Who cares about Zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who cares about Zanzibar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Feb 7, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mwananchi wa Mwanza,Bukoba,Sumbawanga,Songea ,Shinyanga,Arusha etc anajali nini na Zanzibar?
  Ningekuwa mbunge wa SISIEM nawakilisha majority ya Wabara,ningeomba hoja ya kuvunja huu the so called Muungano,na kuwaachia mayahe wawe na serikali yao.

  Sana sana wataanzisha serikali ya kiislamu,na pengine Sharia law.Tuona wa Unguja na wapemba watakwenda vipi,uafrika na uarabu utakuwaje huko.Tangu enzi ya Nyerere makanisa yalikuwa yanachomwa moto,kwa hiyo tutapata zaidi haya ya kidini.

  Kama mwananchi wa kawaida i care less about Zanzibar na mambo yao,ni wastage of time .
   
 2. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 356
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli wewe ni kilaza tena wa mwisho jina la kukupa sina kwa sababu nina kuonea huruma ndugu yangu kwa uwezo mfupi wa kufikiri na kutoa maamuzi.kilaza wa mwisho
   
 3. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 356
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli wewe ni kilaza tena wa mwisho jina la kukupa sina kwa sababu nina kuonea huruma ndugu yangu kwa uwezo mfupi wa kufikiri na kutoa maamuzi.kilaza wa mwisho
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Wun wewe ni kilaza kama fisadi!hujatoa sababu zako za kupinga hoja yangu!
  Toa wana JF wasome!
  Nimeona kwenye thread hapa maalim Seif anakwenda London kukutana na wajilipuaji wa Zanzibar!Kama mtanganyika i dont care less!
   
 5. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh!Kazi kweli kweli! Hii ndio hali halisi ya watu tunavyotofautiana na hatuna jinsi bali kukubali tupo tofauti katika kufikiri. Uhuru wa kuongeaaaaaaaa!
   
 6. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kaazi kweli kweli...
  Sijui kinachokukosesha raha ni hii DINI (UISLAMU) au huu UZANZIBARI..angalia usife KIHORO,,,Zanzibar itaendelea kuwepo mpaka siku ya mwisho.. na Mungu ataendelea kuleta Neema na rehema zake kwa Waje wake wote,,wakiwemo na wamakonde walioko huko
   
 7. M

  Mkuu Senior Member

  #7
  Feb 8, 2010
  Joined: Jan 1, 2007
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Makambaaaaaaaaaa mtaji mwengine upo hapa kwa mmakonde
   
 8. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 717
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wewe ni katika watu wenye roho mbaya, choyo na wivu dhidi ya Zanzibar.Imekukera nini hiyo Zanzibar na watu wake hata uwaite walipuaji/terrorists?

  Hii kwa kitaalamu inaitwa stereotyping,sio lazima kama terrorists wengi ni waislamu...basi manaake waislamu wote ni terrorists.

  Wengine wakisoma maandishi yako watafakiri watanganyika wote wana mawazo na fikra kama zako...no idea if that will be correct or another stereotyping behavior..definitely this is pure stereo!
   
 9. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mcfroasty tembea uone!Tofautisha kujilipua(kuomba hifadhi ya kisiasa) na kujilipua kama suicide bomber.I was talking about the former,misemo ya mitaani ya Ulaya kwa waswahili.
  Samahani kwa kukuchanganya.

  Wala sikuhushisha Zanzibar na terrorism,labda naomba apology
   
 10. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 717
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kiswahili changu ni old fashion, apology for the misunderstanding.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...