Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

8th January 10 CCBRT: Tumetimiza vigezo vyote vya usajili Richard Makore Hospitali ya CCBRT imesema imekidhi masharti yote ya usajili ambayo yanaiwezesha kutoa huduma hiyo kwa jamii. Kauli...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mhe Edward Lowasa akiwa katika mikutano ya kuhamasisha maendeleo katika Jimbo lake. Picha hizi ni harakati zake katika Kata ya Lolkisale tarehe 16/12/2009. Huu ni mkutano uliotia fora wiki hii.
0 Reactions
82 Replies
11K Views
Wakati wananchi wake hapo juu wanahangaika pa kula, kulala na afya zao!... (Picha zote toka kwa Michuzi) Hoja imejengwa humu na watetezi wa "majanga ya kitaifa hayazuii Rais kwenda kuburudika"...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Nimesoma habari kuwa Jeetu Patel ameshinda zabuni ya kuleta matrekta yenye thamani ya bilioni 50 toka ambayo ni mkopo wa serikali ya India kwa Tanzania. Mkopo usio na riba. Sikuelewa hapo inamaana...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Nilikuwa najiuliza kuwa huyu jamaa ambaye alikuwa mahiri katika usomaji wa Taarifa ya Habari na Matangazo ya Mpira yu wapi siku hizi na nikadhani kuwa kaenda shule kumbe naye amaejiunga na Redio 5...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Imeandikwa na John Nditi, Morogoro; Tarehe: 30th December 2009 MKUTANO Mkuu wa Uchaguzi wa Chipukizi taifa umemchagua kwa kishindo mtoto wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya...
0 Reactions
100 Replies
13K Views
CCM yaweweseka kwa Slaa Na Waandishi wetu 6th January 2010 B-pepe Chapa Maoni Dk. Wilbroad Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA Macho ya Watanzania yakiekelezwa kwenye...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi...
0 Reactions
219 Replies
21K Views
na Chesi Mpilipili KHERI ya Mwaka Mpya. Kwenye toleo la gazeti hili nambari 113, Desemba mwaka jana niliandika kuhusu sheria zetu za nchi zinavyoelekea kupindishwa ili kukidhi imani zetu za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, Mojawapo ya nadharia za kihistoria ni kutazama ulikopita, ukatathmini ulipo ili uuone wakati ujao katika mwanga bora. Nadharia hiyo hebu tuijaribu kiduchu kwenye suala la wagombea urais wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna huyu mkuu wa benki ya Posta amestaafu tangu 26/11/2009 lakini hadi leo hii bado tunamuona anaingia ofisini kama kawaida na anadunda mzigo kama zamani. Nimejuzwa kuwa hana barua ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KAMA tungekuwa na nia ya kupigana na ufisadi na hasa ule wa matumizi mabaya ya ofisi, fedha na rasilimali za nchi kama wanavyofanya kule Uchina, basi wale waliopitisha matumizi ya ujenzi wa nyumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naona kuna hoja ya kujibu hapa. Katika mfumo wa vyama vingi, kila kinachofanywa ambacho awali kilifanywa kwa maendeleo ya nchi na wana nchi, sasa hufanywa kwa malengo ya kisiasa. Najiuliza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndio! Mechi ya jana kati ya Taifa Stars na Ivory Coast imedhihirisha hilo!Hakika 70% ya Watanzania ni 'Bendera Fuata Upepo! Habari ndio Hiyo!
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila Kinshasa: Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, amewafukuza kazi watumishi zaidi wa umma nchini humokatika juhudi zake za...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
watch these on youtube... http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ http://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na Charles Ndagulla, Moshi MBUNGE wa Vunjo, Aloyce Kimaro ‘Simba wa Yuda’, ametamba kuwa hadi sasa hajaona mpinzani wa dhati ndani na nje ya chama chake ambaye anaweza kumng’oa kwenye kiti...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiangalia baadhi ya habari na imenisikitisha sana Uamuzi wa Gavana wa Tanzania kutumia fedha nyingi kukarabati/kujenga nyumba ya kuishi YEYE. Yaani kupewa tu nafasi hiyo anataka aishi...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Habari za mchana, Mwaka 2010 ndiyo huo. Je Watanzania wategemee nini toka kwetu na nini hasa tunawaahidi kwa mwaka huu?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom