Fisadi mwingine huyu

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
aliyejipatia mkopo wa mabilioni toka BoT katika mazingira ya kutatanisha na hadi hii leo hajarudisha hata senti moja.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Wednesday December 09, 2009 Local News

Mzindakaya hits at Kikwete's critics

DAILY NEWS Reporter, 8th December 2009 @ 15:10,

VETERAN politician Dr Chrisant Mzindakaya yesterday attacked critics of President Jakaya Kikwete's leadership, saying in most cases their accusations and complaints against him were not based on facts.

"It is also not proper to single out Mr Kikwete alone, instead of the entire leadership that collectively runs the country," said Dr Mzindakaya, the Member of Parliament for Kwela constituency (CCM), in Rukwa Region.

"Such kind of criticism is totally myopic and uncalled for. In a democratic set-up criticism is always healthy, but must be constructive and non-partisan, as opposed to personal intrigues," he said.

He said Mr Kikwete was elected along with MPs, Councillors and other leaders at grass roots level.

"The entire leadership is, therefore, collectively responsible for the success of the country or otherwise. Ours is not a one-man show," he stressed.

The legislator's comments came a day after President Kikwete hit back at his critics, saying he is not surprised by utterances from some of the people. He said at the Julius Nyerere International Airport (JNIA) on Monday shortly after arriving from tour of Latin America, that he would scrutinise the comments and react to constructive criticisms only.

Some speakers at the symposium on the state of politics organised by Mwalimu Nyerere Foundation blamed the Fourth Phase government and President Kikwete in particular for what they described as "failure to deal with corrupt figures."

The symposium was organised by the foundation as part of activities to mark the 10th anniversary of the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere.

Dr Mzindakaya, the longest serving MP, having been the legislator for over 45 years, noted that the critics should appreciate that the Fourth Phase Government was implementing plans by preceding CCM governments.

He said the current leadership was implementing the CCM Election Manifesto of 2005, which is in line with the 2025 National Development Vision.

Meanwhile, two senior leaders of Tanzania Labour Party (TLP) yesterday joined CCM.

The defectors, Mr Aidan Makwanga who was Secretary of TLP Kilimanjaro Region and Shaban Mtengo, Deputy Regional Secretary, said TLP was losing direction. They also said that the party's National Chairman, Mr Augustine Mrema, had failed the party.

The CCM Secretary General, Yusuf Makamba, who received the officials at the party's sub-head office in Dar es Salaam said he would use the two figures in political campaigns in northern regions.

"President Jakaya Kikwete is doing well. Why should I remain in the opposition?" queried Mtengo.

 
Jamani mlitaka Mzindakaya aseme nini wakati naye ni fisadi,huyu si ndie anamuona Mkapa kama Mungu,na atwambie huo mkopo aliodhaminiwa na Bank kuu kama ameurudisha,namshangaa Mzindakaya kuwa tusimlaumu Kikwete bali tulaumu uongozi wote ,jamani hii ni kweli ?Kikwete ndie amewachagua akina Sophia wamsaidie ,pia ndie aliyemteua lowasa amsaidie na pia ndio wamo akina Hosea,wawakilishi wetu wamemshauri mara nyingi kuwa awatose hao akina Hosea lakini kila mtu amewasikia akina Luhanjo,sasa mtu mzima anasema oh tulaumu uongozi wote basi haina haja na kuwa na kiranja mkuu mwenye mamulaka ya kuchagua pumba au mchele.
Hawa wazee wanaturudisha kwenye siasa za ujima na za akina katikiro wameshavimbiwa hawaoni hata haya kututapikia matapishi yao hadharani,wanajiona wao ndio wenye busara,ama kwa hakika hawa wazee wanatupeleka pabaya,vijana amukeni kwa kujiandikisha kupiga kura na kuwatosa wakati wa uchaguzi,huyu mzindakaya amekuwa mbunge nikiwa shule ya vidudu na mpaka sasa nimekuwa mtu mzima ,huyu atakuwa tayari kafilisika kimawazo
 
Zamani alipokuwa Waziri Mdogo wa Uchukuzi, si alijaza magari ya PWD (Public Works Department) na vifaa vya kujengea nyumba yake huko Sumbawanga! Sio ajabu vifaa vingine vilikuwa ni mali ya serikali. TAKUKURU ya wakati huo ilimfuata na wanayo ripoti.
 
hapo ndo unaijua CCM vizuri.....yani ukweli kwa CCM ni sumu na wanaweza kukuua ukisimamia ukweli.
 
Tume dokezwa kidogo kuwa alipata mkopo wa mabilioni na haku rudisha kwa hiyo tuna weza pewa taarifa zaidi kuhusu swala hilo? Maana kichwa cha habari na mwanzowa thread nika dhani thread ni kuhusu ufisadi wake.

"Such kind of criticism is totally myopic and uncalled for. In a democratic set-up criticism is always healthy, but must be constructive and non-partisan, as opposed to personal intrigues," he said.

He is encouraging people to be non-partisan while he is being partisan? My goodness! Hypocrisy!

"The entire leadership is, therefore, collectively responsible for the success of the country or otherwise. Ours is not a one-man show," he stressed.

Yes it's not a one-man show but every man involved in that show has duties and responsibilities. When one does not do his part we call him out. If one actor messes up his lines that's the one we call out. If one dancer misses his step that is the one we call out.If one musician misses a tune that is the one we call out! Not the whole group!You can not tell me every time something goes wrong then we have to call out every single elected official in the country. That is just plain dumb.

Dr Mzindakaya, the longest serving MP, having been the legislator for over 45 years, noted that the critics should appreciate that the Fourth Phase Government was implementing plans by preceding CCM governments.

We don't have to appreciate anyone for anything. Our leaders are not doing as any favors. They asked for the jobs and we are paying them handsomely to do it. We give them huge salaries with huge bonuses. We give them houses, cars. We even give a motorcade and security detail to some of them. What other kind of appreciation do they want?
 
Ulofa na undumilakuwili umewajaa wengi humu... BAK huna hoja, umejichokea ile mbaya! Endelea na system yako ya kukopi na kupaste, ila usijitie kujua kwani hujui chochote!
 
DR MZINDAKAYA? tangu lini? alisomea wapi? alisomea nini? chini ya uangalizi wa nani?.

Tanzania ya leo inatisha kama si kusikitisha.
 
tukiwa na watu kama kibunago,watoto wetu,na wakinamama wetu wataendelea kufa kwa umaskini mpaka kiama....wewe ndio fisadi namba moja,achana na hawo wengine.i hate to read ure comments,it makes me feel like.......
 
tukiwa na watu kama kibunago,watoto wetu,na wakinamama wetu wataendelea kufa kwa umaskini mpaka kiama....wewe ndio fisadi namba moja,achana na hawo wengine.i hate to read ure comments,it makes me feel like.......
Utazoea tu...! Toa kwanza boriti kwenye jicho lako...
 
Aaah Mwaky vipi wewe leo...mbona uko sensitive hivyo?
Jamaa wamezidi kuwa viguegeu, kabla ya Slaa si alikuwa huyu Mzindakaya! Mbaya zaidi hata huyo Slaa baada ya kunyimwa ulaji CCm kakimbilia kulamba miguu Chadema...
 
Na wewe kwa mara ya kwanza nimekupa thanks!
Mkuu, pamoja na yote sijaona maana ya BAK kubwatuka namna hiyo, ni vema akatoa sababu za msingi kwa Mbunge huyo kuwa fisadi, na hii iwe mbali na msharahara wake na marupurupu mengine yatokanayo wadhifa wake kama Mbunge.
 
Back
Top Bottom