Mafisadi wameamua kutafuta mgaga Nchini Nigeria ili kuwafanya mazezeta wale wanaopambana na ufisadi
Source: Sema usikike
mbona wameenda mbali sana, si wangeenda bwagamoyo tu...au wamuulize muungwana yale mapete alikuwa akivaa wakati wa uchaguzi aliyatoa wapi...anaweza kuwapa mawazo...