Injinia
Reaction score
4

Profile posts Latest activity Postings About

 • Sorry, bro. I only now read your 22 Jan message. There isn't really much new here. People are tired of the man, and even the board, for the first time nearly unanimously agreed that he needs to go. There was a wind of change some two months ago when they met, but, it seems it has kinda lost some of its momentum. They wanted to form a "REAL" search committe this time. Haven't really gotten any latest news on it.

  They had a mku5 wa wafanyakazi wote last week, but I didn't attend, and it seems they only discussed the JF thread on the man that was started someone mwenye majungu. IMAGINE!!! Discussing a useless thread like that calling KCMC makao makuu ya mapepo being given that attention. Anyway, doctors is leaving, and it's serious!! Dr. Amaan (Ortho) is leaving, Mremi (last of two E.N.T. surgeons) is about to retire, there's only two radiologists, three surgeons (minus residents) and NO pathologist (that's the worst)!!! Yaani acha tu!
  Ha ha!! Last time you and I talked? Don't remember exactly but it wasn't that hard for me to recognize you. My id isn't important...plus it is so much more fun and "unbinding" hiding behind an alias!!

  Ila tunafahamiana...vizuri tu.

  Hebu niambie, whats all this hoola baloo about KCMC I am reading here on JF? Si bado upo hapo?
  Ha, ha, ha! Niliiphotoshop, nikajua hamna atakayeitambua! Vipi? Nipe hints re ur identity. What is the last thing u & talked about? When?
  Asante. Kusema ukweli wanaomaliza pale ni wazuri. Pamoja na KCMC kwa sasa. Muhimbili imekuwa kiwanda cha kutoa bidhaa (madaktari) ambao hawajakamilika kutokana na waalimu wa pale kuwa na "viosk" vingi mjini (yaani sehemu za kazi za ziada) hivyo kutokua makini na ufundishaji. Moja wapo ya hivyo viosk ni HKMU ambapo waalimu wa Muhimbili pia wanafundisha nadhani. Muache amalize term hii kwanza uzungumze nae upate maoni yake ingawa kwa ujumla si rahisi kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kuweza ku"analyze" kisahihi
  Natanguliza heshima. Nashukuru kwa kutueleza kuwa Hubert Memorial University inatoa madaktari wazuri. Nilikuwa nabishana sana na kijana wangu aliyejiunga hivi karibuni, kwa kweli nilimuachia aende kwa shingo upande.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top