Nyangwine kugombea ubunge tarime kwa tiketi ya CCM, aungwa na kundi la Chambiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyangwine kugombea ubunge tarime kwa tiketi ya CCM, aungwa na kundi la Chambiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Jan 12, 2010.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mwandishi na msambazaji wa vitabu nchini, Bwana Nyambari Nyangwine, kwa siku nyingi amekuwa akiendeleza harakati zake za kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la Tarime kupitia CCM. Na kundi la aliyekuwa mbunge wa Tarime Bw. Kisyeri Chambiri limeamua kumuunga mkono. wakati huohuo Kanali Msitaafu wa jeshi, Kanali Kichonge (miaka 65) naye alitangaza December mwaka jana kuwa atagombea ubunge Tarime kupitia CCM, Kanali Kichonge ambaye ni Ndugu ya Mkuu wa wilaya ya Kwimba Bw.Ryoba Kangoye ambaye alishindwa katika uchaguzi mdogo wa Tarime inasemekana ataungwa mkono na kundi la Christopher Gachuma, ambaye ni Mjumbe wa NEC CCM na Mkurugenzi wa Nyanza Bottling, na ikumbukwe kuwa uhasama wa makundi ya Chambiri na Gachuma ndiyo yalimpa Mh. Chacha Zakayo Wangwe nguvu baada ya kuwa na uhasama mkubwa na kupelekea kundi la Gachuma kumuunga mkono Chacha Wangwe na kumshinda Chambiri, na katika uchaguzi mdogo kundi la Chambiri liliwaunga CHADEMA kwani Bw. Ryoba Kangoye ambaye ni kambi ya Gachuma ndiyo alikuwa mgombea na alihusika kumhujumu Chambiri mwaka 2005, na CCM ndio chama chenye nguvu Tarime lakini mara zote uwepo wa makundi haya ndio yanaipa CHADEMA nguvu ya kupita katikati.
  je mwaka huu kutokana na wagombea hao wa CCM kuendelea kujikita katika makundi hasimu, iwapo mmojawao atateuliwa nini kitatokea?, kwani pia ikumbukwe kuwa CHADEMA Tarime nayo imegawanyika katika makundi matatu yanayowaunga mkono Mh, Mwera, Mwita Waitara na John Heche, huku kukiwa na uadui mkubwa toka kwa hao wagombea watarajiwa hadi kwa wafuasi wao kitu ambacho kinatishia mustakabali wao na tayari Mh. Mwera alikwishashitaki kwa viongozi wakuu wa CHADEMA kuwa Diwani Heche na Mwita Waitara wanamdharau na kumwita ni dhaifu kama mwanamke. ​
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Unawezaje kuthibitisha hiyo nguvu ya CCM Tarime?
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  ngoja kwanza nikaangalie viwavi jeshi shambani kwangu then nirud kuchangia hii mada
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM imeshinda mitaa/vijiji 60 dhidi ya 15 vya Chadema. na CCM ina wanachama wengi zaidi ya chadema, kule chadema haina structure ya chama bali ni some sort ya movememnt na siyo vingine.
   
 5. O

  Omumura JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Siasa za tarime mmh! hapo bado mapanga hayajaanza kunolewa kama ilivo ada ya kila ukifika uchaguzi mkuu!
   
 6. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ngoja wakati wa kampeni ukifika na pia nguvu kubw sana iliyotumika wakati ule toka kwa chama na serikali dhidi ya CHADEMA ni mbaya sana kwa maendeleo ya kisiasa Tanzania
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  structure ndo nini?mi naangalia nani anashinda uchaguzi mbona na structure yao walipigwa chini ubunge...
   
 8. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nyangine wakurya hawaelewi wanachotaka ni mbunge atakayewasaidia. mkileta longolongo mtaondoka na Nyangine wenu bila masikio, si mnajua mapanga kule kumkata mtu sikio sio tatizo?
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kama hujui maana ya umuhimu wa structure subiri utauona baada ya uchaguzi wa mwaka huu, sitaki sana kubishana nawe coz watu kama nyie yawezekana hamna hata ufahamu wa namna ya kushinda uchaguzi, mmekaa humu na kuandika na kufikiri ni mabingwa wa kujua kila kitu.
   
 10. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #10
  Jan 13, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Namshuri Nyangwine asigombee Tarime. Tarime ni jimbo la CHADEMA kama he is serious anatakam kuwa Mbunge basi atfaute jimbo jingine.
   
 11. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  DUH, kIGOGO HUWA UNAUAAAA.......ANYWAY,NYANGWINE IS JUST ANOTHER OPPORTUNIST,THEY ARE MANY.......
   
 12. BongoTz

  BongoTz JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 272
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This is a bad news for Tarime!
   
 13. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyu ndo yule Nyangwine anaiba notes za waalimu wa secondari, na kuzichapisha, halafu anasema ametunga yeye kitabu??
  Kwa kweli CCm ina watu!!
  maumivu ya kifisadi huanza pooolepole....
   
Loading...