Oil Resource Curse: Tanzania to be another Niger Delta?

Hakuna hata kampuni moja ya ki-bongo? halafu UK zimezidi what is so special?
 
Ubaya wa Tanzania ni kwamba hatuna hulka ya kujifunza kutokana na uzoefu wa wenzetu. Tungejifunza kutoka Botswana tungekuwa mbali sana katika mambo ya madini. Sasa Mola aepushe tusijegundua mafuta na kujikuta yaliyotokea Nigeria yakitunyemelea.
 
Ubaya wa Tanzania ni kwamba hatuna hulka ya kujifunza kutokana na uzoefu wa wenzetu. Tungejifunza kutoka Botswana tungekuwa mbali sana katika mambo ya madini. Sasa Mola aepushe tusijegundua mafuta na kujikuta yaliyotokea Nigeria yakitunyemelea.

Solution ni moja tu, weka EAF halafu uone kama wakenya na warwanda watalala kusubiri wanzungu koko waje kuiba wakishirikiana na viongozi wetu, zitapigwa hadi asubuhi
 
Watanzania si mnapenda biashara za ulanguzi na uchuuzi na mambo madogo madogo kama domestic science. Nchi ina vyuo vya domestic science.
 
Ubaya wa Tanzania ni kwamba hatuna hulka ya kujifunza kutokana na uzoefu wa wenzetu. Tungejifunza kutoka Botswana tungekuwa mbali sana katika mambo ya madini. Sasa Mola aepushe tusijegundua mafuta na kujikuta yaliyotokea Nigeria yakitunyemelea.
Mwenzio akinyolewa, wewe tia maji na Asiejua kufa na aangalie kaburi. Hizo ni methali mbili kati ya nyingi tulizo wachiwa na Wahenga wetu. Sijui kama viongozi wetu wana mazingatio ya misemo hiyo na pia kama wanamaandalizi ya kutosha juu ya upokeaji wa hizo nishati ikiwa zitajitokeza, achilia mbali MIKATABA yake kama hatutaambulia 0.001%. kabla ya kujumlisha uchafuzi na uharibifu wa mazingira na Wananchi wangapi wataondolewa Vijijini mwao kwa Mikiki. "YETU MACHO".
 
"Tanzania is witnessing an increase in exploration activity following the recent signing of three new Production Sharing Agreements by the Government; with Maurel & Prom of France and Petrobas of Brazil for areas close to the Nyuni Licence area and with the Artumas Group of Canada for the Mnazi Bay are in southern Tanzania. In March 2005 EnerfGulfResources Inc. entered into an agreement with JEBCO Seismic Ltd. to explore for petroleum on the Tanga Block along the coast and offshore Tanzania. Because of this petroleum and natural gas wealth, today more than a dozen internatiional oil and gas concerns are in operation in Tanzania, including companies from the United Kingdom, Australia, Canada, Norway, Brazil, Holland, France and the United Arab Emirates" - The Extractive Resource Industry in Tanzania: Status and Challenges of the Mining Sector by Society for International Development (2009)
 
Wakuu zangu Hivi nikiwambia kwamba mitambo ya Hydro power yetu ina uwezo wa kuzalisha 4,700 MW in total na only asilimia 12 tu ndio inazalishwa (565 MW) mtasemaje kutokana na experience ya umeme mlokwisha ipata miaka 20 iliyopita...
Kama tunashindwa kuzalisha umeme hata nusu ya kile tayari tunacho mnategemea kitu gani haswa kutoka ktk mafuta ambayo kwanza hatutakuwa tunayamiliki..

Hivi kweli mnategemea maajabu yoyote ktk utawala huu ambao kazi yao kulaumu Nyerere tuuu wakati katuachia mtaji mkubwa na tumeshindwa. Tazama madini iwe Dhahabu, Almasi, Tanzanite Rubi, Surphire tunafaidika vipi nayo, hali ni kmadini hayo hayo yaliyoipeleka South Africa kuwa hapo ilipo leo hii pasipo mafuta.
 
Back
Top Bottom