Wanabadilisha "Title Deeds"! mchongo mwingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanabadilisha "Title Deeds"! mchongo mwingine?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 9, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Ok.. I know I know I know.. Hivi ni kweli kumeanza mpango wa kubadilisha title deeds kwa kuwa zile za zamani zinakuwa digitized na hivyo wananchi wanatakiwa kwenda kulipia title deeds mpya? Kwamba gharama ya kumpata title deeds mpya (yaani ya kubadilisha) ni karibu shiliingi 180,000 na kuna watu wanasema kwa Dar zoezi hilo ili liharakishwe kwa upande wako inabidi ujikunze na karibu shilingi milioni 2!!

  Lakini kilichomshtusha mtoa data wetu ni uwezekano wa watu ambao wanatafuta upgrades za title deeds zao wanapotakiwa wapeleke zile zamani na wakashindwa kuzipata baada ya muda kupita.. je wanaweza kujikuta title deeds zao zinakuwa revoked na viwanja vyao (ambayo yawezekana tayari vimeendelezwa) kupigwa mnada?

  Ninajiuliza, je kuna ulazima gani wa kubadilisha titles ambazo mtu anazo mkononi kwa kumpigia chapa title nyingine wakati hakuna kinachobadilishwa zaidi ya kuingiza information kule kwenye computer system?

  Kwa mfano, wakiamua kujidigitized vyeti vya kuzaliwa, itabidi kila mtu apeleke cheti chake cha kuzaliwa halafu apatiwe cheti kipya cha kuzaliwa kwa ada?

  Naona kuna wizi wa wazi unajaribiwa kufanywa! Kama mnataka kudigitize hizo title deeds.. YOU DO NOT NEED THE OLD ONE SO YOU GIVE OUT THE NEW ONE UNLESS THE NEW ONE IS A DIGITAL COPY TOO!!

  MORONS!! (I'm sorry)...
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,463
  Likes Received: 117,261
  Trophy Points: 280
  Huu ni Wizi Mtupu! Kwanini hili zoezi lisianze sasa kwa watakaopewa viwanja vipya!? Na wale waliopata muda mrefu basi wafanyiwe bure na je kama hawana TD ndiyo watanyang'anywa viwanja!? Kuna wizi hapa tena mkali sana.
   
 3. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,734
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hawachoki hawa!

  Amandla.....
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,301
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Tanzania yetu ina serikali ya kihuni kabisa
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Yaani Tanzania we acha tu mwishoe tutastukizia hadi watanzania tumeuzwa kwa watu
   
 6. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Sura zao hazina HAYA tena hawa watu...yaani hawataki kabisa kujifunza wala kubadilika..!!!
   
 7. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Mwanakijiji,

  Nimechukua TD mpya hapo Wizarani mwezi wa December, mbona hili sikuambiwa wala kulisikia?

  Au limeanza Mwezi wa January/ February?
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Yebo Yebo.. nadhani kama ni title mpya tayari iko digitized.. gharama yake ilikuwaje? Hiki tunachozungumzia ni kile kinachodaiwa ni "upgrade"..
   
 9. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nilitakiwa kulipa Tshs 348,298 kwa kiwanja cha 3500 Square Meter, Wilayani Kinondoni.

  Sikuambiwa kama ni kwa ajili ya Digital TD. Niliambiwa ni Discreation ya Waziri kutoza fedha hizo kwa ajili ya maendeleo ya eneo kiwanja kilipo.!!!

  Nikalipa nikaishia zangu..!!!
   
 10. Naumia

  Naumia Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  Sasa huu upuuzi.
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  ulipewa na stakabadhi yako?
   
 12. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nilipewa inayo onyesha malipo hayo sahihi kabisa...ila wala sikumbuki waliandika nini kwenye hiyo stakabathi mpaka niangalie tena.
   
 13. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nchi ni ngumu kabisa kabisa..! Si kwamba ni ubunifu wa Wizara ya Ardhi bali sera kutoka juu zina ipasa wizara kufanya hivyo..!
   
 14. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2010
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mtoa hoja haeleweki!
   
 15. B

  BUBBA Member

  #15
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili nalo linasikitisha yote ni ukimya wa MTANZANIA, mwaka haujaisha toka walipotuletea stickers za FIRE na mitungi kuuzwa 15000, sasa hili. Kwanini tunamnyanyasa MTANZANIA, tunaongeza mianya ya rushwa kila siku. Yote haya yanafanyika kuimarisha uchumi wa Nchi au wa Mtu.
   
 16. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,738
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wanataka kutengeneza pesa za uchaguzi, wanatumia kila uchochoro kukamua hela.
   
 17. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,227
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kama kuna uozo tanzania hii ni wizara inayoitwa ardhi, kama wako serious inabidi ifanyiwe radical surgery staff wote ( hata mikoani) wafukuzwe mpaka wafigiaji na hata jengo lisitumike ili kuondoa mentality ya uozo wa watu waliowahi kuhudumiwa pale.

  Sidhani kama kuna yoyote ataweza kuja na kukiri kuwa angalau amewahi kuridhika na huduma za pale, atakayesema hivyo ni waziri wa ardhi mwenyewe au katibu mkuu wake. wengine wote ni vilio tu.
   
 18. Magpie

  Magpie Member

  #18
  Feb 10, 2010
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwisho wa siku kama ni kweli itabidi watu walipe izo charges as will be imposed,..
  nashauri utaratibu huu utumike kwa kua kwasasa maisha ya mtanzania yamegubikwa na msululu wa majukumu na uwezo wa kutoa malaki ya fedha kwa mkupuo ni utata, wange weka utaratibu kua unapo kwenda kubadili hati utoe japo elfu hamsini au chini ya hapo au usitoe kabisa na malipo mtu akatwe anapo kwenda kulipia kodi ya kiwanja au majengo, inamaana kodi hizi ziongezeke kwa shs 5000 mfano na mtu akatwe kwa kipindi fulani mpaka deni litakapo kwisha.

  Ni mtazamo tu
   
 19. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Ndio naelewa kuwa lisemalo lipo na kama halipo basi laja sasa basi MKJJ napenda kujua hizi taarifa au fununu zimisha tangazwa au?

  Na kama kweli wametangaza ni lini? mbali na kutangazwa au bado bsi huu ni wizi unatengeneza ingwa twaenda kwa new technology still watupe very concrete reasons jinsi operation yao itakavyo fanyika bir dhuruma wala uonevu

   
 20. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii mijamaa ikoje sijui inafikiri kuibia walalahoi tu. Kwani kuna ugumu gani kudigitize wakati mtu ana title deed yake. Take alll details then unamrudishia. Na hiyo upgrade ni fault ya nani mpaka mtu alipishwe? Kwani yeye aliwaomba hiyo huduma? Mbona vitambulisho wanatoa bure? Hawakomi hawa mpaka tuwapige mawe...
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...