Amos makala na harakati za ubunge 2010

Hiivi vizazi vya mafisadi navyo vinataka kuingia dodoma then wakapewe uwazir....dem coUntry
 
Makala hafai hafai mara mia moja, hata ukatibu kata hafai kwani ni kibaraka mkubwa wa mafisadi yanayosumbua ndani ya CCM, naamini kabisa kuwa anaandaliwa na kundi hilo na baadaye atawalipa nini?
 
Makala hafai hafai mara mia moja, hata ukatibu kata hafai kwani ni kibaraka mkubwa wa mafisadi yanayosumbua ndani ya CCM, naamini kabisa kuwa anaandaliwa na kundi hilo na baadaye atawalipa nini?


kama unayafahamu yote hayo...nenda kagombee na wewe ili uwaokoe wanachi kwa kuwaeleza ni mtu wa namna gani huyo then wakuchague wewe unayefaa zaidi yake kwa maendeleo ya wana mvomero.........by the way ni haki yake kikatiba kugombea ......
 
Amos Makalla anamwaga pese nyingi sana Wilayani Mvomero na pesa hizo anawaibia CCM. Makalla ni Mhasibu hivyo anajua anachokifanya hadi kupata pesa za kumwaga ovyo. Aidha ana uhusiano wa karibu sana na matajiri wakubwa ambao wanafadhili CCM. Mimi simuoni kama ni mtu safi huyo, hivyo ni vyema wananchi wa Mvomero waelewe kuwa wanalishwa sumu iliyopakwa sukari. Aibu kubwa kwa Malisa na Ridhiwani kuunga mkono Kampeni chafu za Makalla. Ni vyema wajue kuwa kwa hilo wanachafua majina yao.
 
ana laana ya mafisadi na ufisadi, anapesa nyingi kutoka kwa kina RA NA KINA MANJI YUSUPH ila aangalie yuko wapi mama Mbatia, wakitimiza wakitakacho daima hawapo tayari kuumbuliwa wala kupelekwa mahabusu wataanza na wewe.
 
yaani mtu a,ekuwa bosi wa UVCCM kwa miaka kadhaa,
kwa sasa ni mweka hazina wa chama tawala afu mtu anasema eti hafai hata kwa ukatibu kata,
afu kwa hoja ya ukaribu na mafisadi[au labda wanamtandao]mbona hata spika alikuwa[sijui kama katoka]mwanamtandao lakini sasa kawageuka,labda na makala nae amebadilika je,
kwamba makala anaiba pesa za chama kwa kutumia nafasi yake ya mweka hazina,hivi chama kama CCM kinaweza kuwa na signatory mmoja tu akaweza kutoa pesa?
simuungi mkono wala simtetei makalla najaribu kufikiria tu sababu zinazotolewa kumkataa mtu
 
Back
Top Bottom