Habari tulizozipata sasa hivi zinazosikika tokea jana mchana kutoka kwa vingwengwe wa siasa hapa mjini Dar Es Salaam zinasema kuwa CUF inatapia roho huko Zanzibar na wengi katika vingwengwe...
Hivi kwa nini watanzania hasa wanasiasa wanapenda hizi titles:Prof,Dr,Capt,Engineer,...na hata Sir.....hiki cha mwisho hutumiwa na raia wa uingereza tu lakini sisi tuanmuita Sir Andy Chande wakati...
How in Wonderland, prosecutors Wander around for the sake of Wonder-wealthy
I have heard Zomba and the co have recently walked out free reason being the judge could not find them guilt of the...
Na. M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima Jumatano Machi 18, 2009)
WAKAKAA katika kikao chao wakakubaliana; Tuwaambie kuhusu majenereta.
Huku wakiwa wametulia mahali wanapojua wao na Mungu wao...
Kesi ya Mbunge: Shahidi 'daktari' akiri hakumaliza kidato cha nneNa Mussa Juma,Arusha
Shahidi wa tisa Flora John Mzava(48) katika kesi inayomkabili mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
Nawaandikia ninyi vijana, alinena mwandishi maarufu, kwa kuwa mna nguvu na mmemshinda yule mwovu. Ufurahieni ujana wenu, akasisitiza mwandishi mwingine mahiri, kabla hazijaja siku zilizo mbaya...
Miaka kama mitatu hivi kumekuwa na kesi za makampuni makubwa duniana kuficha taarifa za mapato yao na kuwafanya maboss wa makampuni na wamiliki wake kufikishwa mahakamani. Sasa je kwanini sisi...
Kumbe ni hatari tena hatari sana kujaribu kuzuia ufisadi. Hatari hii wanaharakati na wapiganaji maarufu kama Mwanakijiji wameifumbia macho au hawajui kuwa ipo. Hii ni hatari ya kujaribu kuvuruga...
Mkuu wa nchi leo jioni ametua kingston town na kulakiwa kwa sherehe kubwa zikiambatana na nyimbo za reggae kutoka yule master Bob wa Mrley,na kesho atakwenda kwenye kaburi lake ili kuomba na...
Analysis: How Butiku stole the limelight from Judge Warioba (1)
BYASE LUTEKE
Dar es Salaam
WE are living in interesting times and enjoying every moment of it. When we thought the...
Spika Sitta agawa matrekta 12 jimboni kwake
Na Tausi Mbowe, Urambo Tabora
SPIKA wa Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta amesema wakati wa malumbano umeisha na sasa ni wakati wa viogozi na...
Hivi karibuni JK alifanya mkutano 'live' na nchi nzima kupitia TV ya taifa ambapo alijibu swali moja au mawili tu katika mengi aliyoomba wananchi wamwulize. Alidai kwamba angefanya mikutano ya...
Kuna tendecy tangu Nyerere,wanajeshi wastaafu wanapewa ukuu wa Mikoa/Wilaya.Inakuwa ni kama sehemu ya kuretire na kula taxpayers money for nothing.Kazi zao ni kutoa hotuba,kuhudhuria sherehe na...
Tanzania haki iko wapi? Tutaiendekeza CCM mpaka lini?
Najumuika Ulingoni kuwaonyesha link yenye video ya yaliyotokea mwaka 1996 huko Bulyanhulu wakati wananchi walivyoondelewa kwa nguvu bila...
Kume kuwepo na matukio mbalimbali ya baadhi ya misafara ya viongozi kuzuiliwa na wananchi huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe toufautitofauti, wakilazimasha viongozi hao wazungumze nao juu ya...
2009-11-24 07:54:00
Tanesco broke law in Sh3.6bn tender award
By Bernard James
THE CITIZEN
Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) flouted public procurement rules in awarding a Sh3.6...
By OLIVER MATHENGEPosted Tuesday, November 24 2009 at 22:00
Someone fresh from secondary school can now legally run for presidency under the proposed constitution as long as he/she has attained...
Tujadili hii article juzi hapa kulikuwa na mjadala juu ya gazeti la Mtanzania likidai Wamassai wamechoka kuonewa ati wanatawaliwa na watu wasio Wamassai yaani likiwalenga Wachagga (indirectly) kwa...
Inaelekea shirika linaongozwa saa hivi kisiasa zaidi bila shirika kufanya vyema mambo yake ambalo kwanza ndilo linakopata kula yake.
PENGINE viongozi wa NSSF hawana habari na kinachoendelea...
Tujadili hii article juzi hapa kulikuwa na mjadala juu ya gazeti la Mtanzania likidai Wamassai wamechoka kuonewa ati wanatawaliwa na watu wasio Wamassai yaani likiwalenga Wachagga (indirectly) kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.