The real cost of corruption in TZ

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,741
Likes
7,524
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,741 7,524 280
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of goods and services. Would you agree?
 
TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
137
Points
160

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 137 160
It is true Mwanakijiji... just for you information, you can validate this one easily kwenye huduma za afya!!! because most of the factors are constant except: overheads (ambapo kuna direct operational costs, mishahara - angalia allowances and ghost workers) and commodities costs (which in fact its estimated to be about 40% wastes - expiries, spoilt or stolen) and all due to accountability problem, which is the first born of corruption!!!
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,741
Likes
7,524
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,741 7,524 280
I was talking to someone earlier today and we tried to compare the cost of living between here in the US and TZ and he was amazed.. I told him.. a nice apartment rented here will cost between 600 and 900 and a luxury apartment (town houses etc) would be between 1000 and 1200; I told him a gallon of Petrol is about 2.60USD (about .60cents per litter) while foodstuff per week cost about 120USD.

Aliponiambia gharama ya vitu hivyo hivyo nyumbani hata tukiingiza PPP bado ni kubwa mno kiasi kwamba alikasirika na kuamua kuniaga!
 
jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
18,385
Likes
3,142
Points
280

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
18,385 3,142 280
I agree,Corruption on one hand raises the cost for providing the goods and or services where as on the other hand inapunguza pato la serikali,na hivyo inakuwa kama merry go round,serikali ikikosa mapato inajipandishia zake kodi tu ambayo in turn ofcourse wafanyabiashara wanapandisha tena bei za bidhaa juu.
Pia corruption inaweza ikasababisha upatikanaji wa bidhaa flani flani kuwa mgumu.
 
Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,350
Likes
1,159
Points
280

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,350 1,159 280
.......it may have many faces but I count UNDERDEVELOPMENT in Tanzania as the real cost of corruption.
 
Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,103
Likes
4,450
Points
280

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,103 4,450 280
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of goods and services. Would you agree?
Yes I do, cost of living is skyrocketing daily, yet people are silent and relaxing! This shows they have a place where they do get money!

Hence the whole society is living the dishonesty life(very few people are honesty)..in other words we are living in a criminalised society, where criminal is actually a compliment so called Bongo!
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,741
Likes
7,524
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,741 7,524 280
Yes I do, cost of living is skyrocketing daily, yet people are silent and relaxing! This shows they have a place where they do get money!

Hence the whole society is living the dishonesty life(very few people are honesty)..in other words we are living in a criminalised society, where criminal is actually a compliment so called Bongo!
as a society we have accepted corruption as part of our lives; therefore we have found ways to function within the corrupt system. Not only function but also prosper within it!
 
Semilong

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Messages
1,712
Likes
45
Points
145

Semilong

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2009
1,712 45 145
curruption fuels inflation, reduce economic growth and GDP per capital.

unapotoa rushwa kupata tenda lazima upate excess profit au hiyo hela uliyotoa hongo lazima uifidie somewhere (ile profit yako au usifanye kazi vizuri and vise versa).

ukiangalia online kuna paper kibao za corruption na inflation
 
Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
14,585
Likes
1,938
Points
280

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
14,585 1,938 280
Hiyo ni kweli bila ubishi. Mfano ni gharama kubwa za umeme ambazo zinatokana na mikataba mibovu, zinafanya kila kitu kinachozalishwa na umeme kuwa na gharama juu.
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,741
Likes
7,524
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,741 7,524 280
has anyone here took into account bribery as part of the cost of doing business? For example if you are going to get certain service (like at a Police station) have you ever budgeted "kitu kidogo"... kwa maafisa wa Polisi?
 
Invisible

Admin
Staff member
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,101
Likes
507
Points
180

Invisible

Admin
Staff member
Joined Feb 11, 2006
9,101 507 180
It is true Mwanakijiji... just for you information, you can validate this one easily kwenye huduma za afya!!! because most of the factors are constant except: overheads (ambapo kuna direct operational costs, mishahara - angalia allowances and ghost workers) and commodities costs (which in fact its estimated to be about 40% wastes - expiries, spoilt or stolen) and all due to accountability problem, which is the first born of corruption!!!
Kwa bahati tuna madalali humuhumu JF, waulize bei za viwanja, nyumba etc...

Members wengi hapa naamini mna magari, tufahamishane vipi bei ya mafuta (gasoline) ikoje?

Hivi mishahara ya wafanyakazi (serikali/binafsi) inaendana na maisha halisi ya Tanzania ya sasa? Wanaewezaje kuishi?

Vipi mkuu MTM upo Bongo mkuu? Unaweza walau kutumegea kwa uchache?
 
Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,350
Likes
1,159
Points
280

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,350 1,159 280
Mwalimu.. underdevelopment huwezi kuionesha Tanzania... It is one of the hardest argument to make that we are underdeveloped!
Ni kweli, nimetumia neno ambalo theoreticians huweza hulipa maana pana sana na inaweza kuwa ni ngumu kuonyesha kuwa Tanzania kuna underdevelopment; ngoja nijitahidi niwe more specific: "Economic underdevelopment" hapa Tanzania ni matokeo ya mfumo wa utawala wenye rushwa tulio nao.
 
