Ni zipi haki za raia/mwanachi wa Tanzania katika katiba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zipi haki za raia/mwanachi wa Tanzania katika katiba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, Nov 21, 2009.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  1: Uhuru wa kusema/kutoa maoni
  2: Kutambuliwa utu wake
  3: Kuchagua kiongozi anaye mtaka
  4:
  5:
  6: n.k n.k
   
 2. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ili tuweze kupambana na viongozi wabovu, ni vizuri kila raia wa Tanzania azijue haki zake kikatiba na pia ajue wajibu wa kiongozi anayemchagua kumwongoza kikatiba.

  Wanachi wakijua haki zao na wajibu wa kiongozi kwa wananchi, watakuwa na haki ya kumuuliza kiongozi ni mambo gani ajayatimiza kwao na pia watakuwa na haki kikatiba kumkataa kma atakuwa ajatimizi wajibu wake kwao
   
Loading...