CHADEMA hawana mpango wa kushinda uchaguzi 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA hawana mpango wa kushinda uchaguzi 2010?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakatundu, Jan 18, 2010.

 1. m

  mwakatundu Member

  #1
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 1, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa CHADEMA wamekata tamaa ya kuunda serikali hata kabla ya mpambano wenyewe? Afadhali chama wangemwachia Zitto kumbe.

   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  KWANINI KUKATA TAMAA, AU ulitaka wajilishe upepo kwa kuweka malengo mfu, hayo malengo ni yakinifu, na hakuna haja yakukuongopea, kua wanaweza kuchukua WABUNGE WANCHI NZIMA.
  TATIZO LETU TUNAPENDA KUDANGANYWA NA KUONGOPEWA.
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Badilisha kichwa cha thread,hakiendani na maudhui.Kushinda uchuzi haimanishi Urais peke yake hata kushinda wabunge 80 ni kushinda uchaguzi.Badili tittle ili iendane na hoja zako.By the way CHADEMA are realistic on this,hawawezi kujifariji kwa kudai kwamba wanachukua nchi wakati ili hali wanafahamu fika kwamba hawajafanya kazi ya kutosha kuchukua serikali.Eti ohobora chama wangemuachia Zitto.do you think CHADEMA inaendeshwa na mtu mmoja?pole yako Mkuu.
   
 4. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  They are telling people the truth, reality, hawana haja ya kuiga uongo watanzania wengi wamezoeshwa kuaminishwa uongo kiasi kwamba ukweli umekuwa uongo na uongo umekuwa ukweli wakiambiwa ukweli hawaamini wanaona mtu huyo si serious, ni kujidanganya kusema uchaguzi huu Chadema itaipiku CCM kwa wingi wa wabunge.

  Wapo wengi sana wa type ya Mwakatundu ambao hawaamini ukweli na watu hawa ndio wale 70% ya watanzania wanaofuata upepo leo anaweza kuwa huku kesho akipewa kofia na kitenge anabadili mawazo bila kuangalia athari zake.
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  watanzania wa jana si waleo waleo awadanganyiki tena wanajua kuchambua mchele na chuya ole wao wanasiasa wasiosoma alama za nyakati wataipata fresh kwenye kampeni zao
   
 6. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #6
  Jan 18, 2010
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bunge kwanza,u know kwenye politics lazima uwe na plan.Ukiweza kulitikisa bunge ndiko populality na publicity inakoanzia.Wakiweza kweli kuwa na viti 50 lazima tukae.Kama leo wana idadi hiyo mambo yako hivi, je wakiwa 50?
   
 7. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  I buy Mbowe's idea of getting at least one third of the parliament seats which is equivalent to wining in 80 constituency. Chadema has now started to prepare people psychologically the aftermath of general election that people should not expect wonders to be done by Chadema.

  I think this it is a good thing to be done by any serious political party instead of giving people higher expectations that it cannot afford, that is why in contrary to other political parties Chadema is remaining even stronger after each general election.
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hata ukiangalia mwenendo wa mambo namna CHADEMA INAVYOKUA, INAKUA IKIWA KWENYE MIZIZI yake, inakua kwa hatua, ni rahisi kumonitor mambo yanavyokwenda, hawana papara, wanashambuliwa ila wanasimama ,kisha wanasonga mbele.
   
 9. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na Mbowe kabisa kwa asilimia 100 na pia Mungu awabariki sana katika msuala haya
   
 10. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Ni kweli kabisa kuna watu walikuwa wanasema Chadema kitakufa tu mara baada ya uchaguzi wa 2000 matokeo yake ndiyo kikapata nguvu zaidi, wakasema ngoja Chadema washindwe uchaguzi 2005 watasambaratika bado wapo tena ngangari zaidi.

  Chadema wako makini viongozi wamejaribiwa kwa mbinu mbalimbali ili wagombane kimeitwa chama cha kikabila hadi sasa watu wameona ni upuuzi, hata sisi watu tulio nje ya chama tunaona tuna mifano halisi kama ule mgogoro wa NCCR ya Mrema na TLP. Chadema kimetulia hakina vurugu kilifanyiwa mizengwe tu Busanda kikanyamaza wakafaniwa tena Biharamulo Magh hawakufanya vurugu wala kwenda mahakamani, mimi nakuona huko ni kukomaa kwa chama.
   
 11. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huo mkakati wa Chadema nimeupenda sana, Mungu awasadiye wafanikiwe. Ninatamani ndani ya hao 80 wawemo 'akina Slaa' watano hivi. Nakuambia mwaka 2015 tutaimba 'niagieni niagieni, niagieni ndg zangu mafisadi, niagieni ndg zangu walevi wa madaraka, niagieni ndg zangu wasojua kusoma alama za nyakati, niagieni ndg zangu walio waona watz kuwa ni vichwa mbofu, watu wa kudanganywa kwa khanga, skafu, kofia na TShirt; ili hali umaskini ukiwaandama mpaka kwenye fizi'. Naitamani siku hiyo.
   
Loading...