Shalom

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2007
Messages
1,315
Likes
8
Points
135

Shalom

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2007
1,315 8 135
Kwa bahati tuna madalali humuhumu JF, waulize bei za viwanja, nyumba etc...

Members wengi hapa naamini mna magari, tufahamishane vipi bei ya mafuta (gasoline) ikoje?

Hivi mishahara ya wafanyakazi (serikali/binafsi) inaendana na maisha halisi ya Tanzania ya sasa? Wanaewezaje kuishi?

Vipi mkuu MTM upo Bongo mkuu? Unaweza walau kutumegea kwa uchache?
Wese petrol limefika mpaka Tshs 1530 (USD 1.15) kwa liter kwa hawa jamaa wa oil com leo.

Mishahara ya watu wa serikali 85% wanapokea below tshs 200,000 (USD 150) kama unakaa Tegeta ambayo ni approx 30 km kutoka city centre na unatumia gari Rav4 au xtrail kwa mwezi lazima unatumia (30KM x 2=60 divide kwa 10km/litre unapata ni lita 6 amabazo zina-kosti tshs 9,180/= na ukizidisha kwa sik 22 za kazi = tshs 201,960/= bila ya kuweka litre za kukaa kwenye foleni na wala ujapitia kwenye deals na nyumba ndogo ambazo wanaume wapumbavu wengi wanaziendekeza. Lazime uwe mwizi tu)
 
Invisible

Admin
Staff member
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,101
Likes
507
Points
180

Invisible

Admin
Staff member
Joined Feb 11, 2006
9,101 507 180
Wese petrol limefika mpaka Tshs 1530 (USD 1.15) kwa liter kwa hawa jamaa wa oil com leo.

Mishahara ya watu wa serikali 85% wanapokea below tshs 200,000 (USD 150) kama unakaa Tegeta ambayo ni approx 30 km kutoka city centre na unatumia gari Rav4 au xtrail kwa mwezi lazima unatumia (30KM x 2=60 divide kwa 10km/litre unapata ni lita 6 amabazo zina-kosti tshs 9,180/= na ukizidisha kwa sik 22 za kazi = tshs 201,960/= bila ya kuweka litre za kukaa kwenye foleni na wala ujapitia kwenye deals na nyumba ndogo ambazo wanaume wapumbavu wengi wanaziendekeza. Lazime uwe mwizi tu)
Mkuu Shalom,

Naona umeongelea gharama za kuhudumia mafuta tu zimemaliza mshahara na kuzidi tu, bado hujaongelea service ya gari (walau baada ya miezi mitatu), hujaongelea gharama za maisha nyumbani kwake? Gharama zake yeye mchana akiwa kazini au anashinda njaa?

How people do survive?
 
bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Messages
2,243
Likes
1,387
Points
280

bnhai

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2009
2,243 1,387 280
Shalom.. tuchukulie mtu ambaye hana gari lake binafsi na anatumia public transportation to move around..
Mie natazama corruption km one of the cause lakini zipo nyingine pia zinasababisha:

1. Hatuzalishi kuanzia chakula, mavazi, na products nyingine hadi services tunaagiza. Matokeo yake ni kuhangaika kulipa kwa foreign currency na in the end pesa yetu inakosa tests kwahiyo ili ununue kwa pesa ya Tanzania inabidi ulipe pesa nyingi.
2. Matumizi mabaya ya serikali na forgeries. Pesa zinafujwa sana kwa njia mbalimbali ukiachilia mbali corruptions. Kuna posho za kipuuzi watu wanalipana. Mtu anafanya kazi yake ambayo ameajiliwa nayo mwisho anaclaim allowance.
3. Miundo mbinu mibovu. Kuanzia nyumba, barabara, afya nk. Kuna sehem chache ambazo zinahuduma angalau zinaridhisha. Sasa Watanzania woote wanataka kujazana hapo matokeo yake ni ndiyo price kuendelea kupanda.
4. Ukosefu wa huduma achilia mbali kuwa mbovu nk

Yako mengi, jamani nchi yetu mh!!!!
 
Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,103
Likes
4,450
Points
280

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,103 4,450 280
as a society we have accepted corruption as part of our lives; therefore we have found ways to function within the corrupt system. Not only function but also prosper within it!
Yes you have actually reminded me, the theories of Survival of the fittest one unknown author says this

"The survival of the fittest is the ageless law of nature, but the fittest are rarely the strong. The fittest are those endowed with the qualifications for adaptation, the ability to accept the inevitable and conform to the unavoidable, to harmonize with existing or changing conditions"

We have accepted that corruption is unavoidable, we believe everyone does it, to adapt with the situation we find ourselves so unusual and unrealistic to refrain from it; lest your fellow citizens laugh at you!
 
Forum statistics

Threads 1,192,266
Members 451,893
Posts 27,731,256