CCM ni 'nambari one' katika nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ni 'nambari one' katika nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Exaud J. Makyao, Aug 4, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa Muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''CCM NI NAMBARI ONE''.

  Yaani CCM NI NAMBA MOJA.
  Baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya SLOGAN hii.

  Naamini hapa jamvini huenda mwaweza kunijulisha kuwa ,
  CCM NI NAMBARI ONE katika nini hasa?

  Au ni msemo tu wana JF?
   
 2. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Jibu mbona ni rahisi sana,CCM ni Nambari One Katika UFISADI.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kujenga nchi....teh teh
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,407
  Likes Received: 81,437
  Trophy Points: 280
  Thanks a lot GQ, hilo pia ndiyo jibu langu kuhusu unambari one wa CCM.
   
 5. a

  agika JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ufisadi
   
 6. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni jibu rahisi hivyo mkuu?
   
 7. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kujenga nchi mkuu?
  Ehee?
   
 8. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Chama cha kwanza kusajiliwa baada ya mfumo wa vyama vingi.
   
 9. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nakupata mfumwa.
  Kilisajiliwa lini mkuu?
   
 10. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Baada ya kuanza Mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Vyama vya siasa vilitakiwa kujisajili ndani ya masharti yaliwekwa. CCM ilisajilwa 01/07/1992. Kwa maelezo zaidi ya Usajili wa CCM na vyama vingine ingia kwa web ya msajili hapa http://rpp.go.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=13&Itemid=33
   
 11. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2009
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ya kwanza kwa kuiba Kura
  Ya kwanza kukumbatia mafisadi
  Ya kwanza kurudisha maendeleo ya nchi nyuma
  Ya kwanza kwa viongozi wake wa ngazi zote kuwa wanafiki
  Ya Kwanza kutoa ahadi zisizotekelezeka
  Ya kwanza kung'ang'ania umiliki wa mali za wananchi- viwanja vya michezo na majengo yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi wote
  Ya kwanza kuwa fisadi - Deep Green, meremeta, Tangold
   
  Last edited: Aug 5, 2009
 12. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #12
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfumwa,nadhani umeeleweka vizuri mkubwa!!
  Kuhusu ufisadi umeanza kwa kasi miaka ya hivi karibuni na si kipindi hicho cha uanzilishi wa chama cha mapinduzi...Na usemi wa "Nambari one" haujaanza leo wala jana...!
   
 13. F

  Froida JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  CCm nambari wani kwa kuvuruga elimu ya watoto
  ya kwanza kuongeza vifo vya wazazi
  ya kwanza kwa kuchafua miji
  ya kwanza kwa kuua siasa ya ujamaa na kujitegemea
  ya kwanza kuongeza umaskini kati ya wananchi
  ya kwanza kwa kuua mfumo wa demokrasia
   
 14. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2009
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ya kwanza kuinua elimu kama hivi

  [​IMG]
   
 15. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
  Jibaba hii ni shule kweli?
  Ni nambari one kweli kweli.
   
 16. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama darasa liko hivyo je, ofisi ya walimu pamoja na vyoo (Toilets) vitakuwaje?
   
 17. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  GM&,
  Sipati picha.
  Hii ni shule ya kweli katika serikali ya CCM?????????????????
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ufisadi na wizi wa kura, pia na uongo/ulaghai.
   
 19. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MCHUKIA FISADI,
  Kwani hawa CCM huwa wanaiba kura au hupewa na wapiga kura?????
   
 20. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani!
   
Loading...