Spika wa Bunge Kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu kikatiba ni Kosa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika wa Bunge Kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu kikatiba ni Kosa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Regia Mtema, Nov 23, 2009.

 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Nov 23, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni kumetokea mtafaruku mkubwa kati ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi na spika Sitta na uendeshaji wake wa Bunge. Lakini pia tumemsikia Kafulila akitupa dongo kwa CHADEMA kwa kuikosoa katiba yao kwamba inacheza ngoma ile ile ya CCM.Kafulila ameyasema hayo jana alipokuwa akikabidhiwa kadi ya NCCR na mwenyekiti wake mpya Mbatia katika makao makuu ya chama hicho Ilala jijini Dar es salaam.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kikatiba si kosa kwa sababu katiba ndio inatamka kuwa awe mjumbe wa kamati hiyo
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Katiba ya CCM sio ya JMT. Muuliza swali nadhani anaongelea Katiba ya JMT ambayo iko kimya juu ya hilo. Ukijua mchakato wa kumpata Spika hili halitakusumbua.
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Bila shaka hapa anamaanisha katiba ya CCM. Kwani katiba ya Muungano na ile ya Zanzibar hakuna kifungu hicho.
   
Loading...