Chanzo cha viongozi wabovu Tanzania

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
Nimekuwa najiuliza mara nyingi sababu za kuwa na viongozi wabovu wanaokiuka maadili ya uongozi hapanchini ila sjapata jibu.
Nikafikiri labda ni kwa sababu kilichokuwa kuwa chuo cha uongozi kivukoni kilifungwa na haukuna tena chuo kama hicho.

Wana JF naombeni mchango wenu.
 
Njaa, inayosababishwa na Uvivu
Tamaa, ya kutaka vitu bila kuvitolea jasho
Kutokuwa na uelewa wa uongozi (leadership skills?)
Ulimbukeni na umimi-umimi
Kuutaka ucelebrity (umaarufu)
 
ni kwa vile tuna viongozi wenye uchu na madaraka na sio wenye nia ya kutuongoza katika misingi ya haki
 
Njaa, inayosababishwa na Uvivu
Tamaa, ya kutaka vitu bila kuvitolea jasho
Kutokuwa na uelewa wa uongozi (leadership skills?)
Ulimbukeni na umimi-umimi
Kuutaka ucelebrity (umaarufu)

Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Kama viongozi hawajasoma uongozi, sasa wanaongoozaje, au ndo hii inayosababisha kuongoza na kutoa kauli kama wanavyotaka wao kutokana na msukumu wa hisia zao.
 
Mkuu uongezi hausomewi, kuongoza ni kipaji na kipawa toka kwa mwenyezi Mungu. Sisi tuna opportunists ambao wanajua kuwa siasa inalipa then wanaingia kwa ajili ya kupata utajiri!
 
Nimekuwa najiuliza mara nyingi sababu za kuwa na viongozi wabovu wanaokiuka maadili ya uongozi hapanchini ila sjapata jibu.
Nikafikiri labda ni kwa sababu kilichokuwa kuwa chuo cha uongozi kivukoni kilifungwa na haukuna tena chuo kama hicho.

Wana JF naombeni mchango wenu.

uadilifu hausomwi chuoni, mi nadhani ni ulafi wa watu tunaowachagua tukidhani wanatufaa........they are greeeeeeeeeeeeeeeeedy
 
Mkuu uongezi hausomewi, kuongoza ni kipaji na kipawa toka kwa mwenyezi Mungu. Sisi tuna opportunists ambao wanajua kuwa siasa inalipa then wanaingia kwa ajili ya kupata utajiri!
Kwa mawazo kama haya yako tumekuwa na nchi kama ilivyo na hali kama ilivyo.
Pole sana kwa fikra potofu hii. Uongozi pamoja na kipaji unasomewa. Ukimpa mtu aliyemaliza darasa la tano kukuongoza hata kama ana kipaji bila elimu ya uongozi atakuongoza hadi hapo pa darasa la tano. Asante.
MF
 
Really!? Then I am in another world!! Ni Chuo gani kinafundisha kuwa Kiongozi? Kitu ambacho ningekubaliana na wewe ni kwamba kiongozi anahitaji kuwa na upeo mkubwa ili kuongoza vizuri watu wake.
 
Mkuu uongezi hausomewi, kuongoza ni kipaji na kipawa toka kwa mwenyezi Mungu. Sisi tuna opportunists ambao wanajua kuwa siasa inalipa then wanaingia kwa ajili ya kupata utajiri!

Pamoja na kuwa kuongoza ni kipaji na kipawa toka kwa mwenyezi Mungu, Mimi bado naamini kuna kusoma ili upate maarifa. Kusema kuwa si lazima mtu asome ndo aweze kuongoza, mimi bado sikubaliani nalo.

Tatizo la watu wanaosema si lazima kusoma, ndo hao wanao ghushi vyeti kwani wanaona si lazima kusoma bali uwe na cheti, na watu hawa ndo wanalipeleka taifa pabaya.

Kama una ushaidi wa viongozi ambao hauwakusomea uongozi na wnaongoza vizuri, basi naomba pia utuwekee ili tuwajadili hapa.
 
Mkuu ww umeanzisha thread kwa kusema tuna tatizo la viongozi sababu hatuna vyuo vya uongozi kama cha Kigamboni na si kwamba hatuna vyuo vikuu. Na hoja yako ambayo niliipinga ni kusomea uongozi na si viongozi wasomi, nadhani hamkuona tofauti hii. Kama wasomi mbona tunao wengi tu! Tuwaweke jina Prof Luhanga, Mbwete, Mgaya, Tibaijuka n.k. tena watatosha baraza zima la Mawaziri na vyeti vyao sio fake!
I submit
 
Inaanzia juu (Raisi) Kutokua na foreseeable plan, Hivyo kutojua kila mtu acheze party yake vipi.

Kiongozi asie himizi huwajibikaji kwa mfano, angalia scandals zilizozagaa nchini lakini wapi. Hii inaonesha kuna blockage off uwajibikaji from the top kwa wale wa chini.

Mwisho ni mvurugano kila mtu anatumia janja yake cha muhimu, kwenye kucheza akikisha rafiki mmoja wa raisi yupo ili if anything afungie macho.

Hivyo sheria azifanyi kazi ipasavyo, raisi akiwa ndio chanzo awajibishwi kwa kuwa amna chombo cha kumsulubu. Society ndio inakua hovyo hovyo, rushwa, uwizi, umaskini wa hali ya juu, yote yanachangiwa na uongozi mmbovu from the top.

In any organisation or nation huongozi wa juu huu reflect the results.
 
Back
Top Bottom