarime mkoani Mara...
jamani imebidi niulize mh rais ,maana niijitahidi sana kuleta mada za rushwa wizara hii sasa leo nimesoma hapo nikaona niulize kuna nini huko wizararani...???
Ufisadi waivuruga Maliasili
na...
Majambazi Wateka Basi Kigoma, Wapora Mamilioni
Friday, November 20, 2009 9:43 PM
Majambazi wawili wenye silaha za moto wameteka basi la abiria mkoani Kigoma na kupora mamilioni ya pesa na mali...
Dk Salim ataka mseto Zanzibar,awasifu Maalim Seif, Rais Karume
Na Hawra Shamte
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu wa zamani, Dk Salim Ahmed Salim amesema dawa ya kudumu ya matatizo...
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amesema hajui kama Tanzania itaweza kuondokana na tatizo la rushwa na ufisadi, licha ya juhudi mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kukabiliana na...
Parliamentarians and Bunge employees to pocket almost Sh37 billion
By The Citizen Reporter
2009-11-19
The Office of the President and Cabinet Secretariat receives the highest the allocation...
Wapendwa wanaJF naomba kujua abc's za Ripoti ya Kupitia Mikataba ya Madini! Kama kuna soft copy pls naomba iwekwe kama atachment humu JF! Nawasilisha tafadhali!
Ujamaa na ukoministi umetufanya vibaya sana.Tunaabudu sana viongozi wetu na wao kujion kama Mungu Mtu.Hata media zetu zinachangia sana.
Hata our favourite JF is facing the same from its...
Let me call it a spade a spade No priories, every time crisscrossing the world while ignoring the most important issues facing ordinary wananchi. For instance Save a trip and build a referral...
ROSTAM AZIZ
AT least three companies owned by Igunga Member of Parliament Rostam Abdulrasul Aziz are amongst particularly outstanding defaulters in the massive 180bn/- fraud linked to the...
Date::11/19/2009Wahisani waiweka njia panda serikali wasema ufisadi unaitafuna nchi
Tausi Mbowe na Leon Bahati
Mwananchi
MZIMU wa ufisadi umezidi kuikosesha raha serikali baada ya mabalozi wa...
Katika nchi ambayo watu huthamini pesa kuliko ukweli,
Kama mtu huna Nguvu ya pesa ,
huwezi kuwa na NGUVu ya kisiasa.
Kwa hiyo, kama kuna yeyote anahitaji sera za siasa zake kuwa na nguvu,
sharti...
Rais Jakaya Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete amesema kwamba idadi kubwa ya Watanzania wanapinga kufutwa kwa adhabu ya kifo na wanataka iendelee kuwapo katika...
Mod, najua kabisa kuwa maudhui ya hii post yalishajadiliwa sana hapa, hata hivyo naomba uniruhusu nirudie tena kwani wahenga walisema si vibaya kujikumbusha mambo ya muhimu.
Nilikuwa natafuta...
Tukiwa tunaingia mitamboni, tumepata habari kuwa wale wabunge wa CUF waliokuwa wamefunga ndoa kwa ujanja ujanja, wameachiwa huru,
hata hivyo muda mfupi wamekamatwa tena, sababu za kukamatwa tena...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kama vilivyo vyama vingine bila ya shaka kimekuwa na mipango ya vitega uchumi ili kiweze kujiendesha na kufadhili shughuli zake mbalimbali bila ya kutegemea sana...
Wakuu list ya most corrupt countries kwa mwaka 2009 imetolewa tayari na TRANSPARENCY INTERNATIONAL.
Angalia http://www.transparency.org/policy_research/surveys_indices/cpi/2009/cpi_2009_table...
Nimechoka na vigezo vinavyotumika kupima uwezo na mafanikio ya rais wetu kwa muda wote katika JF forums je
1. Si halali kupima uwezo wa rais kwa kigezo kimoja tu cha kuzibiti ufisadi ..yaani EPA...
Jamani huu ni muda muafaka wa kujipanga vizuri ýaani kama daladala anatoka mtu anaingia mtu! Inaonyesha baadhi ya vijana wana ndoto za madaraka tu! Wakishindwa kuyapata basi wana-quit!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.