Mimi nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hii dhana ya Baba wa Taifa na hasa kwa nchi yetu ya Tanzania. Ninavyofahamu mimi mtu anayepewa heshima ya kuwa Baba wa Taifa ni yule muasisi wa mwanzo ambaye...
Moja ya sera rasmi mpya za Chadema zilizotangazwa hivi karibuni ni kutohamishia makao makuu ya mji mkuu wa kiserikali na kibiashara kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma hayo yalisemwa jana jijini...
Nimepata taarifa kwamba huko Kyela baada ya ndg Mwanjala kutangaza kugombea ubunge akipambana na Dkt Mwakyembe, hali si shwari kwa upande wa Kambi ya Dkt Mwakyembe hasa kwa upande wa vijana...
I think its about time tukaamua kama chombo kwenye uchaguzi wa 2010 tunasupport Vijana au wazeee
by Vijana simaanishi akina calibr ya akina Lawrence Masha (alishapata nafasi na alishindwa na si...
Nimekutana nayo hii huko KwanzaJamii.Mwandishi ni Profesa Joseph Mbele
Mwenyekiti
Hoja zangu zitaingiaje vichwani mwa watu wenye akili finyu, wasiojiamini, ambao hata kujitambulisha...
Tunaposema viongozi wengi wa CCM wamechoka kuongoza si kwamba tuna chuki binafsi hebu angalia kauli hizi za viongozi wake
"Jamani jitahidini hata watu waone malori ya mchanga yanaenda pale ili...
Wadau naombeni kupata fafanuzi wa huu muswada ulopitishwa hivi karibuni.
Ndani ya muswada huu kuna kipengele kinasema kwamba;Mtu yeyote ataketumia line ya simu ambayo haijasajiliwa baada ya muda...
■ In Dar es Salaam, Chief Justice cautions deputy AG that as it stands now, independent candidates are allowed as govt seeks 4-month hearing extension
■ In Dodoma, Speaker sends...
Tanesco shelves plans to sell houses
By Ani Jozen
8th February 2010
CAG report backs MP`s fund misuse allegations
Tanesco Headquarters
Plans to sell seven staff houses...
Kampeni - Kombe la Dunia Lipandishwe Mlima Kilimanjaro
Wana JF wenzangu,
Wasalaaam.
Naona kuna umuhimu wa serikali yetu kutoa ofa ya mshindi wa kombe la dunia 2010 huko afrika ya kusini...
Yes we can!
Yes we can host Africa Cup Nation soccer tounement!
Mwanza, Zanzibar, Mbeya and Dodoma should be the host cities and final in Dar!
The return will be the robust promotion of...
Sielewi mantiki ya wabunge kupinga maneno niliyokoleza wino mwekundu...anayeeelewa anifahamishe!
Election Bill tossed back to Parliamentary Commitee for further discussion
THE Election Expenses...
...As Tanzania gets a refund of $28m (Sh37.8billion)
Former president Benjamin Mkapa
In the wake of British Aerospace Engineering System's agreement on Friday to pay back $400million...
Nilipokuwa mtoto tulikuwa tukihimizwa kwamba malaria yanayotokana na mazalia na mbu toka kwenye maji yaliyotuama. Wakati huo tulihimizwa kwamba tusafishe mazingira kuhakikisha hakuna maji...
Wadau natazama luninga muda huu kikao cha Bunge kinaendelea!!!Inasikitisha kuona jinsi mjengoni kulivyo kutupu!!Watu hawa wana sababu gani kukaa huku wakijua kuwa wanachukua...
Ninavyoelewa mimi ni kwamba Rai/Mtanzania ni gazeti la mafisadi ambao wanataka kuhalalisha kuwa kwao na MALI nyingi kwa kushika nyadhifa za juu pia za kisiasa nchini.
Wakati CJJ nimeambiwa ni...
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Miundombinu pamoja na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya njia ya Reli ya Kati kwa kipindi cha muda mfupi...
Katika kile kinachoonekana kuchafuka kwa hali ya hewa mkoani Tabora, jana jioni kwenye kikao cha wazee, mkiti wa ccm mkoa wa Tabora Hasan wakasuvi alimpigia debe la wazi Ndg Lucas selelii bila...
Outdated law denies Tanzania billions of shillings annually
By Polycarp Machira
7th February 2010
Foreign Affairs and International Co-operation minister, Bernard Membe
While...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.