Kakobe vs Vyama vya Upinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kakobe vs Vyama vya Upinzani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumain, Feb 20, 2010.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Japo sikubaliana na msimamo wa kakobe kuhusu kupita umeme au kutopita katika eneo la kanisa lake lakini amenifurahisha kwamba anaweza kuwaongoza waumini wake wakaungana kudai wanachodai na wengi kama sio wote wako naye daima..wanamuamini na wanamfuata...

  Ukilinganisha na vyama vyetu vya Upinzani (CUF, CHADEMA etc) wameshindwa kwa miaka mingi kuwaunganisha watanzania kudai vitu vya msingi kama katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, kushughulikia mafisadi etc..

  My conclusion: Wapinzani hakuna leaders ambao wanaweza kupata watu mia tatu wanaowaamini kama kakobena waumini wake wakadai bila uwoga madai ya msingi????
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 43,136
  Likes Received: 27,114
  Trophy Points: 280
  unamaanisha kakobe agombee urais?
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Feb 20, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,754
  Trophy Points: 280
  -so imani yako mkuu imehamia kwa Kakobe kuliko viongozi wa upinzani sio?Au kakaobe ana uwezo kuliko viongozi wetu wa upinzani katika kuhamasisha?
   
 4. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  NO! ninamaanisha ana sifa za kiongozi kupita viongozi wa vyama vya siasa. Kiongozi bila wafuasi wenye kukuamini ni vigumu kuleta mabadiliko na kusikilizwa madai yako...
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Imani haijahamia na wala haitahamia

  Yes ana uwezo kupita viongozi wa upinzani Tanzania.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 43,136
  Likes Received: 27,114
  Trophy Points: 280
  kina mrema,mziray, si ndio viongozi wetu.wengine hata hawajulikani lakini wana vyama vya upinzani. it means wale wananchi wachache ambao hawaipendi ccm wanaendelea kugawanywa tena.
  wat do u expect T?
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Feb 20, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,076
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  wapinzani,? ninaowaaminia tu ni cuf-zanzibar, wapinzani bara hamna kitu, kujipa matumaini yasiyokuwepo, we angalia tu, Mbowe, Slaa ...... taja

  Hakuna namna ambayo mtu mwenye akili timamu akasema kuna upinzani bara!

  wanajitetea kwenye kivuli eti watu hawana elimu!, Tumaini, wakati Mkwawa anawapiga wajerumani alikuwa amesoma shule gani? wafuasi wake walikuwa wanasoma JF?

  Simply I hate them!
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kakobe anawaumini mia tatu lakini madai yake (japo mimi naamini ame-over state issue yenyewe) lakini ameweza kuonyesha kwamba number is not the issue...

  Hizo streotype kwamba watu hawana elimu ina maana wao hawana elimu kabisaa...

  Kama una elimu unaweza kumfundisha mtu yeyote akakuelewa na kukuamini, hawaamini kwasababu wao wenyewe hawana elimu/maarifa ya kuwaambia wananchi wanachoelewa au wanachoamini!

  Najiuliza hata wafuasi mia tatu jamani then...huko upinzani bado sana...
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Achana na kina Mrema, mziray. To be honest mrema alikuwa hero miaka hiyo wasomi (supposingly wenye elimu waka-frustrate kama kawaida)

  How about Lipumba and Slaa (favourite JF leader), viongozi wakubwa nini hao waganga njaa ndugu.

  Nasikia Slaa hata akiita watu kwenye department yake si wote wanamuamini na kuwa tayari kufa naye? itakuwaje kitaifa?
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Feb 20, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,076
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  wewe upinzani ni another ajira nchi hii, ukipata nyingine unaacha!! ndio maana hutaweza kumpata mtu wa caliber ya Raila, Morga n.k

  lakini aho hao wapinzani leo wakisimama kidete, wanameza umati wa watanzania in a second, kumbuka yale ya zito bungeni.....

  kumbuka mrema 95 watu tulivyoweweseka kila kona jina lake!! kura akapata vilevile, hakuna mtu wa kufanya juu zaidi ya Mrema?

  kuchekacheka na CCM ndio kuna wafanya waonekane wanavyoonekana!
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisee umenikumbusha enzi za Mrema mjomba wangu kutoka village alikuwa lazima ahudhurie mikutano yote ya mrema mikoa ya karibu...kulikuwa na mwamko kwelikweli na wafuasi wake walimuamini na kumfuata...it was then..

  You are right ngoja tusubiri Raila wa Tanzania??
   
 12. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kakobe amekuwa na msimamo yake na huwa mara nyingi sana hayumbushi na mambo haya na anasema kile ambacho roho yake inajua na kuamini. Nawapongeza sana Kakobe na watu wake kuwa Imara sana
   
 13. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Je kakobe si nafuu kuliko Mbowe?
   
 14. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama ni Mbowe mvaa miwani mimi simo!
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Feb 20, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,076
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  mathematically unaandika hivi KAKOBE >> MBOWE
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  So it goes if

  Lipumba =upinzani =CUF and
  Mbowe=upinzani=Chadema
  therefore Mbowe=Lipumba=Upinzani

  Since Mbowe<< kakobe that means also
  Lipumba << kakobe

  Therefore: Upinzani<< kakobe???
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Hiyo kitu nyeusi hapo juu nipo na wewe, wanapigwa ngwara wanakuja kusema hatuna elimu, sasa nani ambaye hana elimu mkufunzi yani hao wapinzani hawana ielimu kutuelimisha wanayoamini ama wanaoelimishwa hawaelewi waelimisha wanaelimisha nini.?
   
 18. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2010
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,135
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tumain inawezekana wewe hujui na dawa ya asiyejua na huku anajifanya kuwa anajua ni kumwacha , na huwa ana jina lake sasa sitaki kuliandika hapa.
   
 19. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Inabidi msema kweli atuandikie viongozi wa upinzani ambao nia yake ni kuwinda ruzuku. teh teh teh

  Natania, mkuu lakini implication ya kuwa na vyeti feki ni kama kuwa na upinzani feki.
   
 20. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2010
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,135
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kwa mahesabu haya yafaa pia kuweka na yale Kibwetere na wakina Kiiza Besiyge kule Uganda .
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...