Tubadili Mfumo wa Uongozi wa Vyama Vya siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tubadili Mfumo wa Uongozi wa Vyama Vya siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIMING, Dec 6, 2009.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Mimi siko kwenye siasa lakini kutokana na shida zangu za kila siku napata tabu kuelewa solution iwapo tutabaki na siasa zisizoenda na mwakati wala kuangalia welfare ya nchi

  Nimetafakari sana matatizo mengi ya vyama vya siasa ni kukosa maono na dira kwa viongozi hasa wale watendaji

  Ukichunguza mara nyingi baadhi ya Majibu ya wanasiasa yanasikitisha na yanaonyesha wazi kwamba upeo wa viongozi ni mdogo

  Leo ntaomba kuanza na nafasi ya katibu Mkuu wa chama na nitaanza na Makamba...

  Huyu baba amethibitisha kwamba ni mwenezi mzuri na mpiga domo mzuri kuliko lakini hana hadhi ya ukatibu mkuu, its a high time kuwa na katibu mkuu;

  • Msomi
  • Mtaalamu wa sheria na mambo ya jamii
  • Awe ana uzoefu mkubwa wa kiutawala na fedha
  • Awe elegant
  • Abebe hadhi ya chama

  Kesho tutaendelea na ma-DC wanaoteuliwa kisiasa
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mh, wakuu mmenichunia kabisa!!
   
Loading...