Je hizi ni dalili za "Wakubembea" kumwagwa 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hizi ni dalili za "Wakubembea" kumwagwa 2010?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Dec 11, 2009.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,082
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Inasemekana minong'ono na kunyoosheana vidole kwingi kunakotokana na kutoolewena na wana ze mtandao na wachukia ufisadi hakutaishia hapo! habari za kuaminika zinadai ile kambi ya wachukia ufisadi ina mpango wa kumtofuga machoni wakubembea huyu asiyeskia la kufa! Wakubembea huyu asiyetaka kukata ze mtandao ndani ya inner circle ya wanadai kuwa ndo wenye chama anapotozwa zaidi na kubwabwaja kwa msaidizi wake "Wakufyatuka" .

  Kama "Wakubembea" hatajirekebisha na kujua kutofautisha urafiki na uendeshaji wa nchi kuna dalili nyingi kutochaguliwa kuwa mgombea hapo mwaka kesho!
   
Loading...