Hawa CHADEMA wamekata tamaa ya kuunda serikali hata kabla ya mpambano wenyewe? Afadhali chama wangemwachia Zitto kumbe.
Chadema yapania kunyakua majimbo 80
Daniel Mjema, Moshi
CHAMA cha...
Wakuu,
Kutokana na ujuzi alionao na umuhimu wake katika taifa letu, tumshauri Profesa Baregu aanzishe taasisi ya BAREGU FOUNDATION FOR PEACE AND DEVELOPMENT (BFPD). Naamini wengi tutamuunga mkono...
Kikwete: Tutazirudisha baadhi ya nyumba za serikali zilizonunuliwa
By Habari Tanzania | Published 10/3/2006.
RAIS Jakaya Kikwete, amesema serikali yake imefikia uamuzi wa kuzirejesha baadhi ya...
Ni jambo la kushangaza kuona Mtanzania Halisi ambaye amewahi kushika madaraka katika serikali ya SISEMU leo hii kumshambulia Mbunge Anne Kilango kwa vita dhidi ya VISADIZ.
Naamini anatumia haki...
Wanasiasa na Wanasheria, je, inawezekana kuanzisha chama 'kipya' cha kisiasa cha upinzani kiitwacho Jumuiya ya Uzalendo wa Kiafrika, yaani, Tanzania African National Union (TANU)?
1. Tumesikia mara kwa mara kwamba baadhi ya Wabunge, hasa wale wanaodai kupambana na ufisadi kulalamika kwamba kuna mafisadi wanaomwaga fedha majimboni mwao kwa nia ya kuwang'oa.
2. Hao ni...
I got this paper from a colleague and went thru it, thought might be of great use for all JF members and visitors and probably we might have a strong dialogue from this research paper...
MILANGO ya neema imefunguka kwa wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Kila mfanyakazi ataweza kukopa kati ya Sh 100milioni na Sh 30milioni kulingana na wadhifa wake kwa ajili ya ujenzi wa...
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, anafaa kuiongoza Tanzania.
Rais ana dhamira ya kweli ya kuleta maisha bora kwa kila mtanzania. Maisha bora yatachelewa lakini yatapatikana.
Rais Jakaya Kikwete...
HERI YA MWAKA MPYA: MWISHO wa mwaka ni wakati wa kutafakari tulikotoka, tulipo na tunakotaka kwenda katika mwaka mpya. Ni kipindi muhimu kwa taasisi na hata watu binafsi kufanya tathmini na...
THE National Executive Council (NEC) of the ruling NRM party yesterday endorsed President Yoweri Museveni as its 2011 presidential candidate and resolved to canvass support for the partys...
Mwandishi na msambazaji wa vitabu nchini, Bwana Nyambari Nyangwine, kwa siku nyingi amekuwa akiendeleza harakati zake za kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la Tarime kupitia CCM. Na kundi la...
Just wondering out loud! Mafuriko ya last week yanatishia Taifa kuwa na mini budget na woga kibao na kuomba wahisani, je tukikumba na tetemeko baya kama la Haiti au Tsunami la nguvu tutafanyaje...
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of...
Na Hapiness Katabazi: Tanzania Daima
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila ambaye ametupwa lupango baada ya kufutiwa dhamana kwa kosa la kushindwa kujiheshimu...
Wakuu wa Jamvi la Siasa,
Naomba muitazame hii video ya wabunge/wanasiasa wa Kenya na jinsi
wanavyoendekeza uhuni. Iwapo hawa nd'o wawakilishi kutoka Kenya basi
hata hio EAC wanaweza wakaenao...
WanaJF
Naomba niwape mrejesho muhimu kuhusu mchakato wa majadiliano ya miswada ya sheria ya uchaguzi unavyoendelea.
Mtakumbuka kwamba Desemba 11 Waziri Mkuu alichapisha kwenye gazeti la...
Ndugu wanaJF, najua mada hii siyo siasa lakini bado ina maudhui ya siasa, hivyo nimeamua kuiweka hapa badala ya kuipeleka kule kwenye hoja mchanyiko au kwenye udaku.
Nitatoa background...
An Open Letter to Edward Lowassa: Silence can never be misquoted - a true friend
To my friend, Mr. Edward Lowassa,
Here's a memo to you regarding the recent historic event of our nation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.